Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

ATC Hata route za ndani hapa imegeuka kuwa janga kila muda ndege wanasema zimejaa ukupanda ndege unashangaa iko na seat kibao ziko wazi.....

bei zao pia balaa mwanza one way 540000 Ni aghali sana...
 
Inahujumiwa sana. Mara kadhaa nimeambiwa imejaa kumbe wanatengeneza mazingira ya kupiga cha juu.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Mbona fast jet alipewa hizo domestic flight na ilizimudu viziru, lijama limoja likajitokeza alikajifanya lizalendo likuua shirka zima la fast jet kwa figisifigisu na wivu wakati ili boost sana internal trade kwa kulahisisha usafiri wa ndani
Ndio. Usafiri wa anga ulorahishwa sana zama za fastjet. Ninaamini watarudi tena
 
ATC Hata route za ndani hapa imegeuka kuwa janga kila muda ndege wanasema zimejaa ukupanda ndege unashangaa iko na seat kibao ziko wazi.....

bei zao pia balaa mwanza one way 540000 Ni aghali sana...
Kama una fahamu aeronautical knowledge kidogo huwezi kuwalaumu kwenye hili.
Kuna somo linaitwa 'Mass and Balance Control'. Kupitia hili somo rubani na flight dispatchers wanaweza kubalance load yao kama mafuta, mizigo na abiria ili ndege ipate maximum take off weight kwenye kuondoka, na kwenye kutua ipate maximum required landing weight.
Kwa mfano, ATC anaenda songea na hamna huduma ya mafuta songea airport. So ataamua kubeba mafuta mengi, abiria kidogo na mizigo ili apate uzito utakaomuwezesha kutua songea lakini hapo hapo awe na mafuta ya kumuwezesha kurudi dar.
 
Point Mkuu. Sikuwahi kujua hili
 
ATC Hata route za ndani hapa imegeuka kuwa janga kila muda ndege wanasema zimejaa ukupanda ndege unashangaa iko na seat kibao ziko wazi.....

bei zao pia balaa mwanza one way 540000 Ni aghali sana...

Kasome huko kuna jamaa kakujibu kitaalamu sijui ulijua ndege ni basi za champion kwamba hata mbele kwa dere utakaa, kajifunze huko
 
ATC Hata route za ndani hapa imegeuka kuwa janga kila muda ndege wanasema zimejaa ukupanda ndege unashangaa iko na seat kibao ziko wazi.....

bei zao pia balaa mwanza one way 540000 Ni aghali sana...
Mbona wengine hatuoni hili? Kuna jibu limetooewa kuhusu mafuta lakini kuna urefu wa viwanja pia kama Mpanda, Tabora,Bukoba na Arusha. Huwezi kujaza. Niliambiwa pia issue ya kukata tiketi kisha husafiri yaani no show naambiwa zaidi ni watu ww serikali, maana hawana hasara na hilo
 
Back
Top Bottom