Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

Wahehe #1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ni namna wale wawili wanavyotendeana. Hujawai kusikia mtu kaoa bar maid na ndoa ikadumu?
Mzee unachanganya mada. Hapa tunazungumzia kabila sio bikira.

God save us
Hapo nilitaka tu itabulike kuwa mambo ya ku-generalize wazo fulani kijamii huwa hakuna uhalisia. Katika zama hizi ambazo upelekaji watoto shule umeshika hatamu, nguvu na miongozo ya kimila imepoteza nguvu, makabila yamepoteza uhalisia wake hivyo ni ngumu kuhukumu kuwa wanawake wa kabila fulani wanafaa kwa kuolewa, ni kujidanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada zangu hongereni mmeshika namba 2 japo Mimi nilichagua namba 1
 
Ukimaliza taja makabila yanayoongoza kwa kuua wanaume (bhalume) baada ya mafanikio .
 
Ngoja nitafute mke wangu kwenye hii Top Ten yako aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kwanini bar maids wanadumu kwenye ndoa ikitokea kaolewa?
 
Nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…