Hizo ni(domestic flights) local route siyo rahisi kwa international operator kupewa leseni kufanya biashara hiyo.Internal routes zimewashida ku capitalize sembuse hizo za kimataifa ATCL hawawezi biashara ya ushindani,.......bora fast jet irudi tu angalau ilikua na ushindani mzuri
Route zetu za kusubiria waheshimiwa wacheleweshaji ndege, kimataifa wataweza!?!Internal routes zimewashida ku capitalize sembuse hizo za kimataifa ATCL hawawezi biashara ya ushindani,.......bora fast jet irudi tu angalau ilikua na ushindani mzuri
Mbona fast jet alipewa hizo domestic flight na ilizimudu viziru, lijama limoja likajitokeza alikajifanya lizalendo likuua shirka zima la fast jet kwa figisifigisu na wivu wakati ili boost sana internal trade kwa kulahisisha usafiri wa ndaniHizo ni(domestic flights) local route siyo rahisi kwa international operator kupewa leseni kufanya biashara hiyo.
ATCL wana malzia kulipa madeni ili waweze fanya biashara vyema...Business Model ya ATCL ni ya ajabu kidogo.
Naona tayari wana route ya kwenda Lusaka (Zambia ) na pia Harare (Zimbabwe).
Na route ya Dar kwenda Nairobi Kenya. Hii wamefanikiwa maana wana route mbili za ndege kutoka Dar kwenda Nairobi (nne kwa siku kati ya Dar na Nairobi)
Hizi ndio route pekee wanazoweza kuzimudu kibiashara.
Kwa route ya Dar kwenda Capetown huko tayari kuna Kenya Airways na Ethopian Airlines ; hao hatuwezi kupambana nao, hivyo tusahau kuhusu hiyo route.
Tena hapo Ethopian Airlines ina route ya kibabe sana kama umewahi kusafiri kutoka Bole kwenda Capetown kisha inatoka Capetown inapita Dar; hii maana yake ni kwamba abiria aliyeko Tanzania anapotaka kwenda South Afrika inabidi abebwe na Ethiopian Airlines mpaka Addis Ababa kisha anapanda tena Ethiopian Airlines kwenda Capetown.
Hii route inawapa wateja wengi haswa watalii kutoka South wanaokuja Tanzania.
Utaniuliza vipi kuhusu route ya Dar kwenda Maputo Msumbiji?
Hii route nayo Ethiopian AIRLINES imekaba haswa maana ana ndege inayopita Dar kwenda Blantayre (Chieka) pale Malawi kisha inapita Maputo (Msumbiji) na kwenda Johanesburg (Afrika Kusini ).
Bado unaweza kuniuliza vipi kuhusu Dar - kwenda Kigali kwa Kagame;
Hii route tayari Rwanda Air na Kenya Airways wamejiimalisha vya kutosha; hivyo ni ngumu kwa ATCL na Twiga wa Tanzania kuweka mguu hapo.
Unaweza kusema vipi kuhusu Bujumbura kwa Warundi;
Hii route ni kugombania goli, najua ATCL ina route japo inaenda mara chache huko. Hii route yupo Kenya Airways na mara kadhaa nimeiona Precision pia kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura (BJB). Lakini pia Hahn Air pia wana route hapo. Kwa hiyo sioni kama kuna soko la uhakika kwa ATCL.
Tumebakisha wapi; oooh Dar - kwenda Kinshasa (FIH)
Huku napo Ethiopian Airlines imetawala soko, kama ni Mtanzania na upo Kinshasa basi itakubidi upande Ethiopian Airlines; hawa jamaa wana route kutoka Bole (Addis Ababa) kisha inapita Dar na kwenda Kinshasa, hivyo hapo napo ni pagumu.
Ni kweli kuna abiria wengi huko Capetown na Johannesburg lakini ukweli ni kwamba soko lina wenyewe tayari. Tena waliopo sio wadogo ni wabobevu, wana uwezo mkubwa wa kibiashara na wanatoa nafasi ya kuunganisha route za ndege kuliko Air Tanzania.
Kwa mfano kama upo Capetown na unaenda Dubai, ni rahisi kushawishiwa kupanda Ethiopian Airline ambayo itapita Dar na kisha kwenda kukuacha Bore na ukaunga na Ethiopian nyingine inayokwenda Dubai kuliko kupanda Air Tanzania itakayokuacha Dar au KIA usijue pa kwenda.
