Tetesi: Air Tanzania kukamatwa. Ndege ya Rais haikamatwi kwa sheria za IATA

Kweli mkuu upendo wa Mungu ni wa ajabu,angalia MATAGA walivyofurahia Lissu alivyopigwa risasi.
Aliyefurahia swala la Risu, si muungwana hata kidogo, na wa kufurahia Jambo kama Hilo ana roho si ya kibinadamu hata kidogo, Mungu alionya mno ktk vitu ambavyo alitilia mkazo, ni mtu kujaribu kutoa uhai wa mtu,
 
jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, Mishe za Rwanda kuja chukua samaki Mwanza zimeanza hata kabla ya Mkulima kukamata ndege SA, yani hata kabla ya ujenze wa runway mpya ya Mwanza airport kukamilika. Na kilichochelewesha kwa muda mrefu ni ujenzi wa mahala pa kutunzia mizigo ya fillet kabla haijapakiwa kwenye ndege.
 
Kwani ATC walianza biashara jana? toka ndege zinunuliwe umepita muda gani? Wamenunua ndege bila kujua soko??? So hawakua na business wala marketing strategies zozote? Hlf wakaamua tu kununua ndege? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]najua unaelewa sena umeamua tu kujibu inayoyajibu [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuzi kati hapa si nimeona moja inapakiza mizigo kwenda comoros???

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hizo ndege zilinunuliwa kwa hoja ya kuleta watalii. Kumbe mlijui kwamba kibali cha Europe hamna.

Tuna kibali India. Hao watalii wangetoka wapi, India????

Au, toka mwanzo mlijua hakuna mpango wa kwenda Europe, na kwamba hiyo hoja ilikuwa ni ya uongo ????
 
Tatizo hapo sio Mungu, ila watu waliowekwa na Mungu kusimamia kusudi lake.
 
Huyu mkulima si atuache kwanza tupumue looh
 
Hivi unanunuaje friji la milioni 5 halafu kumbe hata wiring hujafanya... au unanunua v8 halafu wese linakushinda... ni ujanja au ujinga??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga ni wewe unayewaza maendeleo ya nchi kama ya nyumbani kwako, ambako naamini yamekushinda ndiyo maana huna hoja ya kujenga nchi yako. Kama huna ajira, hata kulima mchicha kunalipa.
 
Kama uko chuo, jitahidi kusoma uelewe siyo kufaulu mitihani
 
AIR TANZANIA/Ndege ya Urais inatumika kubebea miti shamba, dawa ya kienyeji huku wenzetu wakibeba samaki kuuza ulaya.... [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]

Jr[emoji769]
 
Ndege - Kimeo

Stieglers - bwawa limeshaingia luba

Bado SGR
SGR nayo ikibuma basi mzee wa chato atapiga marktime time bila kuacha legacy yoyote ya maana
Uongo hupanda lift bali ukweli hukwea ngazi... Wapi praise team... Tusifu na kuabudu hapa

Jr[emoji769]
 

Soko haliji overnight, ni mchakato.. ATCL ndio inatengeneza jina na uwezo baada ya kufufuliwa. Halafu nilisemea soko la Ulaya mkuu. Maana kuna route za India Uchina na maeneo kadhaa kwa hapa bara letu. Hivyo plan wanayo nzuri tu, na kama sio hii Covid ungekuta sasa wanatua na UK.
 
Hao wajinga wenu huko juu hawakujua hilo wakanunua madege na kupark sasa zaidi ya miaka mitatu? Wanaweza nini kama mambo ya kawaida kama hayo yanawashinda? ATCL ilikuwepo na EAA kabla take kwa nini hawakuweza kujifunza kutokana na mafanikio au failures za mashirika hayo mawili? Musukuma ana kampuni yake ya Mabasi yakifanya safari kati ya Geita na Chato na Mwanza si angefaa zaidi kuendesha ATCL kuliko hayo yaliyokabithiwa Shirika kwa Usukuma tu? ATCL ina ndege nyingi zaidi kuliko RwandAir lakini wanachukua biashara ya samaki tukiangalia. What good are we?
 
..Rwanda Air mnayemlalamikia amesalimu amri na kabla ya covid19 walikuwa ktk hatua za mwisho za kununuliwa na Qatar Air.

..Biashara ya usafiri wa anga ni kichaa. Tulipaswa kuwekeza kwenye viwanda ili vijana wapate ajira.
 
Watu wanashindwa kujiongeza kwa vitu vidogo tu. Hii ni kuendekeza siasa za uvyama kwenye kila kitu. Sometimes hadi unashangaa kwamba ni wanafanya kusudi tu kujifuirahisha au ndio uelewa wao umekwamia hapo!?
Akili zao ndogo hao tushawazoea siku hizi tunawapotezea
 
That's true...ila nadhani umekosea mlengwa wa ujumbe wako boss...hata nami nipo against mtoa mada.
 
Ujinga wake si kuidai serikali mkuu, Ujinga wake ni pale anaposhindwa kukamata ndege kipindi zinafanya Safari huko, leo kuna zuwio la Safar za ndege duniani ndio anakazana kuzisaka zilipo 😂 huo ndo Ujinga wake mkuu
Atakamata tu ndege muda sio mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…