Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

Nashauri asilimia za wapare wapewe wanyamwezi
 
Siku hizi pesa pesa mkononi Tu hakuna cha ukabila

Fita fita mura
 
Huyo ndiyo MKE mzuri sana ni wewe Tu kuwa na akili maana Una agano la kudumu naye angano la damu

Hawa wengine nje ya bikira ni wake za watu Wana maagano ya kudumu na wale waliowatoa bikira
 
Just your mind perception so tusiokuwa na.pesa huku vijijini hatuoi ama
Huwezi kuoa bila pesa, Hilo liko wazi , utamlisha nn, utamvika nn, utamlaza wapi.

Mahali utatoa nini

Pesa ni pesa Tu , utofauti wetu ni KIWANGO cha pesa tu
 
Namba 14 ... haipo

Labda Watakuwa WANYAKYUSA tu. Haiwezekan kabila zito lenye hadhi yake lisiwepo kwenye list nzito kama hii.

"Mtunzi wa utafiti" vp?. Unabifu na wanyakyusa hatukuelewi.
 
Hv wameru hawafanyiwagi utafiti
Ndio ndoa zinazodumu kwa,100%
 
Namba 14 ... haipo

Labda Watakuwa WANYAKYUSA tu. Haiwezekan kabila zito lenye hadhi yake lisiwepo kwenye list nzito kama hii.

"Mtunzi wa utafiti" vp?. Unabifu na wanyakyusa hatukuelewi.
Mbn kabila la Warangi halipo kwenye huo utafiti ?
 
Kaka, kabila la WARANGI hujalipa heshima yake katika utafiti wako. Maana nimetafuta kuanzia mwanzo mpaka mwisho sijaliona kabisa.
 
15,19.20. Kama wanaoana wenyewe kwa wenyewe sawa lakini chochonde kama wewe ni mwanaume usijaribu kujipendekeza utapanda juu ya mti huko mbeleni nakuambia naomba niishie hapo
Vipi kuhusu Warangi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…