Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukipeleka ndege huko, Nchimbi na Makalla watatumia usafiri gani mikoani?Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
View attachment 2246886View attachment 2246899
Waambie ukweli Hawa machawa pro max!Mbona fast jet alipewa hizo domestic flight na ilizimudu viziru, lijama limoja likajitokeza alikajifanya lizalendo likuua shirka zima la fast jet kwa figisifigisu na wivu wakati ili boost sana internal trade kwa kulahisisha usafiri wa ndani
Fastjet achangamke kipindi hikihiki cha Korea SagaInternal routes zimewashida ku capitalize sembuse hizo za kimataifa ATCL hawawezi biashara ya ushindani,.......bora fast jet irudi tu angalau ilikua na ushindani mzuri
Hatuna deni tena kwa yule mzee?Hatimaye Air Tanzania wanatua South Africa tena
Sijawahi ona project za serikali zikawa serious km anaengoza nchi hajalipigia kelele,kwangu mimi bila smart marketing team kutakua na hasara daima kwenye mashirika ya umma,nakupa mfano wa TTCL,hii kampuni ilitakiwa kua km NMB ilivyo kwenye faida but kl cku wanakua,Ttcl ni worse kwenye customer care,hizi telecom kampani zilitakiwa kua mbadala ila wao wawe namba 1 lkn private wapo serious kuliko wakwongwe na hudumaAir Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
View attachment 2246886View attachment 2246899
Mindset change Mkuu. CHADEMA wenyewe hawapo seriousSijawahi ona project za serikali zikawa serious km anaengoza nchi hajalipigia kelele,kwangu mimi bila smart marketing team kutakua na hasara daima kwenye mashirika ya umma,nakupa mfano wa TTCL,hii kampuni ilitakiwa kua km NMB ilivyo kwenye faida but kl cku wanakua,Ttcl ni worse kwenye customer care,hizi telecom kampani zilitakiwa kua mbadala ila wao wawe namba 1 lkn private wapo serious kuliko wakwongwe na huduma