ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kibaraka wao haachiwi,kesi Iko pale pale na TEC hawana Cha kufanya.Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu.
Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao.
Baada ya Kanisa Katoliki kusoma Waraka wake wa Pasaka ulioelekeza Wafungwa wa Kisiasa kuachiwa pamoja na Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kabla ya Uchaguzi, CCM waliandaa mapandikizi yao na machawa wao kujaribu kuhamisha mjadala ili uonekane wa kidini na ili ionekane Kanisa Katoliki na Maaskofu wanamchukia Samia kwa sababu ni muislam.
Mungu si Athumani, propaganda hizi mfu walizokuja nazo CCM na vibaraka wao akiwemo Sheikh Mwaipopo aliyepo Mbeya zimekataliwa vibaya sana na Watanzania.
Watanzania kwa umoja wao wameonesha kukataa kurubuniwa na propaganda hizi za CCM na kusema kwa Wazi wamechoka dhuluma na Uonevu unaofanywa na CCM.
Watanzania kwa pamoja wameonekana wakihoji Mbona Kanisa Katoliki lilimsema na kumuonya Magufuli? ambaye alikuwa Mkristo na Mkatoliki mwenzao sasa udini wao upo wapi?
Watanzania wamehoji mbona Samia na vikosi vyake wamemuua Mzee Kibao ambaye ni muislam na hadi leo wapo kimya sasa udini wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki na wengineo upo wapi?
Nipende kuwapa polee sana CCM. Napenda kuwaambia kuwa nyakati hazirudi nyuma. Na ukomo wenu umefika hakika.
Mnaweza dhani kuwa nawatania ila kubalini tu tu Watanzania sasa hawawezi tena kurubuniwa na Propaganda zenu Mfu. Watanzania wanataka kuheshimiwa kwa Sanduku la Kura pamoja na Maamuzi yao kuwaweka Viongozi wanaowataka Madarakani.
Poleni sana CCM. Jueni mkiendelea kupambana na Maaskofu kifuatacho sasa ni kupambana na Wananchi direct then Jeshi la Wananchi.
View attachment 3310943
Tumekaa pale. Alionywa Magufuli akashupaza shingo. Leo yupo wapi?Kibaraka wao haachiwi,kesi Iko pale pale na TEC hawana Cha kufanya.
Na wakiendelea waunanishwe
Kumpa mtu kesi sio tatizo mzee, tatizo linaanzia kwenye ku prove kuwa hiyo kesi ni ya kweli na ina mashiko.Kibaraka wao haachiwi,kesi Iko pale pale na TEC hawana Cha kufanya.
Na wakiendelea waunanishwe
Magufuli alionywa na nani? Hakuna kitakachofanyika na mhaini atapewa adhabu stahiki.Tumekaa pale. Alionywa Magufuli akashupaza shingo. Leo yupo wapi?
Agenda ya kutoshiriki uchaguzi.Vyama 18 vinavyowakilisha watanzania vimekubali kushiriki uchaguzi.Na ndio venye wafuasi walio wengi Nchini.Weka hapa agenda ambazo jamii haitaki ila CHADEMA inalazimisha!
Chawa na Malaya wa kisiasa naomba unisikilize vizuri na kwa bahati mbaya CCM wote mtumia Matako kufikiria .Mnatumia tumbo kufikiria kwa sababu ya njaa.Endelea kuota na kujipa matumaini feki.Wananchi wa Tanzania sio wajinga wa kuwafuata nyie na agenda zenu feki.Na wamewakataa na wataendelea kuwakataa.Na hapo huwa mnakuja na matusi kwamba sio waelewa.
Agenda zenu za maandamano zimekataliwa na zitaendelea kukataliwa.Ushahidi ni Mbowe alivyoitisha maandamano alishiriki yeye na binti yake.
Itisheni maandamano muone wangapi watajitokeza.Alibebwa Lisu kwenye mkutano na hakuna aliyemuunga mkono.
Endeleeni kuwa keyboard warriors na mashujaa wa mitandaoni.
Jinga kweli,Haomatapeli wenu ndio wanaamua nani Aishi nani afe? Mbona papa wao kajifia huko so wazuie?Tumekaa pale. Alionywa Magufuli akashupaza shingo. Leo yupo wapi?
Ndio ujinga wenyewe huo.Kwani asingeonywa asingekufa?Mantiki ya mifano yenu ni ya kitoto sana lakini cha ajabu mnaamini kabisa kwamba vina uhusiano na so called maonyo.Tumekaa pale. Alionywa Magufuli akashupaza shingo. Leo yupo wapi?
The joke is on TECKwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu.
Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao.
Baada ya Kanisa Katoliki kusoma Waraka wake wa Pasaka ulioelekeza Wafungwa wa Kisiasa kuachiwa pamoja na Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi kabla ya Uchaguzi, CCM waliandaa mapandikizi yao na machawa wao kujaribu kuhamisha mjadala ili uonekane wa kidini na ili ionekane Kanisa Katoliki na Maaskofu wanamchukia Samia kwa sababu ni muislam.
Mungu si Athumani, propaganda hizi mfu walizokuja nazo CCM na vibaraka wao akiwemo Sheikh Mwaipopo aliyepo Mbeya zimekataliwa vibaya sana na Watanzania.
