proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman
Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali
Kamwe usishindane na uchi unaweza ukafa. Fanya kulingana na uwezo wako. Huwezi kuukomoa hata kidogo.
kwa wale ambao wakiona uchi tu wazungu wanatoka fanya hili zoezi litakusaidia "linaitwa kegel"
Pia wakati unakojoa kojoa na kubana mkojo sekunde 20 fanya hivyo kwa dakika 3 kwa wiki moja utaanza kupona.
Acha punyeto na picha za ngono zile ni uongo mtupu...ni editing na kuongezewa vionjo vinavyokuvutia.
kula vizuri pumzika vya kutosha, punguza stress japo haziepukiki.
N:B2 Mara unaposoma uzi huu usiwe ndio suluhisho kuu kama una tatizo unaweza kumuona daktari akupe ushauri zaidi.
usisite ku-practise nofap.com
LINDA AFYA YAKO, EPUKA NGONO ZINAZOKULETEA MAGONJWA NA STAREHE ZA MUDA MFUPI ZENYE MADHARA MAKUBWA
Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali
- Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula tunda...... 2. Athari za punyeto na video za ngono.... 3.Kutokuwa mzoefu kwenye mapishi......4.Ulaji mbovu (vyakula ambavyo havina lishe........5.kutokufanya mazoezi....6.Umri, kadri umri unavyozidi kwenda ndivyo unavyokaa mda mrefu bila mwiko kusonga ugali kwa haraka hiki kipindi huitwa "refractory period".......7.Msongo wa mawazo. 8. Mabadiliko ya homoni.....9. Ugumu wa maisha.....10.Unywaji pombe na uvutaji wa sigara.....11.Saikiojia wakati wa kula.....12. Magonjwa kv. Kisukari, presha, vitambi n.k
- Wapo wale wanaandaa chakula na kula mda mfupi mate yanashuka, hamu inakata mda fulani, dakika 10...30..60 n.k
- wapo wenye uwezo wa kuunganisha...hawa ni wachache sana na inategemea wakati mwingine wanatumia busta.
- Wapo wanaoandaa chakula mda mrefu na kula mda mrefu hadi mate yatoke ni mda mrefu hadi jasho litoke.
- Wapo wale wakiona mashavu tu hata kabla ya kugusa ndio hivyo basi tena hadi kesho yake ndio mwiko utaweza kusonga ugali. Hapa inategemea umri n.k
- Wapo wenye uwezo wa kuunga hadi michubuko inatokea. Hawa nao ni tatizo pia...wengine ni matumizi ya madawa kusisimua na kuongeza nguvu kama vile mkongo na viagra.