Aina ya maisha kwa vijana wa Arusha tunahitaji mjadala wa kitaifa

Aina ya maisha kwa vijana wa Arusha tunahitaji mjadala wa kitaifa

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Kuna clip zinatembea zikionesha vijana wa mkoa wa Arusha wakiwa mochwari kwaajili ya kuchukua mwili wa mwenzao aliyefariki kwa ajali ya pikipiki.

Namna ya maisha ya vijana wa Arusha wanavyoishi, kuvaa, kuongea, ku-behave nafikiri tunahitaji mjadala wa kitaifa. Yaani wanafanya mambo ya kizamani wenyewe wakiona ni ujanja.

Kama taifa tunakuwa na vijana wa namna gani? Wanaongea vibaya, wanavaa hovyo, heshima kwao sio kipaumbele yaani ni vurugu tupu.

D8261BAD-EA21-42B6-BF31-D83C777DE11C.jpeg
2D08B9E3-8542-43FC-9589-39C1843921DC.jpeg
1BCAF74D-FF4E-4C9D-9B78-6D1C531382DA.jpeg
 
😁😁😁😁
Ila binafsi yangu ukiacha kuvuka mipaka yao Ila napenda vile walivyo na identity yao lakini pia wanavyopakubali arachuga. I wish watanzania tungekuwa na hiki kitu maana sidhani kama tuna kitu kinachotutambulisha kiutamaduni kama wenzetu wa Nigeria, South Africa au Rwanda.

Na msiseme wamasai maana wakenya washajitambulisha nao kitambo maana hata bendera yao ina ngao ya kimasai
 
Ni bahati nzuri tu hii nchi serikali ya ccm wanaidhibiti kikamilifu kiusalama la sivyo tungekuwa na serikali legelege kwenye usalama huu mkoa unaweza kutoa hata kikundi cha uasi kwa aina ya vijana waliopo ni vijana wa hovyo kuliko maelezo vijana wasiojijali kwao maisha hayana thamani sababu bange na visungura ndio kila kitu kwao na maisha ya kuigaiga upumbavu.
 
si bora hivyo kuliko vijana wa dar wanaokulana wao kwa wao.....

najua nimeandika ujinga hapo ila dhumuni langu ni kuonesha ubaya kwa kujumuisha mambo.... sio wote wako hivyo, ingekua wote wako hivyo basi arusha isingekua jiji
 
Kuna clip zinatembea zikionesha vijana wa mkoa wa Arusha wakiwa mochwari kwaajili ya kuchukua mwili wa mwenzao aliyefariki kwa ajali ya pikipiki.

Namna ya maisha ya vijana wa Arusha wanavyoishi, kuvaa, kuongea, ku-behave nafikiri tunahitaji mjadala wa kitaifa. Yaani wanafanya mambo ya kizamani wenyewe wakiona ni ujanja. Kama taifa tunakuwa na vijana wa namna gani? Wanaongea vibaya, wanavaa hovyo, heshima kwao sio kipaumbele yaani ni vurugu tupu. View attachment 2680210View attachment 2680212View attachment 2680214
Naomba kuelimishwa clip ni Nini?!
 
masela mavi na ujanja kuiga ila wengi mafala sana na kitambo fulani kabla akina Joe makini, Shindoman na JCB hawajatoka kimziki walikuwa wanatukubali sana wadarisalama na wengi ndoto yao ilikuwa kuja Darisalama.

Vilikuwa vinakujaga kuchana pale crystal na trip A, ila vilikuwa vikuwaadi vizuri sana kwasisi wadarisalaam.
 
Back
Top Bottom