Aibu kubwa kwa BBC swahili kupitia chaneli ya Star TV kutoonyesha habari ya mkutano wa FOCAC huko China

Aibu kubwa kwa BBC swahili kupitia chaneli ya Star TV kutoonyesha habari ya mkutano wa FOCAC huko China

Hizi media kubwa kubwa zina hidden agenda ya kuhakikisha kila kizuri cha wakubwa fulani kinapigiwa chapuo mara 10000000 huku uovu ukifunikwa na kifuniko kikuu...Afrika mlango unafunguliwa ili kila kitu kionekane lakini kisielezwe Kwa maslahi ya Mama Afrika..
Kudos [emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji449][emoji441][emoji450]

Umemaliza mkuu.....
 
Ni aibu kwa star tv ya akina Odemba, raia wa Kenya aliyetumwa kama mamluki wa kusababisha vurugu Tanzania
Odemba shikilia hapo hapo chama cha kupatia ushindi kwenye mapori, bado kinajiliza kwa ile aibu ya mdahalo hadi sasa.
 
Afrika iamkiwe na nani tena mkuu ?!!

Halafu jibu lake litakuwa MARHABAA ama ?!!
Bbc haina muda wa kutangaza habaro za TBC, hizo habari zipeni media za machawa zifanye kazi hiyo.
 
[emoji1787]
Duniani kote watu hutekwa....

Ni hivi majuzi watekaji wamemtwanga RISASI ya sikio Rais mstaafu na mgombea wa urais wa Marekani mh.Donald Trump....
Unafahamu kilichompata Director wao wa usalama wa Taifa?
 
Nasikia aliyemtwanga risasi hajakamatwa, upepelezi bado unaendelea kama huku Tanzania.
Wewe endelea kusikia... jamaa aliuwawa pale pale juu ya paa la nyumba alipokuwa amejificha, check your facts....na mkuu wa usalama akalazimika kujiuzulu baada ya kula kibano cha kufa mtu bungeni...
 
Odemba shikilia hapo hapo chama cha kupatia ushindi kwenye mapori, bado kinajiliza kwa ile aibu ya mdahalo hadi sasa.
Unialike chai kwako ili unisimange na kunisigina ?!!

Ni "merits* zipi za uandishi wa habari kujiliza mbele ya watu huku ukisema kuwa "....ameingia mitini"....kulikuwa na haja gani ya kusema vile?!!

Odemba hakufanya mawasiliano ya maongezi na KATIBU MKUU bali njia ya SMS....

Ni kwanini Odemba "alimby pass" mwenezi wetu taifa ndugu Makalla?!! [emoji44][emoji44]
 
Sasa kujifunza mbinu bora za kilimo na kuangalia mkutano, tena unaofanyika China badala ya kufanyika Afrika,kipi bora? wewe utakula mkutano kweli??
Wafadhili wa huo mkutano wa kilimo Rwanda ni MAHASIMU WA CHINA kiuchumi.....
 
Wewe endelea kusikia... jamaa aliuwawa pale pale juu ya paa la nyumba alipokuwa amejificha, check your facts....na mkuu wa usalama akalazimika kujiuzulu baada ya kula kibano cha kufa mtu bungeni...
Namuenjoy huyu Mbugila.
 
Bbc haina muda wa kutangaza habaro za TBC, hizo habari zipeni media za machawa zifanye kazi hiyo.
TBC haipo nchini Kenya....serikali ya Kenya nayo imehudhuria huko FOCAC CHINA....
 
Wafadhili wa huo mkutano wa kilimo Rwanda ni MAHASIMU WA CHINA kiuchumi.....
I don't care nani mfadhili, hoja yangu ni kwamba kujifunza kilimo bora na kuangalia mkutano unaofanyika China kipi bora? Utakula mkutano wewe mtu masikini??
 
Back
Top Bottom