Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

Tukipeleka ndege huko, Nchimbi na Makalla watatumia usafiri gani mikoani?
 
Mbona fast jet alipewa hizo domestic flight na ilizimudu viziru, lijama limoja likajitokeza alikajifanya lizalendo likuua shirka zima la fast jet kwa figisifigisu na wivu wakati ili boost sana internal trade kwa kulahisisha usafiri wa ndani
Waambie ukweli Hawa machawa pro max!
 
Internal routes zimewashida ku capitalize sembuse hizo za kimataifa ATCL hawawezi biashara ya ushindani,.......bora fast jet irudi tu angalau ilikua na ushindani mzuri
Fastjet achangamke kipindi hikihiki cha Korea Saga
 
Hatimaye Air Tanzania wanatua South Africa tena
 
Sijawahi ona project za serikali zikawa serious km anaengoza nchi hajalipigia kelele,kwangu mimi bila smart marketing team kutakua na hasara daima kwenye mashirika ya umma,nakupa mfano wa TTCL,hii kampuni ilitakiwa kua km NMB ilivyo kwenye faida but kl cku wanakua,Ttcl ni worse kwenye customer care,hizi telecom kampani zilitakiwa kua mbadala ila wao wawe namba 1 lkn private wapo serious kuliko wakwongwe na huduma
 
Mindset change Mkuu. CHADEMA wenyewe hawapo serious
 
ATCL wana ndege nyingi zaidi ya RWANDAIR , wao kila siku cancellation lakini ndege zao zinapiga masafa marefu . Hawajui kama SOUTH africa ni business hub
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…