Aina za wanaume wakati kula chakula na matunda

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
6,814
Reaction score
10,104
Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman
Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali
  • Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula tunda...... 2. Athari za punyeto na video za ngono.... 3.Kutokuwa mzoefu kwenye mapishi......4.Ulaji mbovu (vyakula ambavyo havina lishe........5.kutokufanya mazoezi....6.Umri, kadri umri unavyozidi kwenda ndivyo unavyokaa mda mrefu bila mwiko kusonga ugali kwa haraka hiki kipindi huitwa "refractory period".......7.Msongo wa mawazo. 8. Mabadiliko ya homoni.....9. Ugumu wa maisha.....10.Unywaji pombe na uvutaji wa sigara.....11.Saikiojia wakati wa kula.....12. Magonjwa kv. Kisukari, presha, vitambi n.k
  • Wapo wale wanaandaa chakula na kula mda mfupi mate yanashuka, hamu inakata mda fulani, dakika 10...30..60 n.k
  • wapo wenye uwezo wa kuunganisha...hawa ni wachache sana na inategemea wakati mwingine wanatumia busta.
  • Wapo wanaoandaa chakula mda mrefu na kula mda mrefu hadi mate yatoke ni mda mrefu hadi jasho litoke.
  • Wapo wale wakiona mashavu tu hata kabla ya kugusa ndio hivyo basi tena hadi kesho yake ndio mwiko utaweza kusonga ugali. Hapa inategemea umri n.k
  • Wapo wenye uwezo wa kuunga hadi michubuko inatokea. Hawa nao ni tatizo pia...wengine ni matumizi ya madawa kusisimua na kuongeza nguvu kama vile mkongo na viagra.
N.B Upigaji punyeto ni tofauti na kula mbususu (mbunye, kipochi manyoya) kwani punyeto unaweza unga hata goli sita bila kuchoka lakini ukipewa uwanja wenyewe ukashindwa hata goli moja.
Kamwe usishindane na uchi unaweza ukafa. Fanya kulingana na uwezo wako. Huwezi kuukomoa hata kidogo.

kwa wale ambao wakiona uchi tu wazungu wanatoka fanya hili zoezi litakusaidia "linaitwa kegel"
Screenshot_20240404-214618.png

Pia wakati unakojoa kojoa na kubana mkojo sekunde 20 fanya hivyo kwa dakika 3 kwa wiki moja utaanza kupona.
Acha punyeto na picha za ngono zile ni uongo mtupu...ni editing na kuongezewa vionjo vinavyokuvutia.

kula vizuri pumzika vya kutosha, punguza stress japo haziepukiki.

N:B2 Mara unaposoma uzi huu usiwe ndio suluhisho kuu kama una tatizo unaweza kumuona daktari akupe ushauri zaidi.

usisite ku-practise nofap.com

LINDA AFYA YAKO, EPUKA NGONO ZINAZOKULETEA MAGONJWA NA STAREHE ZA MUDA MFUPI ZENYE MADHARA MAKUBWA

kwa wale ambao wakiona uchi tu wazungu wanatoka fanya hili zoezi litakusaidia "linaitwa kegel" View attachment 2953986
Pia wakati unakojoa kojoa na kubana mkojo sekunde 20 fanya hivyo kwa dakika 3 kwa wiki moja utaanza kupona.
Acha punyeto na picha za ngono zile ni uongo mtupu...ni editing na kuongezewa vionjo vinavyokuvutia.

kula vizuri pumzika vya kutosha, punguza stress japo haziepukiki.

N:B2 Mara unaposoma uzi huu usiwe ndio suluhisho kuu kama una tatizo unaweza kumuona daktari akupe ushauri zaidi.

usisite ku-practise nofap.com

LINDA AFYA YAKO, EPUKA NGONO ZINAZOKULETEA MAGONJWA NA STAREHE ZA MUDA MFUPI ZENYE MADHARA MAKUBWA
Tatizo jingine la kisaikolojia linatokana na athari za 'kuhonga pakubwa'!

Wewe unadhani mtu kauza ng'ombe ili akashereheshe, aweza kupiga bao za kujiamini?

Atafanya huku akitathimini ubora na thamani halisi ya pesa yake.

Asipokojoa kama kuku ataona kuwa anajipunja na akijibana napo hali kadhalika, saikolojia haimpi uhuru.

Kwa hiyo kina dada waache kuweka masharti magumu ya kufanya mapenzi, unyanyasaji huo unawaathiri wanaume na kupunguza nguvu zao za kiume pakubwa.
 
Tuishi humo. No fap 30 day challenge, Leo nipo cku ya 2 clean. Kongole kwangu👏
 
We fanya unavyoweza,
Hivyo viumbe havieleweki kabisa
Akuna asiye salitiwa ikiwa utakaa masaa
matatu juu ya kifua au sekunde Moja.

Lazima watakutafutia sababu tu:
1.Hajali hisia zangu
2.Hanijali
3.Hawezi kunifikisha
4.Sina hisia nae
5.Mbahili
6.Hataki tutoke out
7.Hana akili ya maendeleo
8.Ana tabia za kitoto
 
Back
Top Bottom