Aina hii ya wanawake ndio huongoza kupush ndoa zivunjike ili mgawane mali

Matukio yao ya negative ndio yanatrend kisa mali uhai wa ntu si kitu, kuna binti alimuua mama yake kisa mashamba huko huko Moshi
Atleast hawana sifa ya uchawi huwezi kusikia mganga wa Jadi Dr Shirima kutoka Rombo au Dr Massawe kutoka Kibosho.

Pamoja na yote hayo Wachaga wameshika dini, wasingeshika dini huenda hali ingekuwa mbaya.

Mtu yeyote aliyeowa uchagani atakupa ushuhuda bila kujali ana kipato kikubwa au kidogo Wachaga wanaheshimu sana Wakwelima walioowa kwao, utapata heshima zpte bila kujali hali yako na hasa nfugu wa jinsia ya kiume watakuthamini sana.
 
Muoe wanawake mnaowamudu na wenye mapenzi ya kweli kwenu..!!

Sasa nyie endeleeni kuchagua rangi na matraco kitawalamba sana..!!

Wanawake wazuri ni wa kula nao bata tu..!!

Nimemaliza..
Lamomy kabla sijalog out nikazie hapa kwenye uchaguzi HATUKOMI NG’O.

Mi mwenyewe nimepagawishwa na pisi mojo ina viwango vyangu kabisa.
 
Yeah anapambana kupata Mwanamke wa kichaga, ambae kafundishwa kuchapa kazi kutafuta uchumi elimu , kujitegemea toka miaka 800 iliyopita , huko kwao tu mpaka leo Mwanamke ni chombo cha starehe na mtumwa kwa mume wake anategemea nini?

Hapo mimi ndio nashindwa kuelewa kabisa. Utafikiri kuna mtu anashikiwa fimbo na kuchapwa aoe mchaga. Kumbe ni wenge la muoaji, angeweza kuoa mwanamke wa kabila lingine safi tuu. 😊
 
Vishoiya lazima wakung'utwe km maharage ya roisikoko hamna namna.....

Watu watakula mapenzi au fweza eleri dollari ya mdachi
 
Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.

 
Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.

View attachment 3683133
Wale walimu wao kina Haika wa Mbezi Garden hapa sasa roho yao kwatu kabisa.

Hivi wewe mwanamke na akili zako unalipia semina kabisa eti Speaker ni Haika ambaye ndoa yake mwenyewe imemshinda, wanawake achaneni na hizi takataka za mitandaoni zinazojiita malkia wa nguvu hakuna lolote, wana maumivu makali ndani ya nafsi zao na wamedhamiria kuwaingiza shimoni wanawake wengi zaidi.
 
Sisemi kwa ubaya ila % kubwa ya wanawake wanaingizwa chaka sana na maigizo ya mtandaoni ,akimuona slay queen anajibrand kwa kuonyesha gari kali au akiwa kwenye balcony anakunywa juice basi huwa wanapagawa sana ,kumbe wenzao wapo scene akitoka pale anachukua bajaji za kuunga unga anarudi kwao nyumba mbavu za mbwa huku akipitia mihogo yenye kachumbali alalie kwa maji ya kwenye ndoo.
 
Kuna upande positive wa Wachaga huwa sijawahi kuona mkiongelea siku nikitulia nitawaeleza upande wa pili wa Wachaga ambao hauongelewi kabisa.
Wazungumzie tafadhali.

Mi nachojua ni wajenzi wazuri sana wa familia. Walezi wazuri wa watoto, watoto wao “wengi” wamenyooka. (Nazungumzia kijamii)
 
Muoe wanawake mnaowamudu na wenye mapenzi ya kweli kwenu..!!

Sasa nyie endeleeni kuchagua rangi na matraco kitawalamba sana..!!

Wanawake wazuri ni wa kula nao bata tu..!!

Nimemaliza..

Huu ndio ukweli wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…