Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

Hawa wa Israel wanaanzisha Makampuni lakini ndani ya hiyo kampuni kuna kuwa na kitengo cha ujasusi.
Utaona kampuni kwa nje na inafanya kazi iliyoelekezwa na kilimo kinafanya kumbe kuna kazi nyingine inafanyika ya ujasusi.
Wafanyakazi wa kubwa ni watu wenye mission zao.
Kuna kampuni nyuma huko ilikuwa inaendesha shughuli zake Tanzania baada ya kampuni kutoka kufungwa,watu wakajuwa kuna ujasusi ulikuwa unafanyika kwenye Nchi zetu
tuletee data mzee ingependeza sana tuelimike.. maana hatujui the secret ajenda sisi tunafurahia ajira lakini hatujui ndani
 
Anatia huruma sana, wenzake wengi wamepotea jukwaani sasa, wanakuja kwa kuvizia vizia.
Walianzisha kampeni Chato iwe mkoa sasa sijui waliishia wapi.
Wamekimbia ajenda ipo mezani.
 
Miaka kumi nchi inatafuta nusu trillioni! Hii sio biashara ya hesabu za Polepole?
Mchakato wa hii pesa umeanza zaidi ya miaka10 iliyopita. Kila kiongozi amekua kwenye kuhakikisha hili linafanikiwa na hatimae tumefika hapa
 
Miaka kumi nchi inatafuta nusu trillioni! Hii sio biashara ya hesabu za Polepole?

Wewe umetafuta ngapi kwa miaka10😂😂😂😂

Halafu usiseme miaka10 nchi inatafuta nusu trillion utaonekana mjinga au huna ufahamu.... sababu matumizi ya mishahara tuu kwa mwezi ili wewe na mimi tuweze pata huduma inaweza kuwa mara tatu au nne ya hiyo nusu trilion unayodhani inatafutwa kwa miaka10

Usione uko salama nyumbani kwako, unapata ulinzi wako na mali zako, unapata maji na umeme na watoto wanasoma mashuleni ukachukulia powa.

Ni bora kutoa ushauri kuliko kubeza vitu vidogo unavyodhani unavijua huku ukichukulia powa vitu vikubwa unavyofanyiwa na usivyousivyovijua

Wacha serikali iendelee kuingia gharama kuboresha huduma za kijamii kwa sasa ili baadae ziweze kujiendesha kwa kiasi kikubwa

Au nimwite CM 1774858 aje akueleweshe vizuri
 
Wazee wa legacy wanaweza kujinyonga..soma hiyoo 👇

Screenshot_20210930-082210.png
 
Mkuu mama D hongera kwa ku-support hoja zako kwa Neno. Hapa sintakupinga kabisa. Ila Mama mnamsifia sana
 
Mkuu mama D hongera kwa ku-support hoja zako kwa Neno. Hapa sintakupinga kabisa. Ila Mama mnamsifia sana

Hahahaa Gwallo 😂😂😂😂

Mama ndio Rais wetu, sisi watanzania tunatakiwa kufanya nae vitu sahihi ili nchi isonge mbele.

Yeye anatusikiliza kwa maoni na ushauri, ila sasa tunapoamua kumtukana, kumkejeli na kumdharau ni kwamba tunajitaftia matatizo na haviwezi suluhisho la shida zetu

Btw SSH ndiye Rais halali kabisa wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, ndio ameshakalia kitu cha kuliongoza hili taifa hatu wanaochukia waseme kitu gani hawawezi kumwondoa madarakani

Sisi kama taifa kwanza tujue kabisa kuna wakati tofauti zetu zifike ukomo wa kumpa adui wa nje nafasi ya kutuvuruga; kwa huvyo tumwombee Rais wetu afya na Mungu amzidishie hekima na maarifa ili atufikishe tunakotamani.
 
Biashara kuna level ukifikia raha sana
"
, an investor from Israel, will source the money from private equity as well as local and international banks.

“We have already met the TBA (Tanzania Bankers Association) to get their support in organising five big banks to build a syndicate,” without revealing the names of banks, Mr Postelnik said at the weekend .