Watanzania kwa umoja wao wameonesha kukataa kurubuniwa na propaganda hizi za CCM na kusema kwa Wazi wamechoka dhuluma na Uonevu unaofanywa na CCM.
Watanzania kwa pamoja wameonekana wakihoji Mbona Kanisa Katoliki lilimsema na kumuonya Magufuli? ambaye alikuwa Mkristo na Mkatoliki mwenzao sasa udini wao upo wapi?
Watanzania wamehoji mbona Samia na vikosi vyake wamemuua Mzee Kibao ambaye ni muislam na hadi leo wapo kimya sasa udini wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki na wengineo upo wapi?
Nipende kuwapa polee sana CCM. Napenda kuwaambia kuwa nyakati hazirudi nyuma. Na ukomo wenu umefika hakika.
Mnaweza dhani kuwa nawatania ila kubalini tu tu Watanzania sasa hawawezi tena kurubuniwa na Propaganda zenu Mfu. Watanzania wanataka kuheshimiwa kwa Sanduku la Kura pamoja na Maamuzi yao kuwaweka Viongozi wanaowataka Madarakani.
Poleni sana CCM. Jueni mkiendelea kupambana na Maaskofu kifuatacho sasa ni kupambana na Wananchi direct then Jeshi la Wananchi.
View attachment 3310943
Watanzania unawapima kukataa kitu kwa kupambana na vyombo vya dola! Kipimo cha kupambana na vyombo vya dola hicho kiko huko Congo chini ya M23, watanzania hawajaamka kutumia silaha. Subiri siku wakishika silaha ndio uwapime kws kigezo hicho cha vyombo vya dola. Kwa sasa kipimo chao halisi ni box la kura kwenye uwanja wa ushindani ulio sawa. Huo ukipatikana ndio uje utoe mrejesho wa watanzania.Endelea kuota na kujipa matumaini feki.Wananchi wa Tanzania sio wajinga wa kuwafuata nyie na agenda zenu feki.Na wamewakataa na wataendelea kuwakataa.Na hapo huwa mnakuja na matusi kwamba sio waelewa.
Agenda zenu za maandamano zimekataliwa na zitaendelea kukataliwa.Ushahidi ni Mbowe alivyoitisha maandamano alishiriki yeye na binti yake.
Itisheni maandamano muone wangapi watajitokeza.Alibebwa Lisu kwenye mkutano na hakuna aliyemuunga mkono.
Endeleeni kuwa keyboard warriors na mashujaa wa mitandaoni.
Angalia mjinga mwingine huyu.Mantiki ni ile ile.Sasa mmetoka kuwa Chama cha Siasa mmekuwa Cult ya kuaminishwa kwa mtu anayekufa amekaza fuvu.Ndesamburo alimkazia nani fuvu,Pope kafa leo alimkazia nani fuvu.Mpo desperate mpaka mnatia huruma.Huyu mama akiendelea kukaza fuvu atatema bungo very soon.
Maaskofu kama hawa hawa ndio walisimamia mauaji ya kimbari kule Rwanda, na ndio maana huko hawana shobo na hizo dini. Kwa hawa maaskofi walikuwa wapi wakati Lissu anasema atahamasisha "Uasi" wao kwao ni sawa?? Kwa nini hawa paka hawakumkanya Lissu?? Wanaona yeye ana haki ya kukinukisha sio?? Wao kama wanataka vita wasituletee upumbavu wao hapa!!Acha waendelee kukaza vichwa. Mungu anaenda kuvikata vibaya sana.
Masheikh wepi hawa?Kwa sababu sasa hivi mmekuwa viwanda vya uzushi.Kuna mashekhe hapa, baada ya kusikia kauli ya Mwaipopo, hapo hapo wakasema, " Mwaipopo hajawahi kuwa shekhe, ni tapeli tu. Yeye wakati wote anapenda kujipendekeza kwa waarabu ili avute pesa". Wakasema kuwa ni bahati mbaya wao waislam hawana mifumo kama ile yaKanisa Katoliki, kama wangekuwa nayo, Mwaipopo angekuwa amefukuzwa kwa utapeli kupitia dini".
Tumekaa pale. Hata wafuasi wa Magufulu walikuwa na kiburi hivyo hivyo kutukebehi humuJinga kweli,Haomatapeli wenu ndio wanaamua nani Aishi nani afe? Mbona papa wao kajifia huko so wazuie?
Magufuli alokufa Kwa COVID kama wengine tuu.
Kesi iko.pale pale na wahaini wote watashughulikiwa.
Kwani Mzee Kibao na Soka wameuwawa na nani hapa Tanzania?Maaskofu kama hawa hawa ndio walisimamia mauaji ya kimbari kule Rwanda, na ndio maana huko hawana shobo na hizo dini. Kwa hawa maaskofi walikuwa wapi wakati Lissu anasema atahamasisha "Uasi" wao kwao ni sawa?? Kwa nini hawa paka hawakumkanya Lissu?? Wanaona yeye ana haki ya kukinukisha sio?? Wao kama wanataka vita wasituletee upumbavu wao hapa!!
Usichanganye mada na uasi p. Mbaaaf mkubwa we!Kwani Mzee Kibao na Soka wameuwawa na nani hapa Tanzania?