Uchaguzi 2020 Aidah Kenani (CHADEMA) wa Nkasi Kaskazini amuangusha bwana Ally Kessy (CCM)

Huyu Ally Kessy ana kiherehere, nafkiri ni mkakati wa Chama kumuondoa bungeni. Haiwezekani hata kidogo mbunge wa CCM kushindwa kwa namna mambo yalivyo majimboni mwaka huu. Kessy hatakiwi aingie bungeni mara hii ndio maana kapigwa chini.
Huyu ni miongoni mwa wabunge waliokuwa wanatoa pendekezo kiongozi wa nchi aongezewe muhula wa kuendelea kutawala.
 
Afadhali maana huyu Kessy alishaanza kuongea mambo ya kubadili baadhi ya mambo bungeni.
 
Safi,maana alionyesha mahaba zaidi na kutaka kuvunja katiba yetu,akimwambia Spika kwa ushawishi aidha nampongeza Spika Dr Tulia Ackson
 
Ukweli watu wengi hawajajitokeza kupiga kura alafu wanalalamika ccm kushinda jamani kura moja ina impact
Akili za hovyo hizi kwanini iwaadhiri upi zani tu, ccm wameiba Sana uchaguzi huu jiwe anataka USHINDI wa kishindo
 
Hawa Ghasia naye ana gundu kushindwa mwaka huu hakukuwa na uchaguzi aisee. But I'm happy hao wamama wawili wameenda bungeni Ila sioni impact yao
Sio gundu ni yule shetani mkuu hamtaki kwa ajiki ya kutetea korosho.
 
Acha ujinga wewe, acha na yeye akale pesa. Unataka kina mbowe tu ndio wafaidi
 
Watakuwa mchawi kapita kwenye msitu wa watu.
 
Uzuri kila nafsi itajibu kwa kile kilichofanya.........
 
Ongera sana Chadema kwakupata mbunge mmoja, japokuwa hata maliza miakayake mitano akiwa bado ni mbunge wa Chadema.
 
Ahahah
 
Mkiwa na kiongozi mkuu mnafiki na zao la shetani, waongozwa wote mtajuta. Sahizi kuna watu wanafurahia lakini waja wakati ambao wanaofurahia watajuta kuliko wanaoumia leo.

Nchi ipo katika laana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siasa zisikufanye ukawaona watu mashetani na kuhisi laana juu yao, nafikiri endelea kupambania familia yako, kuna vitu huwa vinafanyika far worse than this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…