PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata scrpt ya mwijaku imefeli pia, no reform no election
 
Watanzania now wameshaamka hakuna mpumbavu,waliobakia kutetea ccm ni machawa na wanaosubiri teuzi za mchongo
 
Kibaraka wao haachiwi,kesi Iko pale pale na TEC hawana Cha kufanya.

Na wakiendelea waunanishwe
20250326_151537.jpg

Yaani siku ikitokezea chadema wamewavalisha wageni nguo za Chadema mtasikia nchi inatakakuwapa wageni.
 
Endelea kuota na kujipa matumaini feki.Wananchi wa Tanzania sio wajinga wa kuwafuata nyie na agenda zenu feki.Na wamewakataa na wataendelea kuwakataa.Na hapo huwa mnakuja na matusi kwamba sio waelewa.
Agenda zenu za maandamano zimekataliwa na zitaendelea kukataliwa.Ushahidi ni Mbowe alivyoitisha maandamano alishiriki yeye na binti yake.
Itisheni maandamano muone wangapi watajitokeza.Alibebwa Lisu kwenye mkutano na hakuna aliyemuunga mkono.
Endeleeni kuwa keyboard warriors na mashujaa wa mitandaoni.
Umeandika vizuri sana mkuu 'Tui'; sasa tukuombe uwasihi hao viongozi wa CCM wanaokubalika sana na wananchi, waruhusu tu pawe na uchaguzi Huru na HAKI.
CCM hawawezi kupoteza chochote, kwa sababu wananchi wanawaaminia sana!

Waombe viongozi wako wa CCM wasiwe na woga na wananchi ambao tayari walisha wakataa wapinzani. Wananchi hawa watakapo wapigia kura zote za ndiyo viongozi wa CCM bila ya mizengwe yoyote, hapo sote tutapata ushahidi ulio wazi kwamba "wananchi walisha wakataa wapinzani". Sasa shida ipo wapi?
 
Back
Top Bottom