He said while some $200 million of the money will be invested in infrastructure of the agro-industrial projects, the remaining $50 million would be working capital. "

Kwa maana nyingine anawekeza Tanzania kwa kutumia pesa za tanzania, bankers ambapo akinunua mashine nk zinakuwa ndio bond na anapata government guarantee.
Ngozi nyeupe Raha sana, jaribu ngozi nyeusi uone.
 
Nimecheka sana siku ya Jana, eti Mwenyekiti wa CCM anasema miezi Sita tu SSH ameshaamuru ujenzi wa Barbara, si mnaona barabara inajengwa? Nikacheka sana, hizi barabara zilianza kujengwa tangu mwaka Jana na ni pesa ya Mkopo wala sio serikali...ndio hki sasa kinachozungumzwa hapa, hawa jjamaa walishafanya Research na waliwatumia Galalie University ya Israel na nilihudhuria ile WEBNAR kwahio kusema eti sijui Samia sijui nini ni ujinga na kutaka kumpa MTU sifa asizostahili....
 
Hahahaa Gwallo 😂😂😂😂

Mama ndio Rais wetu, sisi watanzania tunatakiwa kufanya nae vitu sahihi ili nchi isonge mbele.

Yeye anatusikiliza kwa maoni na ushauri, ila sasa tunapoamua kumtukana, kumkejeli na kumdharau ni kwamba tunajitaftia matatizo na haviwezi suluhisho la shida zetu

Btw SSH ndiye Rais halali kabisa wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, ndio ameshakalia kitu cha kuliongoza hili taifa hatu wanaochukia waseme kitu gani hawawezi kumwondoa madarakani

Sisi kama taifa kwanza tujue kabisa kuna wakati tofauti zetu zifike ukomo wa kumpa adui wa nje nafasi ya kutuvuruga; kwa huvyo tumwombee Rais wetu afya na Mungu amzidishie hekima na maarifa ili atufikishe tunakotamani.
Ngoja niweke akiba ya Maneno kwanza.....Miezi tu haitoshi kumsifia..mwendazake naye alianza vizuri akalewa madaraka akaanza kuongoza kwa mkono wa chuma...
 
Ngoja niweke akiba ya Maneno kwanza.....Miezi tu haitoshi kumsifia..mwendazake naye alianza vizuri akalewa madaraka akaanza kuongoza kwa mkono wa chuma...

Gwallo kuna tofauti kati kumpa mtu sifa na kukubali kwamba tunafanya kazi na kiongozi wetu mkuu

Badala ya kusubiri na kumtakia kushindwa tumshauri bila kumdharau wala kumtusi na zaidi ya hayo tumuombee.

JPM atabaki kuwa Mwamba Shujaa na rais wa karne kwa mengi makubwa na mazuri aliyofanya. Aendelee kupumzika kwa amani kipenzi chetu❤🇹🇿🕊

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote🇹🇿❤🙏

Kimfaacho mtu chake - Wahenga
 
👋🏿👋🏿👋🏿 Ila nawewe achana na marehemu
 
Nimecheka sana siku ya Jana, eti Mwenyekiti wa CCM anasema miezi Sita tu SSH ameshaamuru ujenzi wa Barbara, si mnaona barabara inajengwa? Nikacheka sana, hizi barabara zilianza kujengwa tangu mwaka Jana na ni pesa ya Mkopo wala sio serikali...ndio hki sasa kinachozungumzwa hapa, hawa jjamaa walishafanya Research na waliwatumia Galalie University ya Israel na nilihudhuria ile WEBNAR kwahio kusema eti sijui Samia sijui nini ni ujinga na kutaka kumpa MTU sifa asizostahili....
Unamatatizo wewe
 
Yaani wamekuja empty handed, kwa kuwa ngozi yao ni nyeupe, mabenki matano yameungana na kuwaamini kuwakopesha ilihali mabenko hayo hayo hayawezi kuwaamini locals wenye mali zisizohamishika wakawakopesha kiasi hicho cha pesa.

Na kuna mijitu inashangilia eti tz imepata mwekezaji
Hiyo pia ni akili inayowatofautisha wao na sisi. Chukua ukubwa wa ardhi ya Israel halafu ilinganishe na ya kwetu halafu linganisha kinachozalishwa kwao na hiki kinachozalishwa hapa Tanzania.

Akili zikiwa nyingi tofauti hujionyesha.
 
Back
Top Bottom