Kwa wenye uzoefu na masuala haya ya biashara na route za ndege watakubaliana nami kuwa, inawezekana kabisa kuwa hatuwaza vizuri wakati tunanunua ndege kwa soko la kimataifa.
ATCL ina nafasi kubwa kwa soko la ndani; iwapo wataamua kuweka bei rafiki, wanaweza wasifike urahis wa bei za Fast Jet lakini wakishusha kidogo watakuwa na biashara nzuri sana. Ukiacha changamoto ndogondogo hapa wanajitahidi.
Kuna baadhi ya route ndege mara kadhaa huwa zinarudi zikiwa na nafasi za wazi sana , nina uzoefu na route ya Mbeya kuja Dar na ile Kigoma - Dar. Nadhani wakiangalia gharama inaweza kuwasaidia kupata abiria na route zaidi.
Soko la biashara kwa upande huu wa kusini Wahabeshi (Ethiopian Airline) wamelishika haswa.
Kwani Chato hakuna soko la Abiria?Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
Business Model ya ATCL ni ya ajabu kidogo.
Naona tayari wana route ya kwenda Lusaka (Zambia ) na pia Harare (Zimbabwe).
Na route ya Dar kwenda Nairobi Kenya. Hii wamefanikiwa maana wana route mbili za ndege kutoka Dar kwenda Nairobi (nne kwa siku kati ya Dar na Nairobi)
Hizi ndio route pekee wanazoweza kuzimudu kibiashara.
Kwa route ya Dar kwenda Capetown huko tayari kuna Kenya Airways na Ethopian Airlines ; hao hatuwezi kupambana nao, hivyo tusahau kuhusu hiyo route.
Tena hapo Ethopian Airlines ina route ya kibabe sana kama umewahi kusafiri kutoka Bole kwenda Capetown kisha inatoka Capetown inapita Dar; hii maana yake ni kwamba abiria aliyeko Tanzania anapotaka kwenda South Afrika inabidi abebwe na Ethiopian Airlines mpaka Addis Ababa kisha anapanda tena Ethiopian Airlines kwenda Capetown.
Hii route inawapa wateja wengi haswa watalii kutoka South wanaokuja Tanzania.
Utaniuliza vipi kuhusu route ya Dar kwenda Maputo Msumbiji?
Hii route nayo Ethiopian AIRLINES imekaba haswa maana ana ndege inayopita Dar kwenda Blantayre (Chieka) pale Malawi kisha inapita Maputo (Msumbiji) na kwenda Johanesburg (Afrika Kusini ).
Bado unaweza kuniuliza vipi kuhusu Dar - kwenda Kigali kwa Kagame;
Hii route tayari Rwanda Air na Kenya Airways wamejiimalisha vya kutosha; hivyo ni ngumu kwa ATCL na Twiga wa Tanzania kuweka mguu hapo.
Unaweza kusema vipi kuhusu Bujumbura kwa Warundi;
Hii route ni kugombania goli, najua ATCL ina route japo inaenda mara chache huko. Hii route yupo Kenya Airways na mara kadhaa nimeiona Precision pia kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura (BJB). Lakini pia Hahn Air pia wana route hapo. Kwa hiyo sioni kama kuna soko la uhakika kwa ATCL.
Tumebakisha wapi; oooh Dar - kwenda Kinshasa (FIH)
Huku napo Ethiopian Airlines imetawala soko, kama ni Mtanzania na upo Kinshasa basi itakubidi upande Ethiopian Airlines; hawa jamaa wana route kutoka Bole (Addis Ababa) kisha inapita Dar na kwenda Kinshasa, hivyo hapo napo ni pagumu.
Ni kweli kuna abiria wengi huko Capetown na Johannesburg lakini ukweli ni kwamba soko lina wenyewe tayari. Tena waliopo sio wadogo ni wabobevu, wana uwezo mkubwa wa kibiashara na wanatoa nafasi ya kuunganisha route za ndege kuliko Air Tanzania.
Kwa mfano kama upo Capetown na unaenda Dubai, ni rahisi kushawishiwa kupanda Ethiopian Airline ambayo itapita Dar na kisha kwenda kukuacha Bore na ukaunga na Ethiopian nyingine inayokwenda Dubai kuliko kupanda Air Tanzania itakayokuacha Dar au KIA usijue pa kwenda.
