PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Machawa yanapigwa kama ngoma , utasikia mzee wasiria uchaguzi uko palepale , nendeni sasa mfanye wenyewe na mjichague wenyewe tuone what next.

KKT VS RC Waisha tia nyundo ya kwanza mayoe kila kona, ya pili mtapoteana bado ya pili.

Tulisha sema ccm itatawanywa kwa njia saba isijue pa kutokea.

Mzee wasila mpaka njia ya kwenda nyumbani kwake ataikosa .

Chawa wote mtakua vichaa ghafla .
 
Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu.

Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao.

Baada ya Kanisa Katoliki kusoma Waraka wake wa Pasaka ulioelekeza Wafungwa wa Kisiasa kuachiwa pamoja na Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kabla ya Uchaguzi, CCM waliandaa mapandikizi yao na machawa wao kujaribu kuhamisha mjadala ili uonekane wa kidini na ili ionekane Kanisa Katoliki na Maaskofu wanamchukia Samia kwa sababu ni muislam.

Mungu si Athumani, propaganda hizi mfu walizokuja nazo CCM na vibaraka wao akiwemo Sheikh Mwaipopo aliyepo Mbeya zimekataliwa vibaya sana na Watanzania.

Watanzania kwa umoja wao wameonesha kukataa kurubuniwa na propaganda hizi za CCM na kusema kwa Wazi wamechoka dhuluma na Uonevu unaofanywa na CCM.

Watanzania kwa pamoja wameonekana wakihoji Mbona Kanisa Katoliki lilimsema na kumuonya Magufuli? ambaye alikuwa Mkristo na Mkatoliki mwenzao sasa udini wao upo wapi?

Watanzania wamehoji mbona Samia na vikosi vyake wamemuua Mzee Kibao ambaye ni muislam na hadi leo wapo kimya sasa udini wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki na wengineo upo wapi?

Nipende kuwapa polee sana CCM. Napenda kuwaambia kuwa nyakati hazirudi nyuma. Na ukomo wenu umefika hakika.

Mnaweza dhani kuwa nawatania ila kubalini tu tu Watanzania sasa hawawezi tena kurubuniwa na Propaganda zenu Mfu. Watanzania wanataka kuheshimiwa kwa Sanduku la Kura pamoja na Maamuzi yao kuwaweka Viongozi wanaowataka Madarakani.

Poleni sana CCM. Jueni mkiendelea kupambana na Maaskofu kifuatacho sasa ni kupambana na Wananchi direct then Jeshi la Wananchi.
View attachment 3310943
Vp yule mhaini wenu kaachiliwa au umefanya tathmini kwa njia gani. We ni nyumbu tu zero brain.
 
Tlaatlaah sasa hii kauli mbiu tulipewa tuseme udini inakuaje? Maana Magufuli alikuwa Mkatoliki na bado alikosolewa.
 
H
Kodi za mlalahoi anaye rubuniwa kwa mlo wa siku,kanga,kofia ulevi wa muda mfupi,ahadi hewa za matumaini ama vitisho vya amani isiyo itambua Haki iwe ya kwenye chaguzi au haki nyingine za raia.
Hakuna mtanzania anayeweza kurubuniwa kwa chakula, uwe na adabu we mbwa koko. Km ukoo wako ni maskini kiasi hicho usijefikiri watanzania wako hivyo
 
Acha waendelee kushupaza shingo. Siku itafika Wananchi wanaingia Mtaani alafu Jeshi litawaambia hatuwezi kupiga risasi Wananchi wasio na Hatia. It's Either mtoke au muwasikilize.
Wananchi hawana sababu ya kufanya huo upuuzi. CCM imefanya maendeleo makubwa sana hawawezi kuingia mtaani kisa wavuta bangi wanataka kuingia ikulu.
 
Uwezi shindana na taasisi ambayo iki kooa tu dk 1 ujumbe umefika nchi nzimakwa propaganda za kitoto chura kiziwi bhana
 
Wananchi hawana sababu ya kufanya huo upuuzi. CCM imefanya maendeleo makubwa sana hawawezi kuingia mtaani kisa wavuta bangi wanataka kuingia ikulu.
Acha makasiriko watannzania wanautambua ujinga wenu na wameamua ni muda wa no reform no election
 
Hii nchi inachezewa. Ccm wanatumia simba na yanga na hawa machawa uchwara kutaka kuhamisha upepo wa mabadiliko. Wasichokijua ni kuwa watu washasanuka.

Wanadai eti Maaskofu wanakosoa kisa rais ni waupande mwingine lakini wanajisahaulisha kuwa hata Mwendazake na akina Mkapa walipigwa spana na kanisa hilo hilo wanalosali.

Tunakataa, tunataka mabadiloko.

Tutakuwepo na tutashuhudia
Watanzania wameshawashtukia saivi. Wakikabwa na ujinga wao wanakimbilia kichaka cha kuanzisha propaganda za udini na amani.

CCM ni mapuuzi sana
 
Machawa yanapigwa kama ngoma , utasikia mzee wasiria uchaguzi uko palepale , nendeni sasa mfanye wenyewe na mjichague wenyewe tuone what next.

KKT VS RC Waisha tia nyundo ya kwanza mayoe kila kona, ya pili mtapoteana bado ya pili.

Tulisha sema ccm itatawanywa kwa njia saba isijue pa kutokea.

Mzee wasila mpaka njia ya kwenda nyumbani kwake ataikosa .

Chawa wote mtakua vichaa ghafla .
Yaaan mwaka huu hata yaje na Propaganda gani yanapigwa za usi hadi yanakimbia
 
Agenda ya kutoshiriki uchaguzi.Vyama 18 vinavyowakilisha watanzania vimekubali kushiriki uchaguzi.Na ndio venye wafuasi walio wengi Nchini.
Ccm Ina vijana wapumbavu sana mi siwezi kabisa R.I.P Mzee sita ulitufunza mambo makubwa na mazito sana mabadiliko yapo na yanakuja endelea kushupaza shingo
 
We msenge sana, watanzania gani unaowazungumzia wewe?!!!
Hii siyo lugha ya watu wastaarabu. Hata kama unatumia jina bandia lakini hii ndiyo tabia yako kwani kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wake.

Tujadiliane kistaarabu huku tukiheshimu utu wa wengine.
 
Back
Top Bottom