Mkuu, kwa huu ukweli mchungu, utashambuliwa na vilaza hadi mods waingilie kati kuja kukupa msaada wa hifadhi.Tafuta hela zako acha kua tegemezi,enzi za kukariri kua Mwanamke ni mtu wa kupewa tu na Mwanaume zilishapitwa na wakati,tafuta hela zako badala ya kukasirikia au kuchukia wanaume kisa hela zao walizozitafuta wao wenyewe kwa jasho lao bila msaada wako wowote.
Pamela Sebastian, mdogo wake Haruna ngumi jiwe...nimesema silipi!Pamela jina au umemaanisha mdada mwenye kipini puani.
Pamela na kipini.
Pamoja na imani kwamba mahusiano bora huwezekana kwa kukutana na mtu sahihi, na ni dhahiri kwamba mwanamke yeyote anaweza kabisa kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote kwa amani ikiwa kila mmoja wao atakuwa 'motivated' kujua mahitaji ya mwenzi wake huyo na kuyajibu ipasavyo, na hapa ndipo kunakuwa na uwezekano mkubwa kabisa kwa watu kuanzisha na kuendeleza mahusiano na mtu yeyote bila kujali mwonekano wake, tabia na utamduni wake.
Binafsi kuna aina ya wanawake hata kama ni wazuri kiasi gani kimuonekano sijawahi kabisa kuwatamani kuwa nao kimahusiano, ikitokea nikawa nao huko mbeleni lazma nitaawacha baada ya kukidhi haja zangu, nitaorodhesha baadhi ya mambo machache hapo chini ambayo mwanamke akiwa nayo hanivutii kabisa.
Wanawake wabandika kope, kucha bandia, ama anaefuga kucha ndefu, anaejikrimu (mwenye madoa ya rangi mbili mwilini), aliyechora tattoo kwenye mwili wake, aliyetoboa sikio zaidi ya mara moja, anaenyoa kiduku, anaevaa zile jinsi za kuchanikachanika, wanaoweka vipini kwenye ulimi, kitovuni na puani, wavaa vikuku mguuni yaani hawa sivutiki nao kabisa hata wawe warembo kama bikra maria
Ladies and gents njoo hapa mseme aina ya watu ambao hawawavutii kuingia nao kwenye mahusiano
Hizo sababu umetoa hapo ndizo zimekatazwa hata kwenye vitabu vya MUNGU, so upo sahihi sana kuwatema wanawake wa hivyo.Pamoja na imani kwamba mahusiano bora huwezekana kwa kukutana na mtu sahihi, na ni dhahiri kwamba mwanamke yeyote anaweza kabisa kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote kwa amani ikiwa kila mmoja wao atakuwa 'motivated' kujua mahitaji ya mwenzi wake huyo na kuyajibu ipasavyo, na hapa ndipo kunakuwa na uwezekano mkubwa kabisa kwa watu kuanzisha na kuendeleza mahusiano na mtu yeyote bila kujali mwonekano wake, tabia na utamduni wake.
Binafsi kuna aina ya wanawake hata kama ni wazuri kiasi gani kimuonekano sijawahi kabisa kuwatamani kuwa nao kimahusiano, ikitokea nikawa nao huko mbeleni lazma nitaawacha baada ya kukidhi haja zangu, nitaorodhesha baadhi ya mambo machache hapo chini ambayo mwanamke akiwa nayo hanivutii kabisa.
Wanawake wabandika kope, kucha bandia, ama anaefuga kucha ndefu, anaejikrimu (mwenye madoa ya rangi mbili mwilini), aliyechora tattoo kwenye mwili wake, aliyetoboa sikio zaidi ya mara moja, anaenyoa kiduku, anaevaa zile jinsi za kuchanikachanika, wanaoweka vipini kwenye ulimi, kitovuni na puani, wavaa vikuku mguuni yaani hawa sivutiki nao kabisa hata wawe warembo kama bikra maria
Ladies and gents njoo hapa mseme aina ya watu ambao hawawavutii kuingia nao kwenye mahusiano
We mdangaji..... Baba yako angekuwa na pesa usingekuwa unaomba omba hela kwa boyfriend wako. Na kama unajua kuwa kwenu hakuna pesa na baba yako hana mbona unataka mtoto wa watu apate shida kuula mfupa ambao baba yako umemshinda?!Mwanaume bakhili, simtaki hata kwa nyongeza.!! [emoji28]
Danga huyo achana naeHivi mtu mpaka unamuita bahili anakuwa na tabia/sifa gani?[emoji3]
Ili nijijue kabisa niko fungu lipi.
True mkuu, watoto wa kike wadangaji wanatia kichefuchefu sana.....Tafuta hela zako acha kua tegemezi,enzi za kukariri kua Mwanamke ni mtu wa kupewa tu na Mwanaume zilishapitwa na wakati,tafuta hela zako badala ya kukasirikia au kuchukia wanaume kisa hela zao walizozitafuta wao wenyewe kwa jasho lao bila msaada wako wowote.
Mwanamke mjuaji huwa anakuwa ni mtu wa mabishano ili ashinde..... Anataka akuonyeshe kuwa yeye hakosei na anajua zaidi kukushinda..... Hata muda mwingine anaweza asiwe sahihi ila atataka kujustify ile kutokuwa sahihi kuwa yupo sahihi. Wanaboa balaaUna maanisha nini kusema "Mjuaji?"
Ni kweli wanaume ni providers kwa wake zao ila sio nyie viburi sasa naprovide vipi kwa mtu ambaye hauna vigezo vya kuwa mke wangu unachukulia poa neno kuprovide.... Eti?!Natafuta zangu na bado nahudumiwa, wanaume mmeumbwa kuwa providers msitumie nguvu kubwa kubadili hilo kamwe halitobadilika..!
Hebu tafuta pesa za kutosha uhudumie mke na familia yako, Acha uzembe na vijisababu.!!
True mkuu hawa ni wakutomba kisha unatemana nae maana wanajifanya wanajua pesa na kuitafuta hawawezi....Wanawake wa aina yako ndio mnaowaponza wanawake wengine.Ndiyo pesa tunatafuta na tunahudumia lakini kamwe hatuhudumii mwanamke wa aina yako unayeweka mbele maslahi ya pesa kuliko utu.Nina uhakika hata huyo anayekuhudumia hafanyi kwa sababu ya mapenzi bali matumizi.Utajitetea sana ila wanawake wa type yako msio na aibu hamfai katika jamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anaweza hata kukuuwaAnaeangalia horror movies bila kuskip sehem za kutisha siwezi kuoa
Kuna MTU wangu wa karibu mmoja yuko hvyoo!anajua kila kitu ,kila ukileta story imemtokea ndugu yake au sijui rafiki yake,yaani mi namskilizaga Tu simbishiiHuwa tunawaacha waongee weee, coz kila mada yeye either ilimtokea au rafiki yake. Siku hizi ukitaka ufurahie maisha kuwa msikilizaji zaidi y muongeaji.
Hahaaa!!Dada nimekupenda bureNatafuta zangu na bado nahudumiwa, wanaume mmeumbwa kuwa providers msitumie nguvu kubwa kubadili hilo kamwe halitobadilika..!
Hebu tafuta pesa za kutosha uhudumie mke na familia yako, Acha uzembe na vijisababu.!!
Hi babeKuna MTU wangu wa karibu mmoja yuko hvyoo!anajua kila kitu ,kila ukileta story imemtokea ndugu yake au sijui rafiki yake,yaani mi namskilizaga Tu simbishii
Sent using Jamii Forums mobile app