Hahahaa
Gwallo 😂😂😂😂
Mama ndio Rais wetu, sisi watanzania tunatakiwa kufanya nae vitu sahihi ili nchi isonge mbele.
Yeye anatusikiliza kwa maoni na ushauri, ila sasa tunapoamua kumtukana, kumkejeli na kumdharau ni kwamba tunajitaftia matatizo na haviwezi suluhisho la shida zetu
Btw SSH ndiye Rais halali kabisa wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, ndio ameshakalia kitu cha kuliongoza hili taifa hatu wanaochukia waseme kitu gani hawawezi kumwondoa madarakani
Sisi kama taifa kwanza tujue kabisa kuna wakati tofauti zetu zifike ukomo wa kumpa adui wa nje nafasi ya kutuvuruga; kwa huvyo tumwombee Rais wetu afya na Mungu amzidishie hekima na maarifa ili atufikishe tunakotamani.