Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

Nimeshangaa Ata lamiiiii hakuna halafuu unasemaaaaa Kuna maendeleo hiviii ni vituko, Kigoma ahahahahah
Unajibu kinyonge sana baada ya kupata uhalisia wa mambo.

Magufuli mwenyewe kaenda akapigwa na butwaa kwa maendeleo makubwa kwenye majimbo ya wapinzani kuliko majimbo yaliyoongozwa na ccm.

Anabaki kunadi taa za barabarani utafikiri wananchi wanakula taa za barabarani

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ungeweka hata picha za mikutano ya Lowasa ya 2015 ili kutujengea imani. Kavu kavu namna hii ni sawa na kutuaminisha kuwa Bulaya na mdee siyo marafiki wanao......
 
Kama nawe unapenda kusagwa sema watu wazame inbox wakusage na kuzibua marinda yako jumla,unaonea wivu starehe za wenzako huku nawe una matobo??
Mkuu ungeweka hata picha za mikutano ya Lowasa ya 2015 ili kutujengea imani. Kavu kavu namna hii ni sawa na kutuaminisha kuwa Bulaya na mdee siyo marafiki wanao......
 
Mtajua kuwa hamjui mwaka huu na kutumia nguvu kubwa ya kukata majina ya wagombea na kutumia nguvu za poliCCM..
Bado mnaogopa chama mlichosema kimeshakufa..!)
Mwaka huu Chadema watajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi apeperushe
 
vijana wa Chadema mtajinyonga sana mwaka huu
 
Mtajua kuwa hamjui mwaka huu na kutumia nguvu kubwa ya kukata majina ya wagombea na kutumia nguvu za poliCCM..
Bado mnaogopa chama mlichosema kimeshakufa..!)
Mwaka huu Chadema watajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi apeperushe
 
Mtajua kuwa hamjui mwaka huu na kutumia nguvu kubwa ya kukata majina ya wagombea na kutumia nguvu za poliCCM..
Bado mnaogopa chama mlichosema kimeshakufa..!)

Mwaka huu vijana wa Chadema mtajinyonga sana

Huyo msaliti wa Nchi Lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Atarudi ubeligiji analia
 
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Lissu akipata hata kura laki tano mkatambike
Mmejipanga kwa wizi lakini kwa kura za wananchi lazima mkae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…