Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

Mkuu hata mimi naona hii habari haina muunganiko na ina matobo mengi sana,huenda kuna kitu hakiko sawa kwa hawa wazazi.
 
HIi story inaonekana dhahiri wameitunga tu. Yaani mtu atoweke ghafla na mtoto na mifugo, mumpigie simu awajibu kirahisi tu kuwa aliiacha shambani na mtoto alimuacha huko halafu mnamuamini tu? na mnaona hakuna hata haja ya kwenda kutoa taarifa Polisi?
Kwa mji kama Moshi au popote mfanyakazi wenu auze Mbuzi 35 halafu asiwepo hata mtu mmoja wa kujua kwa miezi yote mitano?
Hata ukisoma kuhusu ule upande wa pili jinsi walivyopata taarifa na kumkama mtuhumiwa, walivyomhoji akakataa na kumuachia, yaana mhoji tu mtuhumiwa bila kumhoji mtoto? Bila kumpima? Bila kujiuliza kwanini haendi shule? Bila kutaka kujua yule mtoto kwao ni wapi?
Hapana kwakweli, hii story nimeikataa.
 
Tumewaza sawa
 
Kuwa jirani tu na mchaga ni shida, ukiona jirani anahamia mchaga jipige uzio.


Wanatamaa sana. Wakiona pesa
Duh asee tulipofikia kwenye ukabila ni hatari. Ila mimi huwa naona mnakuwaga na wivu tu
Sio wivu mkuu. Ukute mchaga chapombe ndiye mmepakana viwanja........muda wowote anaviza vyote.


Mie nikisikia rafudhi yao Huwa nasitisha mazungumzo nao yanayohusu pesa.


Ni wezi na matapeli sana hao jamaa
 
Ila huko kasikazini kuna mambo ya ajabu...sijui ni bangi au kitu gan?

Juzi wanaokota mwalimu katupwa kwenye miwa, mara amuue mama yake amfukie, mara padre alwawiti watoto 14...mara shekhe alawiti watoto 22..

Au mnasingiziana...

NB...ASILIMIA KUBWA YA MASHOGA HAPA DAR WANATOKA HUKO KASIKAZINI LABDA WANATENGENEZWA HIVYO
 
Duh aisee Kuna Cha kujifunza hapa.[emoji120]
 
Acha ufala wewe.
 
M.asai kwenye ubora wake.
Yaani wamasai ni wezi
Sasa hilila kulawiti ni kama simba kula.nyama ya mtu..

Asakwe
 
Why? Wamasai nao, tena wa Monduli wamekuwa kama Vijana wa Kinondoni Studio?
Huu upumbavu wa kuamini kuwa kulawitiana kuko mikoa ya Pwani tu,uachwe,na ni watu fulani tu wanaofanya hivyo,uachwe kabisa.Ndio kinachofanya watu wa aina fulani,kutoka mikoa fulani kuaminiwa,kumbe hao ndio washenzi kabisa.
Huu ushenzi uko kwa kabila,yoyote ile,watu wawe making na watoto wao,hata kama mtoto ana miaka 18,wengi sasa vijana wa mikoa ya bara,wameshafanywa na kuharibiwa vibaya.
 


Nenda Kinondoni fala wewe kuanzia studio, kupanda, mpaka kwa Mchina saa 1 asubuhi kama hutakosa wanaume mchana kweupe mashoga!

Nimetembea sana, sijawahi liona hili jambo linalofanana na Hili kokote huko. Dar ea salaam ndo mkoa usiokuwa na maadili kuliko wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…