tuletee data mzee ingependeza sana tuelimike.. maana hatujui the secret ajenda sisi tunafurahia ajira lakini hatujui ndaniHawa wa Israel wanaanzisha Makampuni lakini ndani ya hiyo kampuni kuna kuwa na kitengo cha ujasusi.
Utaona kampuni kwa nje na inafanya kazi iliyoelekezwa na kilimo kinafanya kumbe kuna kazi nyingine inafanyika ya ujasusi.
Wafanyakazi wa kubwa ni watu wenye mission zao.
Kuna kampuni nyuma huko ilikuwa inaendesha shughuli zake Tanzania baada ya kampuni kutoka kufungwa,watu wakajuwa kuna ujasusi ulikuwa unafanyika kwenye Nchi zetu
Walianzisha kampeni Chato iwe mkoa sasa sijui waliishia wapi.Anatia huruma sana, wenzake wengi wamepotea jukwaani sasa, wanakuja kwa kuvizia vizia.
Mchakato wa hii pesa umeanza zaidi ya miaka10 iliyopita. Kila kiongozi amekua kwenye kuhakikisha hili linafanikiwa na hatimae tumefika hapa
Miaka kumi nchi inatafuta nusu trillioni! Hii sio biashara ya hesabu za Polepole?
Mkuu mama D hongera kwa ku-support hoja zako kwa Neno. Hapa sintakupinga kabisa. Ila Mama mnamsifia sana
Ngoja niweke akiba ya Maneno kwanza.....Miezi tu haitoshi kumsifia..mwendazake naye alianza vizuri akalewa madaraka akaanza kuongoza kwa mkono wa chuma...Hahahaa Gwallo ππππ
Mama ndio Rais wetu, sisi watanzania tunatakiwa kufanya nae vitu sahihi ili nchi isonge mbele.
Yeye anatusikiliza kwa maoni na ushauri, ila sasa tunapoamua kumtukana, kumkejeli na kumdharau ni kwamba tunajitaftia matatizo na haviwezi suluhisho la shida zetu
Btw SSH ndiye Rais halali kabisa wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, ndio ameshakalia kitu cha kuliongoza hili taifa hatu wanaochukia waseme kitu gani hawawezi kumwondoa madarakani
Sisi kama taifa kwanza tujue kabisa kuna wakati tofauti zetu zifike ukomo wa kumpa adui wa nje nafasi ya kutuvuruga; kwa huvyo tumwombee Rais wetu afya na Mungu amzidishie hekima na maarifa ili atufikishe tunakotamani.
Ngoja niweke akiba ya Maneno kwanza.....Miezi tu haitoshi kumsifia..mwendazake naye alianza vizuri akalewa madaraka akaanza kuongoza kwa mkono wa chuma...
Hana akili huyu ni kichaaUnahangaikaaaaa
Una kiranga kweli wewe
ππΏππΏππΏ Ila nawewe achana na marehemuGwallo kuna tofauti kati kumpa mtu sifa na kukubali kwamba tunafanya kazi na kiongozi wetu mkuu
Badala ya kusubiri na kumtakia kushindwa tumshauri bila kumdharau wala kumtusi na zaidi ya hayo tumuombee.
JPM atabaki kuwa Mwamba Shujaa na rais wa karne kwa mengi makubwa na mazuri aliyofanya. Aendelee kupumzika kwa amani kipenzi chetuβ€πΉπΏπ
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake woteπΉπΏβ€π
Kimfaacho mtu chake - Wahenga
Unamatatizo weweNimecheka sana siku ya Jana, eti Mwenyekiti wa CCM anasema miezi Sita tu SSH ameshaamuru ujenzi wa Barbara, si mnaona barabara inajengwa? Nikacheka sana, hizi barabara zilianza kujengwa tangu mwaka Jana na ni pesa ya Mkopo wala sio serikali...ndio hki sasa kinachozungumzwa hapa, hawa jjamaa walishafanya Research na waliwatumia Galalie University ya Israel na nilihudhuria ile WEBNAR kwahio kusema eti sijui Samia sijui nini ni ujinga na kutaka kumpa MTU sifa asizostahili....
ππΏππΏππΏ Ila nawewe achana na marehemu
Hiyo pia ni akili inayowatofautisha wao na sisi. Chukua ukubwa wa ardhi ya Israel halafu ilinganishe na ya kwetu halafu linganisha kinachozalishwa kwao na hiki kinachozalishwa hapa Tanzania.Yaani wamekuja empty handed, kwa kuwa ngozi yao ni nyeupe, mabenki matano yameungana na kuwaamini kuwakopesha ilihali mabenko hayo hayo hayawezi kuwaamini locals wenye mali zisizohamishika wakawakopesha kiasi hicho cha pesa.
Na kuna mijitu inashangilia eti tz imepata mwekezaji
Shukranj MpwaUnamatatizo wewe