Mhhh siyo mtanzania ?Diallo alijipendekeza mwenyewe, mwaka 2015, hakutumwa na Magufuli, Magufuli never had any promise or kind of agreement with Diallo, Kwanza Diallo sio mtanzania, ni Mamluki, apotelee mbali huko
Diallo alijipendekeza mwenyewe, mwaka 2015, hakutumwa na Magufuli, Magufuli never had any promise or kind of agreement with Diallo, Kwanza Diallo sio mtanzania, ni Mamluki, apotelee mbali huko
Dialllo siyo mzinza ni msukuma wa Bariadi ila baadaye wazazi wake walihamia Malya wilayani Kwimba. Jina lake ni Antony Nyala. Diallo ni nick name tu.Acha ubaguzi, huyo ni mzinza. Usidamganyike na jina la dialo, majina mengi afrika yanafanana
Kuji ajiri ndiyo njia sahihi ya kupambana na ugumu wa maishaRadio karibu zote zimefilisika. watanagzaji wengi matajiri hawategemei vyombo vyao au mshahara wao wengi wao ni Madanga, Mashoga, wafanyabiashara za saloon,nguo na Madj wa club pia wapo ma Mcs.
Radion anaenda tu kutafuta exposure basi ila ki ukweli watangazaji wanapitia hali ngumu sana.
Ambao hawana biashara zilizotajwa hapo juu ni mafisadi kuliko huo ufisadi wanaoutangaza na kuuandika, ni wala Rushwa wa maana. Ila kwenye media nyingi za FM wameamua kuwa mashoga na kusapoti ushoga na inawalipa sana.
Kuanzia pale uchafuni, mawinguni na aeiofm, ni vichaka vya kupush hiyo ajenda.
Kujiajiri bado ni njia sahihi ya kuepukana na kadhia Kama hz,kuajiliwa hukujawah kumwacha mtu salama hasa campuni ikiyumba Kama iv.Radio karibu zote zimefilisika. watanagzaji wengi matajiri hawategemei vyombo vyao au mshahara wao wengi wao ni Madanga, Mashoga, wafanyabiashara za saloon,nguo na Madj wa club pia wapo ma Mcs.
Radion anaenda tu kutafuta exposure basi ila ki ukweli watangazaji wanapitia hali ngumu sana.
Ambao hawana biashara zilizotajwa hapo juu ni mafisadi kuliko huo ufisadi wanaoutangaza na kuuandika, ni wala Rushwa wa maana. Ila kwenye media nyingi za FM wameamua kuwa mashoga na kusapoti ushoga na inawalipa sana.
Kuanzia pale uchafuni, mawinguni na aeiofm, ni vichaka vya kupush hiyo ajenda.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] usicheke mkuu!Jamaa kaishiwa mbinu labda au alipukutishwa na Task force [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani ni zama tu ndiyo zimefika mwisho.... ila nashangaa ilikuwaje maana jamaa waliiteka kanda ya ziwa. Kiss FM ilikuwa yamoto sana miaka ile 2004-2009 huku RFA ndio balaa zaidi katika majiji yote nchini kuanzia MZA, DAR na hata Arachuga
Kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa Tobby, alikuwa anajua sana sijui yuko wapi siku hizi!!Dah, mie nilikuwa mnazi sana wa Kiss FM ya kina Dee7, DJ Malis huku RFA marehemu nanii akiwa anakimbiza sana
Ni hatari sana yaniKuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa Tobby, alikuwa anajua sana sijui yuko wapi siku hizi!!
tatizo la sahara media ni la muda mrefu mno, la EATV nadhani ni baada ya mzee Mengi kufarikiEatv walipitia hiyo hali... kama una wadau una weza kuwa uliza zaidi...
Ni hali ya kawaida ktk kampuni pale inapoyumba...
Tobby the splashKuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa Tobby, alikuwa anajua sana sijui yuko wapi siku hizi!!
Hollywood Hamilton Jamaa namkubali sana na Slang yake...Jmosi nilikuwa Sikosi kusikiliza.Hivi hii kitu bado ipo
Jmosi nilikuwa sikosi top30 ya hamilton
Kumbe akina Millard wanaliwaRadio karibu zote zimefilisika. watanagzaji wengi matajiri hawategemei vyombo vyao au mshahara wao wengi wao ni Madanga, Mashoga, wafanyabiashara za saloon,nguo na Madj wa club pia wapo ma Mcs.
Radion anaenda tu kutafuta exposure basi ila ki ukweli watangazaji wanapitia hali ngumu sana.
Ambao hawana biashara zilizotajwa hapo juu ni mafisadi kuliko huo ufisadi wanaoutangaza na kuuandika, ni wala Rushwa wa maana. Ila kwenye media nyingi za FM wameamua kuwa mashoga na kusapoti ushoga na inawalipa sana.
Kuanzia pale uchafuni, mawinguni na aeiofm, ni vichaka vya kupush hiyo ajenda.
Story za vijiwenKumbe akina Millard wanaliwa