Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Acha waendelee kukaza vichwa. Mungu anaenda kuvikata vibaya sana.Inasikitisha sana
Waishie huko huko kudeal na mambo ya kipuuzi.Siku hizi CCM ni wazamini wazuri wazuri wa mahurusi ya wasanii.mfano walicho fanya kwa JUX
Kodi za mlalahoi anaye rubuniwa kwa mlo wa siku,kanga,kofia ulevi wa muda mfupi,ahadi hewa za matumaini ama vitisho vya amani isiyo itambua Haki iwe ya kwenye chaguzi au haki nyingine za raia.Siku hizi CCM ni wazamini wazuri wazuri wa mahurusi ya wasanii.mfano walicho fanya kwa JUX
Poleni sana. Kubalini tu kuwaachia wafungwa wa kisiasa na kuweka mifumo Wananchi wapate Viongozi wanaowachagua kweli ili muendelee kuishi kwa amani.Endelea kuota na kujipa matumaini feki.Wananchi wa Tanzania sio wajinga wa kuwafuata nyie na agenda zenu feki.Na wamewakataa na wataendelea kuwakataa.Na hapo huwa mnakuja na matusi kwamba sio waelewa.
Agenda zenu za maandamano zimekataliwa na zitaendelea kukataliwa.Ushahidi ni Mbowe alivyoitisha maandamano alishiriki yeye na binti yake.
Itisheni maandamano muone wangapi watajitokeza.Alibebwa Lisu kwenye mkutano na hakuna aliyemuunga mkono.
Endeleeni kuwa keyboard warriors na mashujaa wa mitandaoni.
Mkuu kuna tatizo gani tukipata tume ya uchaguzi ambayo inatoa usawa na haki kwa kila chama.Endelea kuota na kujipa matumaini feki.Wananchi wa Tanzania sio wajinga wa kuwafuata nyie na agenda zenu feki.Na wamewakataa na wataendelea kuwakataa.Na hapo huwa mnakuja na matusi kwamba sio waelewa.
Agenda zenu za maandamano zimekataliwa na zitaendelea kukataliwa.Ushahidi ni Mbowe alivyoitisha maandamano alishiriki yeye na binti yake.
Itisheni maandamano muone wangapi watajitokeza.Alibebwa Lisu kwenye mkutano na hakuna aliyemuunga mkono.
Endeleeni kuwa keyboard warriors na mashujaa wa mitandaoni.
Mungu awape baraka wote wanaopaza sauti ya Haki na awalaani wasio ipenda sauti ya haki ila wanaipenda amani kwa dhuluma na nguvu za kimamlaka.Poleni sana. Kubalini tu kuwaachia wafungwa wa kisiasa na kuweka mifumo Wananchi wapate Viongozi wanaowachagua kweli ili muendelee kuishi kwa amani.
Mkiendelea kushupaza shingo hizo zitakatwa.
Acha waendelee kushupaza shingo. Siku itafika Wananchi wanaingia Mtaani alafu Jeshi litawaambia hatuwezi kupiga risasi Wananchi wasio na Hatia. It's Either mtoke au muwasikilize.Mungu awape baraka wote wanaopaza sauti ya Haki na awalaani wasio ipenda sauti ya haki ila wanaipenda amani kwa dhuluma na nguvu za kimamlaka.
Hakuna marefu yasiyo na ncha.Kila kitu kina mwisho wake.
Kwanza hakuna "keyboard warriors" huo ni msemo unaotumiwa na watawala madikteta na mafashisti uchwara.Endeleeni kuwa keyboard warriors na mashujaa wa mitandaoni.
Jamii haitaki hizo agenda zenu mnalazimisha.Keyboard warriors au Keyboard cowboys mnachochea na wananchi walio wengi hawawataki.Wananchi wakihitaji mabadiliko watayafanya.Nyie msijifanye mnawabebea akili na wakiwakataa mnawakashifu kwa matusi ya aina yote.Kwanza hakuna "keyboard warriors" huo ni msemo unaotumiwa na watawala madikteta na mafashisti uchwara.
Duniani kote hutumika vyombo vya kusambaza habari kuleta mabadiliko kwenye jamii. Zamani ilikuwa ni magazeti, Redio au taarifa za mtu kwa mtu.
Leo hii mitandao ya kijamii ndiyo nyenzo pekee ya haraka na inayodhibitiwa na jamii yenyewe, inayoweza kutumika kusambaza habari.
Sasa hao unaowaita "Keyboard warriors" unataka wafanye nini kuamini wanasaidia kuleta mabadiliko?
Wao wanatoa taarifa lakini kama jamii ya watanzania haigutuki wasilaumiwe wao!
Weka hapa agenda ambazo jamii haitaki ila CHADEMA inalazimisha!Jamii haitaki hizo agenda zenu mnalazimisha.
Chawa wote wametumwa leo kuanzisha nyuzi ila wanapigwa za uso na Watanzania hadi wanakimbiaChawa wao hapa JF kapuku Lucas Mwashambwa naye kapata wakati mgumu kutaka kuwashambulia na kuwadhalilisha maaskofu wanaotetea haki ya mpiga kura.