PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu.

Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao.

Baada ya Kanisa Katoliki kusoma Waraka wake wa Pasaka ulioelekeza Wafungwa wa Kisiasa kuachiwa pamoja na Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kabla ya Uchaguzi, CCM waliandaa mapandikizi yao na machawa wao kujaribu kuhamisha mjadala ili uonekane wa kidini na ili ionekane Kanisa Katoliki na Maaskofu wanamchukia Samia kwa sababu ni muislam.

Mungu si Athumani, propaganda hizi mfu walizokuja nazo CCM na vibaraka wao akiwemo Sheikh Mwaipopo aliyepo Mbeya zimekataliwa vibaya sana na Watanzania.

Watanzania kwa umoja wao wameonesha kukataa kurubuniwa na propaganda hizi za CCM na kusema kwa Wazi wamechoka dhuluma na Uonevu unaofanywa na CCM.

Watanzania kwa pamoja wameonekana wakihoji Mbona Kanisa Katoliki lilimsema na kumuonya Magufuli? ambaye alikuwa Mkristo na Mkatoliki mwenzao sasa udini wao upo wapi?

Watanzania wamehoji mbona Samia na vikosi vyake wamemuua Mzee Kibao ambaye ni muislam na hadi leo wapo kimya sasa udini wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki na wengineo upo wapi?


Nipende kuwapa polee sana CCM. Napenda kuwaambia kuwa nyakati hazirudi nyuma. Na ukomo wenu umefika hakika.

Mnaweza dhani kuwa nawatania ila kubalini tu tu Watanzania sasa hawawezi tena kurubuniwa na Propaganda zenu Mfu. Watanzania wanataka kuheshimiwa kwa Sanduku la Kura pamoja na Maamuzi yao kuwaweka Viongozi wanaowataka Madarakani.

Poleni sana CCM. Jueni mkiendelea kupambana na Maaskofu kifuatacho sasa ni kupambana na Wananchi direct then Jeshi la Wananchi.
View attachment 3310943
Unajitahidi kujifatiji..
Endelea hivyo hivyo utawapata tu.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
We msenge sana, watanzania gani unaowazungumzia wewe?!!! Hao nyumbu wenzio kwakuwa mmesemewa na hao viongozi wenu wa dini ambao ni wanachama wenu?!!! Kwa kifupi tu ni kwamba jana wanachama wenu hao wameharibu sana sana sana. Naona unajitahidi kwa nguvu zote kuhamisha magoli lakini wakichokifanya hakina afya na haijulikani nani ataathirika zaidi lilitokea hilo walitakalo hao maaskofu wenu (migogoro ya kidini).
Watu wengi mtaani, ukiacha nyumbu wa lissu humu mitandaoni wamepuuza kabisa waliloliongea hao wanafiki.....na wengine, wakiwa hawaamini kama watu wazima hawa, tena viongozi, wanaweza kupotoka namna hii. Hawana haraka katika kusema, wametulia kwanza wajue waseme nini. Kama umetumwa huko uje hapa na kinyuzi chako mbuzi hiki, basi kawaambie Bado sana.........
Naona dawa inaingia vizuri. Endelea kutukana kupunguza maumivu.
 
Li mama likokaribu kudondoka, mtaani halipendwi limejiandaa kuingia madarakani kwa kuiba kura. NO REFORM NO ELECTION.
Mtasubiri sana mambwa mabaguzi wakubwa nyie! Mtaendelea kumuona vizuri tu, na mkipofuka macho basi mtamsikia.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Chama cha mapinduzi kilichoshindwa kulete mapinduzi! Kwa sasa kimepinduka chalii!
 
Agenda ya kutoshiriki uchaguzi.Vyama 18 vinavyowakilisha watanzania vimekubali kushiriki uchaguzi.Na ndio venye wafuasi walio wengi Nchini.
Kwani CHADEMA wanaosema hawatashiriki siyo sehemu ya wananchi wa Tanzania?
 
Kwahiyo Huyu unayebishana nae hapa sio sehemu ya jamii?, Au jamii unayoiwaza wewe kwenye fuvu lako ni ile inayomsifia samia na genge lake?. Swali umeulizwa Kwani kuna ubaya gani kukiwa na TUME HURU YA UCHAGUZI?, NA UCHAGUZI UKAWA HURU NA HAKI??. Unaleta porojo.... Ndio mnaitwa ng'ombe wa samia na mkenua midomo tu.
Jamii haitaki hizo agenda zenu mnalazimisha.Keyboard warriors au Keyboard cowboys mnachochea na wananchi walio wengi hawawataki.Wananchi wakihitaji mabadiliko watayafanya.Nyie msijifanye mnawabebea akili na wakiwakataa mnawakashifu kwa matusi ya aina yote.
 
Wanaokimbilia dini ni wale waliofiriska kifikra,mbona hata enzi za JPM walikuwa wakimpinga sana,huyu mzanzibar aache kujifichia kwenye kivuli cha dini yake,kama anataka uongozi aende akagombee Zanzibar,sisi Tanganyika tutajua Cha kufanya

1745233604629.jpeg
 
Kwani CHADEMA wanaosema hawatashiriki siyo sehemu ya wananchi wa Tanzania?
Sehemu ndogo sana na ni haki yao kutoshiriki wakiamua kutoshiriki.Wasijifanye wana monopoly ya uamuzi wasiposhiriki wao basi wengine wote wasishiriki.
Wakisusa wasuse.Linganisha waraka wa 2018 uone tofauti.Unatoa ultimatum kwa Serikali?Udini unawaharibia sana.
 
Angalia mjinga mwingine huyu.Mantiki ni ile ile.Sasa mmetoka kuwa Chama cha Siasa mmekuwa Cult ya kuaminishwa kwa mtu anayekufa amekaza fuvu.Ndesamburo alimkazia nani fuvu,Pope kafa leo alimkazia nani fuvu.Mpo desperate mpaka mnatia huruma.
Hawa wote uliowataja wamekufa kwa uzee. Huyu mamako atalamba bungo akikaza fuvu kama ilivyokuwa kwa jiwe
 
Hawa wote uliowataja wamekufa kwa uzee. Huyu mamako atalamba bungo akikaza fuvu kama ilivyokuwa kwa jiwe
Kwani kufa wanaokufa wote wamekufa kwa uzee?Magufuli alikuwa kijana?Ni ujinga tu unakusumbua kuamini ujinga.Kila kiumbe kitakufa kama hujui hilo basi akili zako sio timamu.Angalia usitangulie wewe.Au unadhani vijana hawafi?
 
Kwahiyo Huyu unayebishana nae hapa sio sehemu ya jamii?, Au jamii unayoiwaza wewe kwenye fuvu lako ni ile inayomsifia samia na genge lake?. Swali umeulizwa Kwani kuna ubaya gani kukiwa na TUME HURU YA UCHAGUZI?, NA UCHAGUZI UKAWA HURU NA HAKI??. Unaleta porojo.... Ndio mnaitwa ng'ombe wa samia na mkenua midomo tu.
Hahahah
 
Back
Top Bottom