barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kama chadema mmeshindwa kushawishi hata 'MABONGOLALA' wawe nanyi basi hamfai hata kuwa viongozi wa familia zenu. Hivi unamshindwaje 'bongolala'?Hakuna mtu analazimika ila huo Ndio ukweli
Bongo lala Ndio mtaji wa CCM
Wasomi ni wapinzani
Tanga mgekua mbali sana lakini miji kama Arusha. Mwwnza. Kilimanjaro. Mbeya imewapita na Tanga vijijini Ndio shida kabisaHayaa ni maneno mbofuu mbofuu , Tangaa lamiii mpaka choonii, maji 24hrs, umeme upo grid ya Taifaaa, watu wanalimaaa vizuri, wanavua, VIWANDA kibao nafikir baada ya Dar ni Tanga, Kijana Tanga tuko mbali Sana, maneno yako yamezeeka
Ahahahhahaha itakuwaaaaa Singidaaa masharikii kwa Lissu, wanakunywa maji na wanyamaKawe
🤣🤣🤣
Bongolala hawezi kuelewa mpaka aamkeKama chadema mmeshindwa kushawishi hata 'MABONGOLALA' wawe nanyi basi hamfai hata kuwa viongozi wa familia zenu. Hivi unamshindwaje 'bongolala'?
Tumekubali kupitwaa na Mbeya, Mwanza,Arusha, KLM lakini sio hizo taka taka nyingine, Sawa SawaTanga mgekua mbali sana lakini miji kama Arusha. Mwwnza. Kilimanjaro. Mbeya imewapita na Tanga vijijini Ndio shida kabisa
Asilimia nyingi ya waislam kama Dodoma (kondoa ,irangi ),singida ,ni maskini wa kutupwa na wote ni ccmMaeneo yote yenye waislamu wengi CCM Inapeta tu pamoja na kwamba hakuna maendeleo kabisa na ni maeneo yaliotengwa
Sababu ya CCM kukubalika sana kwenye maeneo haya ni kwamba,,,
Waislamu wengi tumeishia darasa la saba na sisi ni jamii ya watu masikini sana hapa Tanzania mpaka Leo watoto wetu bado wanasoma chini ya miti
Lakini hii mikoa miaka 30 iliopita ilikua haifikii Tanga hata nusuTumekubali kupitwaa na Mbeya, Mwanza,Arusha, KLM lakini sio hizo taka taka nyingine, Sawa Sawa
Nasrmea kuhusu uamko wa watuAcha kufananisha JIJI na manispaaaa huo ni wehu
Maji mengi mjini vijijini shida SanaAhahahhahaha Tanga ndio mkoa wenye maji ya uhakika kabisa, baada ya Kilimanjaro, huku atuogei chumviii tunaogeaa maji baridi, ukijaaa hapo usikurupuke
Ebu niambie % ngapi Tanga vijijini wanapataaa maji, halafuu uje u niambie kwa mikoa ya Mbeya, Mwanza, Arusha, na Singidaaa kwa LissuMaji mengi mjini vijijini shida Sana
Hao watu ndio wamepelekea JIJI, unawezaje kutofautisha muamko wa watu na kupata hadhii ya JIJI !!!acha bangeNasrmea kuhusu uamko wa watu
Tanga ni mji uliodumaaEbu niambie % ngapi Tanga vijijini wanapataaa maji, halafuu uje u niambie kwa mikoa ya Mbeya, Mwanza, Arusha, na Singidaaa kwa Lissu
Ata China anamfukuzia US, lakini miaka ya 60 tulikuwa nae Sawa, hii Aina maana EUROPE wamechoka hapana uwezi zuia harakati za mtu, hizo taka taka Wana tafuta ambacho sisi tunachoo sio tatizo, ila marufuku kulinganisha naoLakini hii mikoa miaka 30 iliopita ilikua haifikii Tanga hata nusu
Na hizo taka taka zinakuja kwa kiasi na Tanga imedumaa
Watu wa Tanga bado bongo lala Sana sio siriHao watu ndio wamepelekea JIJI, unawezaje kutofautisha muamko wa watu na kupata hadhii ya JIJI !!!acha bange
Tanga imedumaa mikoa mingine inaendelea huoni totauti?Ata China anamfukuzia US, lakini miaka ya 60 tulikuwa nae Sawa, hii Aina maana EUROPE wamechoka hapana uwezi zuia harakati za mtu, hizo taka taka Wana tafuta ambacho sisi tunachoo sio tatizo, ila marufuku kulinganisha nao
Nani kakwambia ujanja ni kuangusha ccm? Tanga ni 89% wanakunywa maji saafi na salama, Singida wanakunywa maji na mifugooo kule kwa Lissu, dogo acha mahabaaaaa, halafuu niambie KLM Kuna Majimbo Mangapi na wapinzani wanayoo Mangapi?Tanga ni mji uliodumaa
La sivyo watu wa tanga wangekua wajanja na CCM ingeanguka
Kilimanjaro 100% maji mengi
Singida ni mkoa kame ila kuna mashirika kama TCRA yamechimba visima karibu vijiji vyote
Maneno ya kwenye Khangaaa wala hakuna jipyaWatu wa Tanga bado bongo lala Sana sio siri
Singida ni mji mkame ila kuna mashirika yanachimba visima kila kijijiNani kakwambia ujanja ni kuangusha ccm? Tanga ni 89% wanakunywa maji saafi na salama, Singida wanakunywa maji na mifugooo kule kwa Lissu, dogo acha mahabaaaaa, halafuu niambie KLM Kuna Majimbo Mangapi na wapinzani wanayoo Mangapi?
Mikoaa mingine ipi? ni mikoa 5 tu tena Yale majiji ndio Tanga tunaonaa yametuzidi , hiyo minginee hakuna kitu, Elimu ipi unayosema weweTanga imedumaa mikoa mingine inaendelea huoni totauti?
Kwanza watu wenu wengi bongo lala
Hata kwenye mitihani mpo chini Sana
Acha uvivu, nenda kajioneeTutajie ambacho kipo Songwe halafuu Tanga hakuna?