PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu.

Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao.

Baada ya Kanisa Katoliki kusoma Waraka wake wa Pasaka ulioelekeza Wafungwa wa Kisiasa kuachiwa pamoja na Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kabla ya Uchaguzi, CCM waliandaa mapandikizi yao na machawa wao kujaribu kuhamisha mjadala ili uonekane wa kidini na ili ionekane Kanisa Katoliki na Maaskofu wanamchukia Samia kwa sababu ni muislam.

Mungu si Athumani, propaganda hizi mfu walizokuja nazo CCM na vibaraka wao akiwemo Sheikh Mwaipopo aliyepo Mbeya zimekataliwa vibaya sana na Watanzania.

Watanzania kwa umoja wao wameonesha kukataa kurubuniwa na propaganda hizi za CCM na kusema kwa Wazi wamechoka dhuluma na Uonevu unaofanywa na CCM.

Watanzania kwa pamoja wameonekana wakihoji Mbona Kanisa Katoliki lilimsema na kumuonya Magufuli? ambaye alikuwa Mkristo na Mkatoliki mwenzao sasa udini wao upo wapi?

Watanzania wamehoji mbona Samia na vikosi vyake wamemuua Mzee Kibao ambaye ni muislam na hadi leo wapo kimya sasa udini wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki na wengineo upo wapi?

Nipende kuwapa polee sana CCM. Napenda kuwaambia kuwa nyakati hazirudi nyuma. Na ukomo wenu umefika hakika.

Mnaweza dhani kuwa nawatania ila kubalini tu tu Watanzania sasa hawawezi tena kurubuniwa na Propaganda zenu Mfu. Watanzania wanataka kuheshimiwa kwa Sanduku la Kura pamoja na Maamuzi yao kuwaweka Viongozi wanaowataka Madarakani.

Poleni sana CCM. Jueni mkiendelea kupambana na Maaskofu kifuatacho sasa ni kupambana na Wananchi direct then Jeshi la Wananchi.
View attachment 3310943
Kibaraka wao haachiwi,kesi Iko pale pale na TEC hawana Cha kufanya.

Na wakiendelea waunanishwe
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hii nchi inachezewa. Ccm wanatumia simba na yanga na hawa machawa uchwara kutaka kuhamisha upepo wa mabadiliko. Wasichokijua ni kuwa watu washasanuka.

Wanadai eti Maaskofu wanakosoa kisa rais ni waupande mwingine lakini wanajisahaulisha kuwa hata Mwendazake na akina Mkapa walipigwa spana na kanisa hilo hilo wanalosali.

Tunakataa, tunataka mabadiloko.

Tutakuwepo na tutashuhudia
 
Weka hapa agenda ambazo jamii haitaki ila CHADEMA inalazimisha!
Agenda ya kutoshiriki uchaguzi.Vyama 18 vinavyowakilisha watanzania vimekubali kushiriki uchaguzi.Na ndio venye wafuasi walio wengi Nchini.
 
Mufti Zuber kwenye Baraza la Idi aliropoka sana kuikandia Chadema na No Reforms No Elelection yao lakini hakuna aliyeinua kalio lake kusema alikuwa anachanganya Dini na Siasa, jana Maaskofu wamekemea maovu ya Serikali chawa wamelipuka kuwatukana na kuwakejeli, yaani kunya anye kuku tu bata kaharisha,CCM inatumia mbinu za kijinga sana kujibu hoja.
 
Endelea kuota na kujipa matumaini feki.Wananchi wa Tanzania sio wajinga wa kuwafuata nyie na agenda zenu feki.Na wamewakataa na wataendelea kuwakataa.Na hapo huwa mnakuja na matusi kwamba sio waelewa.
Agenda zenu za maandamano zimekataliwa na zitaendelea kukataliwa.Ushahidi ni Mbowe alivyoitisha maandamano alishiriki yeye na binti yake.
Itisheni maandamano muone wangapi watajitokeza.Alibebwa Lisu kwenye mkutano na hakuna aliyemuunga mkono.
Endeleeni kuwa keyboard warriors na mashujaa wa mitandaoni.
Chawa na Malaya wa kisiasa naomba unisikilize vizuri na kwa bahati mbaya CCM wote mtumia Matako kufikiria .Mnatumia tumbo kufikiria kwa sababu ya njaa.