Kwa wenye uzoefu na masuala haya ya biashara na route za ndege watakubaliana nami kuwa, inawezekana kabisa kuwa hatuwaza vizuri wakati tunanunua ndege kwa soko la kimataifa.
ATCL ina nafasi kubwa kwa soko la ndani; iwapo wataamua kuweka bei rafiki, wanaweza wasifike urahis wa bei za Fast Jet lakini wakishusha kidogo watakuwa na biashara nzuri sana. Ukiacha changamoto ndogondogo hapa wanajitahidi.
Kuna baadhi ya route ndege mara kadhaa huwa zinarudi zikiwa na nafasi za wazi sana , nina uzoefu na route ya Mbeya kuja Dar na ile Kigoma - Dar. Nadhani wakiangalia gharama inaweza kuwasaidia kupata abiria na route zaidi.
Soko la biashara kwa upande huu wa kusini Wahabeshi (Ethiopian Airline) wamelishika haswa.
Acha uongo! ATCL ilikuwa na rights za kwenda SA lakini kwa kuogopa ndege kukamatwa sababu ya madeni ndio maana Hawaendi huko!! Halafu bungeni wanaongopa kuwa hawadaiwi; sasa kama hawadaiwi Mbona hawaendi?Hizo ni(domestic flights) local route siyo rahisi kwa international operator kupewa leseni kufanya biashara hiyo.
Mpaka waambiwe na Rais wao ni mazuzu tupuAir Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
Code sharing kwann ATC wamekatazwa?ATCL wana malzia kulipa madeni ili waweze fanya biashara vyema...
pia kuna mikataba ktk baadhi ya njia huwa wana ingia, kwa mfano KQ na hao wa sauzi... hata ATCL wapo na wana taka kuweka alliance ktk baadhi ya njia...
Biashara si vile unavyo iona kwa nje na kuifikiria, pia ni namna ya kupata faida kwa kushirikiana na mshindani au kwa kwenda mwenyewe...
KQ, Ethiopian... wana mashirikiano na ndege za ulaya kwa kuwa pelekea wateja na wao wana waletea wateja ktk baadhi ya njia...
hivyo msikilize Ndg Matindi atakwambia jinsi walivyo jipanga kuona wapi wanapo elekea...
nenda youtube kaangalie mahojiano yake ya mwaka huu na azam tv itakusaidia mkuu...
Hivi kwa akili yako unadhani safari za ndege huwa ukiona soko mahali unarusha tu ndege?Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
ATCL linaongozw na ilani ya chama ndio maana wala hawana business planAir Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
Hamna linaloshindikana ATCL wakiamua na wakipewa support na serikali. Kumbuka hao wote wanategemea kwa kiwango kikubwa abiria wanaotembelea Tanzania. Tanzania haina cha kupoteza kwa maamuzi yoyote itakayoamua katika hizo route.Business Model ya ATCL ni ya ajabu kidogo.
Naona tayari wana route ya kwenda Lusaka (Zambia ) na pia Harare (Zimbabwe).
Na route ya Dar kwenda Nairobi Kenya. Hii wamefanikiwa maana wana route mbili za ndege kutoka Dar kwenda Nairobi (nne kwa siku kati ya Dar na Nairobi)
Hizi ndio route pekee wanazoweza kuzimudu kibiashara.
Kwa route ya Dar kwenda Capetown huko tayari kuna Kenya Airways na Ethopian Airlines ; hao hatuwezi kupambana nao, hivyo tusahau kuhusu hiyo route.
Tena hapo Ethopian Airlines ina route ya kibabe sana kama umewahi kusafiri kutoka Bole kwenda Capetown kisha inatoka Capetown inapita Dar; hii maana yake ni kwamba abiria aliyeko Tanzania anapotaka kwenda South Afrika inabidi abebwe na Ethiopian Airlines mpaka Addis Ababa kisha anapanda tena Ethiopian Airlines kwenda Capetown.
Hii route inawapa wateja wengi haswa watalii kutoka South wanaokuja Tanzania.
Utaniuliza vipi kuhusu route ya Dar kwenda Maputo Msumbiji?
