Labda wataalamu wa sheria watusaidie. Maana kiukweli hakufanyiwa kitendo kizuri ila maamuzi aliyoyachukua ni mabovu. Hakujali afya ya akili ya watoto wake, akatumia hasira.Hivi hakuna jinsi mama anaweza kurudi mahakamani kumwombea mkewe msamaha
Kabisa mkuu...👍Walio matured ndo wanaweza kukuelewa.
Ogopa sana ukikutana na jina atufiwe au atufilwe,kijana alitaka kupeleka home michezo ya mjini!Mahakama ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mtweve(28) mkazi wa kata ya Lugarawa kwa kosa la kumlawiti mke wake (27) ambaye jina lake limehifadhiwa.
Awali akisomewa shitaka hilo na mwendesha mashtaka Asifiwe Asajile mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Isaac Ayeng'o ilielezwa kuwa mwanamke huyo alienda kwenye harusi na kuchelewa kurudi nyumbani kwake ambapo aliporejea majira ya usiku alimkuta mumewe nje akimsubiri huku akiwa amekasirika.
Amesema kuwa mtuhumiwa huyo alimuamuru mkewe kuingia ndani na alipoingia akaanza kimfokea kuwa ametoka kwa wanaume na hakuwa kwenye harusi hivyo anataka amuoneshe kuwa yeye ni ndiye mwanaume ndani ya nyumba ambapo akachukua mafuta na kumfanyia kitendo hicho kitu ambacho ni kinyume cha sheria kifungu namba 154(1) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022.
Ameongeza kuwa kulipokucha mkewe alitoa taarifa kituo cha polisi na kisha mtuhumiwa alikamatwa na kufikishwa mahakamani ambapo alikana shitaka hilo lakini baada ya kufanyika uchunguzi na kutolewa ushahidi wa pande zote mbili mtuhumiwa alikutwa na hatia na katika utetezi wake aliiomba mahakama impunguzie adhabu kwani ana watoto wadogo wanaomtegemea.
Kutokana na utetezi huo hakimu huyo aliyapokea maombolezo yake kisha kumhukumu kifungo hicho cha miaka 30 jela huku mwendesha mashtaka huyo Asifiwe Asajile akisema adhabu hiyo iwe fundisho kwa wale wote wenye tabia hizo kwani kitendo hicho ni cha kikatili na udhalilishaji.
View attachment 2869886
#WasafiDigital
Wivu ndio mapenzi 🤭Wivu ni ugonjwa mbaya sana.
Ni funzo pia, tusifanye maamuzi tukiwa na mihemko.Very sad
[emoji16][emoji16][emoji16]Jamaa akamsukuma tope mke wake..sema binti wa watu nae ndio wale watakatifu..wangekua ni hao wa huko daslama wala isingetangazwa
Ila kwa upande mwingine yuko sahihi..Ni funzo pia, tusifanye maamuzi tukiwa na mihemko.
Yah! Ndo maana kuna upande mbili, yupo sahihi kwa kiasi kikubwa kilichomwangusha ni hekima tu.Ila kwa upande mwingine yuko sahihi..
Ma boss wafiraji sanaSheria zimewekwa kwa ajili ya masikini kama unajijua wewe ni pangupakavu basi jitahidi usivunje sheria.
KwakweliYah! Ndo maana kuna upande mbili, yupo sahihi kwa kiasi kikubwa kilichomwangusha ni hekima tu.
Hasira zikimwisha ni majuto kama huyo mme wake anavyojuta sasa hivi.
Hajashitaki ukishitaki ana shitakiwaMwanamke akifanyiwa ni kosa la jinai, Ila akifanyiwa mwanaume kwake Haina shida
Cc.Aliyekuwa Waziri Wa KATIBA .. ALIMWINGIZIWA MWANAUME CHUPA Na DPP kaona Hana hatia (Gekul)
Aaaah huyo ni katili sana..Kuna siku atamcharanga vipande....Huko njombe wanakunywa Nini mbona wendawazimu sana?
Mm staki jipya kwanza unaanzaj3 ombaMke yuko sahihi.umaskini usikuvue utu wako
Hapo amemlawiti angekuja kumlawiti tena na tena from there angeanza dharau.hakuna mwanamke ambae amefanyiwa huo udhalimu akaishi vizuri na mume wake.kila siku wanaume wanataka tako jipya.akafie jela huko
Hiki kizazi ni Cha hovyo sana.Hivi haya mambo si wazaramo sikU hizi wanajisifia kuwa wanapeleka watu kwa Mpalange? Itakuwa jamaa aligundua kitu . Kizazi hiki ni shida sana. Hakifai.
Nasisitiza,kifanyiwe uchunguzi..Ah ah ogopa kitu kinacho itwa Ulanzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watoto watakua tu,Kuna watu wanafariki na watoto wanalelewa na mama,huwezi kuvunjiwa utu uendelee kumvumilia kisa watoto,,,,Sasa kichaa kama huyo anaweza hata kulea watoto?Hapo ndo pale wanaposema Umeruka mkojo umekanyaga mavi... Mwanamke alifanya kwa hasiraa itakuwa hadi sasa haamini kaachiwa mzigo wa watoto apambane nao..!! Haina kukata rufaaa wala kupindishaa..[emoji16][emoji16][emoji16] kama mwana wangu flani alijaza kitumbo mwanafunzi tukamwambia torokaa akawaa anajichekeshaa oohoo mzahaa sio mzahaaa..