1.Watanzania hawawaungi mkono hata kidogo isipo kuwa ni waoga na hivyo udhaifu huo ni faida kwenu

2.Asilimia kubwa na polisi niwaliofeli masomo (VILAZA POLISI) ,kilaza yoyote hana uwezo wa kufikiria kabla ya kutenda na hivyo maandamano hayawezekani kwasababu Polisi akiua ndiyo promotion kwake na faida kwa CCM .Hii IPO Tanzania tu.

3.Wanashabikia CCM namba moja ni Polisi ambao kwa uhakika wengi wamepata nafasi hizo kwa mgongo wa U-CCM

3.CCM wote Wana njaa ,ni wavivu wa kazi na kufikiria wako tayari kuua ilimradi waendelee kupata pesa.
 
Tumekaa pale. Alionywa Magufuli akashupaza shingo. Leo yupo wapi?
Jinga kweli,Haomatapeli wenu ndio wanaamua nani Aishi nani afe? Mbona papa wao kajifia huko so wazuie?

Magufuli alokufa Kwa COVID kama wengine tuu.

Kesi iko.pale pale na wahaini wote watashughulikiwa.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Tumekaa pale. Alionywa Magufuli akashupaza shingo. Leo yupo wapi?
Ndio ujinga wenyewe huo.Kwani asingeonywa asingekufa?Mantiki ya mifano yenu ni ya kitoto sana lakini cha ajabu mnaamini kabisa kwamba vina uhusiano na so called maonyo.
 
Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu.

Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao.

Baada ya Kanisa Katoliki kusoma Waraka wake wa Pasaka ulioelekeza Wafungwa wa Kisiasa kuachiwa pamoja na Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kabla ya Uchaguzi, CCM waliandaa mapandikizi yao na machawa wao kujaribu kuhamisha mjadala ili uonekane wa kidini na ili ionekane Kanisa Katoliki na Maaskofu wanamchukia Samia kwa sababu ni muislam.

Mungu si Athumani, propaganda hizi mfu walizokuja nazo CCM na vibaraka wao akiwemo Sheikh Mwaipopo aliyepo Mbeya zimekataliwa vibaya sana na Watanzania.

Watanzania kwa umoja wao wameonesha kukataa kurubuniwa na propaganda hizi za CCM na kusema kwa Wazi wamechoka dhuluma na Uonevu unaofanywa na CCM.

Watanzania kwa pamoja wameonekana wakihoji Mbona Kanisa Katoliki lilimsema na kumuonya Magufuli? ambaye alikuwa Mkristo na Mkatoliki mwenzao sasa udini wao upo wapi?

Watanzania wamehoji mbona Samia na vikosi vyake wamemuua Mzee Kibao ambaye ni muislam na hadi leo wapo kimya sasa udini wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki na wengineo upo wapi?

Nipende kuwapa polee sana CCM. Napenda kuwaambia kuwa nyakati hazirudi nyuma. Na ukomo wenu umefika hakika.

Mnaweza dhani kuwa nawatania ila kubalini tu tu Watanzania sasa hawawezi tena kurubuniwa na Propaganda zenu Mfu. Watanzania wanataka kuheshimiwa kwa Sanduku la Kura pamoja na Maamuzi yao kuwaweka Viongozi wanaowataka Madarakani.