Hii route nayo Ethiopian AIRLINES imekaba haswa maana ana ndege inayopita Dar kwenda Blantayre (Chieka) pale Malawi kisha inapita Maputo (Msumbiji) na kwenda Johanesburg (Afrika Kusini ).
Bado unaweza kuniuliza vipi kuhusu Dar - kwenda Kigali kwa Kagame;
Hii route tayari Rwanda Air na Kenya Airways wamejiimalisha vya kutosha; hivyo ni ngumu kwa ATCL na Twiga wa Tanzania kuweka mguu hapo.
Unaweza kusema vipi kuhusu Bujumbura kwa Warundi;
Hii route ni kugombania goli, najua ATCL ina route japo inaenda mara chache huko. Hii route yupo Kenya Airways na mara kadhaa nimeiona Precision pia kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura (BJB). Lakini pia Hahn Air pia wana route hapo. Kwa hiyo sioni kama kuna soko la uhakika kwa ATCL.
Tumebakisha wapi; oooh Dar - kwenda Kinshasa (FIH)
Huku napo Ethiopian Airlines imetawala soko, kama ni Mtanzania na upo Kinshasa basi itakubidi upande Ethiopian Airlines; hawa jamaa wana route kutoka Bole (Addis Ababa) kisha inapita Dar na kwenda Kinshasa, hivyo hapo napo ni pagumu.
Ni kweli kuna abiria wengi huko Capetown na Johannesburg lakini ukweli ni kwamba soko lina wenyewe tayari. Tena waliopo sio wadogo ni wabobevu, wana uwezo mkubwa wa kibiashara na wanatoa nafasi ya kuunganisha route za ndege kuliko Air Tanzania.
Kwa mfano kama upo Capetown na unaenda Dubai, ni rahisi kushawishiwa kupanda Ethiopian Airline ambayo itapita Dar na kisha kwenda kukuacha Bore na ukaunga na Ethiopian nyingine inayokwenda Dubai kuliko kupanda Air Tanzania itakayokuacha Dar au KIA usijue pa kwenda.
Kwa wenye uzoefu na masuala haya ya biashara na route za ndege watakubaliana nami kuwa, inawezekana kabisa kuwa hatuwaza vizuri wakati tunanunua ndege kwa soko la kimataifa.
ATCL ina nafasi kubwa kwa soko la ndani; iwapo wataamua kuweka bei rafiki, wanaweza wasifike urahis wa bei za Fast Jet lakini wakishusha kidogo watakuwa na biashara nzuri sana. Ukiacha changamoto ndogondogo hapa wanajitahidi.
Kuna baadhi ya route ndege mara kadhaa huwa zinarudi zikiwa na nafasi za wazi sana , nina uzoefu na route ya Mbeya kuja Dar na ile Kigoma - Dar. Nadhani wakiangalia gharama inaweza kuwasaidia kupata abiria na route zaidi.
Soko la biashara kwa upande huu wa kusini Wahabeshi (Ethiopian Airline) wamelishika haswa.
PointHamna linaloshindikana ATCL wakiamua na wakipewa support na serikali. Kumbuka hao wote wanategemea kwa kiwango kikubwa abiria wanaotembelea Tanzania. Tanzania haina cha kupoteza kwa maamuzi yoyote itakayoamua katika hizo route.
ATCL wana malzia kulipa madeni ili waweze fanya biashara vyema...
pia kuna mikataba ktk baadhi ya njia huwa wana ingia, kwa mfano KQ na hao wa sauzi... hata ATCL wapo na wana taka kuweka alliance ktk baadhi ya njia...
Biashara si vile unavyo iona kwa nje na kuifikiria, pia ni namna ya kupata faida kwa kushirikiana na mshindani au kwa kwenda mwenyewe...
KQ, Ethiopian... wana mashirikiano na ndege za ulaya kwa kuwa pelekea wateja na wao wana waletea wateja ktk baadhi ya njia...
hivyo msikilize Ndg Matindi atakwambia jinsi walivyo jipanga kuona wapi wanapo elekea...
nenda youtube kaangalie mahojiano yake ya mwaka huu na azam tv itakusaidia mkuu...
Acha kuogopa ushindani, boresha huduma zako, huwezi fanya biashara peke yakoBusiness Model ya ATCL ni ya ajabu kidogo.
Naona tayari wana route ya kwenda Lusaka (Zambia ) na pia Harare (Zimbabwe).
