Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
- Thread starter
- #81
Hapana kaka....Una ugomvi na Odemba??
Namheshimu mno japo juzi kumualika katibu wetu mkuu hakutanguliza NIA NJEMA....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kaka....Una ugomvi na Odemba??
Kudos [emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji449][emoji441][emoji450]Hizi media kubwa kubwa zina hidden agenda ya kuhakikisha kila kizuri cha wakubwa fulani kinapigiwa chapuo mara 10000000 huku uovu ukifunikwa na kifuniko kikuu...Afrika mlango unafunguliwa ili kila kitu kionekane lakini kisielezwe Kwa maslahi ya Mama Afrika..
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Africa itaamka kwa kutangazwa na bbc? Uza ubongo huo dogo.Hawataki Afrika iamke....
Wao kazi yao ni kujificha katika kivuli cha DEMOKRASIA yenye "anuani" yao....[emoji25]
Afrika iamkiwe na nani tena mkuu ?!!Africa itaamkwa kwa kutangazwa na bbc? Uza ubongo huo dogo.
Odemba shikilia hapo hapo chama cha kupatia ushindi kwenye mapori, bado kinajiliza kwa ile aibu ya mdahalo hadi sasa.Ni aibu kwa star tv ya akina Odemba, raia wa Kenya aliyetumwa kama mamluki wa kusababisha vurugu Tanzania
Sasa kujifunza mbinu bora za kilimo na kuangalia mkutano, tena unaofanyika China badala ya kufanyika Afrika,kipi bora? wewe utakula mkutano kweli??Hakika mkuu wangu [emoji7]
Bbc haina muda wa kutangaza habaro za TBC, hizo habari zipeni media za machawa zifanye kazi hiyo.Afrika iamkiwe na nani tena mkuu ?!!
Halafu jibu lake litakuwa MARHABAA ama ?!!
Nasikia aliyemtwanga risasi hajakamatwa, upepelezi bado unaendelea kama huku Tanzania.[emoji1787]
Duniani kote watu hutekwa....
Ni hivi majuzi watekaji wamemtwanga RISASI ya sikio Rais mstaafu na mgombea wa urais wa Marekani mh.Donald Trump....
Unafahamu kilichompata Director wao wa usalama wa Taifa?[emoji1787]
Duniani kote watu hutekwa....
Ni hivi majuzi watekaji wamemtwanga RISASI ya sikio Rais mstaafu na mgombea wa urais wa Marekani mh.Donald Trump....
Wewe endelea kusikia... jamaa aliuwawa pale pale juu ya paa la nyumba alipokuwa amejificha, check your facts....na mkuu wa usalama akalazimika kujiuzulu baada ya kula kibano cha kufa mtu bungeni...Nasikia aliyemtwanga risasi hajakamatwa, upepelezi bado unaendelea kama huku Tanzania.
Unialike chai kwako ili unisimange na kunisigina ?!!Odemba shikilia hapo hapo chama cha kupatia ushindi kwenye mapori, bado kinajiliza kwa ile aibu ya mdahalo hadi sasa.
Wafadhili wa huo mkutano wa kilimo Rwanda ni MAHASIMU WA CHINA kiuchumi.....Sasa kujifunza mbinu bora za kilimo na kuangalia mkutano, tena unaofanyika China badala ya kufanyika Afrika,kipi bora? wewe utakula mkutano kweli??
Namuenjoy huyu Mbugila.Wewe endelea kusikia... jamaa aliuwawa pale pale juu ya paa la nyumba alipokuwa amejificha, check your facts....na mkuu wa usalama akalazimika kujiuzulu baada ya kula kibano cha kufa mtu bungeni...
TBC haipo nchini Kenya....serikali ya Kenya nayo imehudhuria huko FOCAC CHINA....Bbc haina muda wa kutangaza habaro za TBC, hizo habari zipeni media za machawa zifanye kazi hiyo.
Hakika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nasikia aliyemtwanga risasi hajakamatwa, upepelezi bado unaendelea kama huku Tanzania.
I don't care nani mfadhili, hoja yangu ni kwamba kujifunza kilimo bora na kuangalia mkutano unaofanyika China kipi bora? Utakula mkutano wewe mtu masikini??Wafadhili wa huo mkutano wa kilimo Rwanda ni MAHASIMU WA CHINA kiuchumi.....
Uliskia wap mkuu😅😅😅😅Nasikia aliyemtwanga risasi hajakamatwa, upepelezi bado unaendelea kama huku Tanzania.
Ntajie iyo source na mm nianze kuiskiliza😅😅Uliskia wap mkuu😅😅😅😅
Etii Nini?Ni aibu kwa star tv ya akina Odemba, raia wa Kenya aliyetumwa kama mamluki wa kusababisha vurugu Tanzania