Poleni sana CCM. Jueni mkiendelea kupambana na Maaskofu kifuatacho sasa ni kupambana na Wananchi direct then Jeshi la Wananchi.
View attachment 3310943
The joke is on TEC

THEY ARE BERY UNPOPULAR
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Endelea kuota na kujipa matumaini feki.Wananchi wa Tanzania sio wajinga wa kuwafuata nyie na agenda zenu feki.Na wamewakataa na wataendelea kuwakataa.Na hapo huwa mnakuja na matusi kwamba sio waelewa.
Agenda zenu za maandamano zimekataliwa na zitaendelea kukataliwa.Ushahidi ni Mbowe alivyoitisha maandamano alishiriki yeye na binti yake.
Itisheni maandamano muone wangapi watajitokeza.Alibebwa Lisu kwenye mkutano na hakuna aliyemuunga mkono.
Endeleeni kuwa keyboard warriors na mashujaa wa mitandaoni.
Watanzania unawapima kukataa kitu kwa kupambana na vyombo vya dola! Kipimo cha kupambana na vyombo vya dola hicho kiko huko Congo chini ya M23, watanzania hawajaamka kutumia silaha. Subiri siku wakishika silaha ndio uwapime kws kigezo hicho cha vyombo vya dola. Kwa sasa kipimo chao halisi ni box la kura kwenye uwanja wa ushindani ulio sawa. Huo ukipatikana ndio uje utoe mrejesho wa watanzania.
 
Kuna mashekhe hapa, baada ya kusikia kauli ya Mwaipopo, hapo hapo wakasema, " Mwaipopo hajawahi kuwa shekhe, ni tapeli tu. Yeye wakati wote anapenda kujipendekeza kwa waarabu ili avute pesa". Wakasema kuwa ni bahati mbaya wao waislam hawana mifumo kama ile yaKanisa Katoliki, kama wangekuwa nayo, Mwaipopo angekuwa amefukuzwa kwa utapeli kupitia dini".
 
Huyu mama akiendelea kukaza fuvu atatema bungo very soon.
Angalia mjinga mwingine huyu.Mantiki ni ile ile.Sasa mmetoka kuwa Chama cha Siasa mmekuwa Cult ya kuaminishwa kwa mtu anayekufa amekaza fuvu.Ndesamburo alimkazia nani fuvu,Pope kafa leo alimkazia nani fuvu.Mpo desperate mpaka mnatia huruma.
 
Acha waendelee kukaza vichwa. Mungu anaenda kuvikata vibaya sana.
Maaskofu kama hawa hawa ndio walisimamia mauaji ya kimbari kule Rwanda, na ndio maana huko hawana shobo na hizo dini. Kwa hawa maaskofi walikuwa wapi wakati Lissu anasema atahamasisha "Uasi" wao kwao ni sawa?? Kwa nini hawa paka hawakumkanya Lissu?? Wanaona yeye ana haki ya kukinukisha sio?? Wao kama wanataka vita wasituletee upumbavu wao hapa!!
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Kuna mashekhe hapa, baada ya kusikia kauli ya Mwaipopo, hapo hapo wakasema, " Mwaipopo hajawahi kuwa shekhe, ni tapeli tu. Yeye wakati wote anapenda kujipendekeza kwa waarabu ili avute pesa". Wakasema kuwa ni bahati mbaya wao waislam hawana mifumo kama ile yaKanisa Katoliki, kama wangekuwa nayo, Mwaipopo angekuwa amefukuzwa kwa utapeli kupitia dini".
Masheikh wepi hawa?Kwa sababu sasa hivi mmekuwa viwanda vya uzushi.
 
Jinga kweli,Haomatapeli wenu ndio wanaamua nani Aishi nani afe? Mbona papa wao kajifia huko so wazuie?

Magufuli alokufa Kwa COVID kama wengine tuu.

Kesi iko.pale pale na wahaini wote watashughulikiwa.
Tumekaa pale. Hata wafuasi wa Magufulu walikuwa na kiburi hivyo hivyo kutukebehi humu
 
Maaskofu kama hawa hawa ndio walisimamia mauaji ya kimbari kule Rwanda, na ndio maana huko hawana shobo na hizo dini. Kwa hawa maaskofi walikuwa wapi wakati Lissu anasema atahamasisha "Uasi" wao kwao ni sawa?? Kwa nini hawa paka hawakumkanya Lissu?? Wanaona yeye ana haki ya kukinukisha sio?? Wao kama wanataka vita wasituletee upumbavu wao hapa!!
Kwani Mzee Kibao na Soka wameuwawa na nani hapa Tanzania?
 
Back
Top Bottom