Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naunga mkono hoja, tena it's about time ATC wa claim back our landing rights kutua London zilizokuwa zinashikiliwa na ATC, serikali ilipoingia ubia wa ATC na SAA kuanzisha Alliance Air, landing rights zetu za kutua London zilikabidhiwa kwa Alliance Air dege hilo likawa linatua London. Alliance Ilipokufa ilibidi tugawane fito, lakini kutokana na operating kwa hasara, SAA walitaifisha kila kitu including our landing rights za London.Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
View attachment 2246886View attachment 2246899
P