Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Bado sijasikiliza hiyo clip ila haujui hata Rais wa nchi huwa anapangwa na kuelekezwa aongee nini, ajibu nini na asiseme nini kila akienda kuongea mbele za watu?
 
Kwanza hizo sauti ni za kutengenezaa tyuuh. Wala sio halisia, kikubwa GSM na hersi watoke hadharani kukanushaaa, vinginevyo Fei yuko sahihi.
Makolo bhn,mtumiege akili sometimes mjue kutofautisha sauti Genuine na za kutengeneza..Hahiitaji ushabiki kujua hii sauti ni genuine japokuwa mimi sijaona la ajaby sana lililoongeleka na kama unabisha hiyo sio sauti ya Feitoto nakupa namba yake anayoitumia(sio ile ya kuchangiwa michango) mpigie jifanye tu kama umekosea halafu uje utofautishe sauti utakayosikia na hii
 
Ingekuwa kweli basi yeye ndo angewafundisha hao na sio hao wamfundishe fei


Waza vizur
Taaluma ya kuongea kwenye media sio kila mtu anayo hivyo lazima upate guide kwa watu ambao wana ujuzi wa hiyo kitu.

Inawezekana Feisali aliwasimulia kila kitu hao ila namna ya kuanza ku present mbele ya media ndio hapo alipohitaji usaidizi.
 
Ila tz kesi za Milembe ni nyingi badala ya kujibu hoja watu wanajitetea.
UKiona ivyo alichozungumza kina ukweli
 
Una maanisha Kipanya ndiye Wakili wake/Mwanasheria?
Kipanya si anapaswa kuwa kwenye neutral ground?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila hujaona ajabu kwa kilicho ongelewaa?? Basi sawa case [emoji735]

Watuhumiwa watoke kukanushaa sasa.
 
Inawezekana kuna aibu wanataka kuificha, ila mbona rahisi sana. Mpige fain fei, mruhusu aondoke. Discussion inakwisha. Hapa sasa hivi unaleta sauti mara mwenzako anakuja na video na tuhuma za ajabu mnazidi kuzalilishana.
Feisal akifunguka zaidi,kuna hatari ya mtu kudharirika pakubwa sana.Tuliomsikiliza Feisal tumemwelewa na ndiyo maana 'rais' hataki kumwachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…