the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,102
- 355
Mkuu deni lako limeishaje?Ndiyo mkuu nimekaa nao na kuelekezana.Nimekuta kama nilivyotegemea,deni limeisha hadi raha.Mungu ambariki huyu mama Samia kwakweli.Kuna watu nimekuta wamelipa hadi wanaidai bodi tena,jamaa akaauwasha moto anataka hela yake apewe muda huohuo,tukabaki tunacheka watu wote.Akatulizwa akaambiwa utaratibu akajaza fomu atarudishiwa.So ukiwa umemaliza unapewa liquidation letter unaipeleka kwa mwajili wako ili akuondoe kwenye makato.
Mungu mbariki mama Samia
Nafikiri sisi tulioanza kukatwa miaka ya 2010-2014, VRF haikuwekwa kwenye slip zetu. Kwahiyo tukichukua statement sasa hivi wanaiweka VRF before 1st May hivyo deni linaongezekaka.Sawa ila umesahau ungewaulza kama wameondosha VRF na penalty kwa wanufaika wengine,
Nafikiri sisi tulioanza kukatwa miaka ya 2010-2014, VRF haikuwekwa kwenye slip zetu. Kwahiyo tukichukua statement sasa hivi wanaiweka VRF before 1st May hivyo deni linaongezekaka.
Nafikiri sisi tulioanza kukatwa miaka ya 2010-2014, VRF haikuwekwa kwenye slip zetu. Kwahiyo tukichukua statement sasa hivi wanaiweka VRF before 1st May hivyo deni linaongezekaka.
Naombeni kwa anayejua jinsi ya kupata clearance letter kutoka bodi ya mikopo ili nipeleke kwa mwajiri astopishe makato yangu maana nimemaliza Deni...nipo wilayani na nimejaribu kuwaandikia e mail na kuwapigia simu lakini hawa respond. Msaada plz maana siwezi kusafiri kwa Sasa kuwafuata mjini kwenye ofisi zao...natanguliza shukrani
Uko mkoa gan?nenda kwenye ofsi zao za kanda,utapata huduma?
Nipo Singida kiongoziUko mkoa gan?nenda kwenye ofsi zao za kanda,utapata huduma?
Nipo Singida kiongozi
Asante snJitaidi uende dodoma kwenye ofsi zao
Mh waziri wa Elimu muondoe kabisa katika hili, huyu mama hama msaada wowote kwa watanzania, alikuwa mtu makini sana kipindi ni katibu mkuu NECTA lakini baada ya hapo hana lolote, siasa zimejaa, anachuki na wadau wa elimu, yeye kila siku ni kuwaza jinsi ya kuwaumiza watu Ndalichako hafai kabisa. Pongezi sana kwa mh Rais mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwasaidia wanufaika wa bodi ya mikopo.Mh Rais pamoja na Mh Waziri wa Elimu wana nia nzuri ya kuwasaidia wanufaika wa bod ya mikopo ili walipe pesa waliokopeshwa tu bila tozo humiza lakin changamoto iko bod ya mikopo haitaki wanufaika wapate huo unafuu ,sasa bod ya mikopo itoke hadharan itwambie kwanini haitaki kuondoa tozo hizo ambazo zinawaumiza wanufaika
Joyce hahusiki kabisa na hiliMh waziri wa Elimu muondoe kabisa katika hili, huyu mama hama msaada wowote kwa watanzania, alikuwa mtu makini sana kipindi ni katibu mkuu NECTA lakini baada ya hapo hana lolote, siasa zimejaa, anachuki na wadau wa elimu, yeye kila siku ni kuwaza jinsi ya kuwaumiza watu Ndalichako hafai kabisa. Pongezi sana kwa mh Rais mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwasaidia wanufaika wa bodi ya mikopo.
Mh waziri wa Elimu muondoe kabisa katika hili, huyu mama hama msaada wowote kwa watanzania, alikuwa mtu makini sana kipindi ni katibu mkuu NECTA lakini baada ya hapo hana lolote, siasa zimejaa, anachuki na wadau wa elimu, yeye kila siku ni kuwaza jinsi ya kuwaumiza watu Ndalichako hafai kabisa. Pongezi sana kwa mh Rais mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwasaidia wanufaika wa bodi ya mikopo.
Umecheki kwenye nini ?Ndugu zangu msaada wa kulifahamu hili sijui ni mimi peke yangu ama kuna mwingine mwezi wa sita nilipocheki kiasi ninachodaiwa hakina tofauti na mwezi wa saba pamoja na makato yaliyo katwa mwezi wa saba!
Umecheki kwenye nini ?
Slip au online
Nimecheki online kupitia dashboard ya bodi! Kwenya salary sleep bado naonekana nadaiwa mil 4 wakati wao bodi ni 1.4 mil. Last week nilipomuuliza afisa utumishi akaniambia niwasiliane na bodi wanipe barua ya deni langu halisi ili Afisa utumishi alirekebishe sasa maajabu ninapocheki bodi mwezi huu wa saba deni langu halina tofauti na mwezi wa saba yaani ni ile ile 1.4 mil ilihali mwezi wa saba nimekatwa makato kama kawaida!
Wanadai hela wanapelekewa tarehe 10 ya kila mwezi hivyo ulipocheki inawezekana bado hawajapokea mchango wako wa Julai kutoka kwa mwajiri/hazina