Na route ya Dar kwenda Nairobi Kenya. Hii wamefanikiwa maana wana route mbili za ndege kutoka Dar kwenda Nairobi (nne kwa siku kati ya Dar na Nairobi)
Hizi ndio route pekee wanazoweza kuzimudu kibiashara.
Kwa route ya Dar kwenda Capetown huko tayari kuna Kenya Airways na Ethopian Airlines ; hao hatuwezi kupambana nao, hivyo tusahau kuhusu hiyo route.
Tena hapo Ethopian Airlines ina route ya kibabe sana kama umewahi kusafiri kutoka Bole kwenda Capetown kisha inatoka Capetown inapita Dar; hii maana yake ni kwamba abiria aliyeko Tanzania anapotaka kwenda South Afrika inabidi abebwe na Ethiopian Airlines mpaka Addis Ababa kisha anapanda tena Ethiopian Airlines kwenda Capetown.
Hii route inawapa wateja wengi haswa watalii kutoka South wanaokuja Tanzania.
Utaniuliza vipi kuhusu route ya Dar kwenda Maputo Msumbiji?
Hii route nayo Ethiopian AIRLINES imekaba haswa maana ana ndege inayopita Dar kwenda Blantayre (Chieka) pale Malawi kisha inapita Maputo (Msumbiji) na kwenda Johanesburg (Afrika Kusini ).
Bado unaweza kuniuliza vipi kuhusu Dar - kwenda Kigali kwa Kagame;
Hii route tayari Rwanda Air na Kenya Airways wamejiimalisha vya kutosha; hivyo ni ngumu kwa ATCL na Twiga wa Tanzania kuweka mguu hapo.
Unaweza kusema vipi kuhusu Bujumbura kwa Warundi;
Hii route ni kugombania goli, najua ATCL ina route japo inaenda mara chache huko. Hii route yupo Kenya Airways na mara kadhaa nimeiona Precision pia kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura (BJB). Lakini pia Hahn Air pia wana route hapo. Kwa hiyo sioni kama kuna soko la uhakika kwa ATCL.
Tumebakisha wapi; oooh Dar - kwenda Kinshasa (FIH)
Huku napo Ethiopian Airlines imetawala soko, kama ni Mtanzania na upo Kinshasa basi itakubidi upande Ethiopian Airlines; hawa jamaa wana route kutoka Bole (Addis Ababa) kisha inapita Dar na kwenda Kinshasa, hivyo hapo napo ni pagumu.
Ni kweli kuna abiria wengi huko Capetown na Johannesburg lakini ukweli ni kwamba soko lina wenyewe tayari. Tena waliopo sio wadogo ni wabobevu, wana uwezo mkubwa wa kibiashara na wanatoa nafasi ya kuunganisha route za ndege kuliko Air Tanzania.
Kwa mfano kama upo Capetown na unaenda Dubai, ni rahisi kushawishiwa kupanda Ethiopian Airline ambayo itapita Dar na kisha kwenda kukuacha Bore na ukaunga na Ethiopian nyingine inayokwenda Dubai kuliko kupanda Air Tanzania itakayokuacha Dar au KIA usijue pa kwenda.
Kwa wenye uzoefu na masuala haya ya biashara na route za ndege watakubaliana nami kuwa, inawezekana kabisa kuwa hatuwaza vizuri wakati tunanunua ndege kwa soko la kimataifa.
ATCL ina nafasi kubwa kwa soko la ndani; iwapo wataamua kuweka bei rafiki, wanaweza wasifike urahis wa bei za Fast Jet lakini wakishusha kidogo watakuwa na biashara nzuri sana. Ukiacha changamoto ndogondogo hapa wanajitahidi.
Kuna baadhi ya route ndege mara kadhaa huwa zinarudi zikiwa na nafasi za wazi sana , nina uzoefu na route ya Mbeya kuja Dar na ile Kigoma - Dar. Nadhani wakiangalia gharama inaweza kuwasaidia kupata abiria na route zaidi.
Soko la biashara kwa upande huu wa kusini Wahabeshi (Ethiopian Airline) wamelishika haswa.
Nunua hiace kashindanie soko na SHABIBY, Dar- Dodoma.Acha kuogopa ushindani,boresha huduma zako,huwezi fanya biashara peke yako