Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
KateMiddleton. Asante Umkonto. Kuna mtu alisema sheria siyo retrospective. Nikamwambia hiyo ni kwenye vitabu tu. Hapa Tanzania neno la Rais ndio sheria lakini hakunielewa hata kidogo.
VRF ilipitishwa na bunge mwaka 2013, na ikawahusu hadi wale wa miaka ya nyumba, ambao mkataba wao haukuwa na VRF. Je, hauoni ni kuvunja mkataba?