Air Tanzania yapigwa Marufuku kufanya safari zake Katika nchi 28 za Umoja wa Ulaya kwasababu za Kiusalama

Air Tanzania yapigwa Marufuku kufanya safari zake Katika nchi 28 za Umoja wa Ulaya kwasababu za Kiusalama

Majitu mapumbavu kama wewe ndiyo yanasimamia uchaguzi wa serikali za mitaa, hivyo inataka hata Ulaya wachakachue. Ndege zingekuwa zinarushwa hovyo hovyo kama unavyotaka unadhani kungekuwa na usalama?
Wewe mbw wa mabeberu endelea kuosha mav ya hao waume zako mabeberu. Shithole mkubwa.
 
Majitu mapumbavu kama wewe ndiyo yanasimamia uchaguzi wa serikali za mitaa, hivyo inataka hata Ulaya wachakachue. Ndege zingekuwa zinarushwa hovyo hovyo kama unavyotaka unadhani kungekuwa na usalama?
Hii nchi ina wajinga wengi halafu wanahisi labda tumefanikiwa sana kiasi kwamba tunaonewa wivu.
Sisi kwa kweli kuendesha mashirika tunashindwa. Nadhani wenzetu ndiyo maana huwa wanaajri watu wenye uzoefu. Mfano Emirates president in Tim Clark, huku uwanja wa ndege wa dubai CEO ni Paul Griffiths.
Sasa njoo kwetu unasikia mtu kapewa aendeshe SGR mara ghafla ashawaza kuifunga engine za diesel.
 
Wahuni hawa,wanaogopa kisiwatokee kilichofanywa na Emirates,Qatar air na Ethiopian airlines kumiliki soko na ndege zao kuonekana hazina mpango au kudoda kwenye biashara....
Kwa udogo wa ubongo wako ulitakiwa kuhurumiwa lakini wengi watakucheka. Air Tanzania inaweza kuwa tishio kwa nani? Hii ambayo nina uhakika miaka 10 ijayo haitakuwepo au itakuwa imekabidhiwa kwa mwarabu?
 
Hii nchi ina wajinga wengi halafu wanahisi labda tumefanikiwa sana kiasi kwamba tunaonewa wivu.
Sisi kwa kweli kuendesha mashirika tunashindwa. Nadhani wenzetu ndiyo maana huwa wanaajri watu wenye uzoefu. Mfano Emirates president in Tim Clark, huku uwanja wa ndege wa dubai CEO ni Paul Griffiths.
Sasa njoo kwetu unasikia mtu kapewa aendeshe SGR mara ghafla ashawaza kuifunga engine za diesel.
Akili za kitumwa ndio hizi. Slavery mentality.
 
Kagame hana ndege yule shirika ni la hao mabeberu hata uwanja wa ndege unaendeshwa na mabeberu. Uwanja wake unatumika kusafirisha madini yanayoibiwa huko DRC na Kongo. Siku DRC ikithibiti madini yake ndio kifo cha Rwanda mkuu.
Hii ya Kagame ni mfano tu ila kutua Heathrow sio utani
Sisi hata kuwa na ubia na wengine hatuwezi
Angalia Kenya Airways hata ticket zao ziko juu kutoka London to Nairobi
Kuna Ethiopian pia inatua Heathrow pia na hawajaanza leo napanda sana kipitia Addis to Dar
Hata sisi tunaweza ila ujanja ujanja mwingi tu
 
Kwa udogo wa ubongo wako ulitakiwa kuhurumiwa lakini wengi watakucheka. Air Tanzania inaweza kuwa tishio kwa nani? Hii ambayo nina uhakika miaka 10 ijayo haitakuwepo au itakuwa imekabidhiwa kwa mwarabu?
wambie mkuu... hata ndege 25 hazifiki wakati kuna mashirika kama emirates wanaweka oda za ndege 200. Watanzania ni watu ambao wanahisi tumefanikiwa sana, na ndiyo maana walikuwa wanaambiwa ubungo flyover imeifanya dar kama ulaya wanaamini kabisa.
Wanahisi labda ndege zinarushwa kama tiara.
 
Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza kuzuia ndege za shirika la ndege la Air Tanzania kuingia katika anga la nchi wanachama wake, jumla ya nchi 28, kwa madai kuwa shirika hilo halijakidhi vigezo vya kimataifa vya usalama wa anga.

“Umoja wa Ulaya leo umesasisha orodha ya mashirika ya ndege yanayozuiwa kuingia au kuwekewa vikwazo vya kiutendaji ndani ya umoja huo,” inasema taarifa ambayo The Chanzo imeipata. “Air Tanzania sasa imeongezwa kwenye orodha hiyo.”

Sababu kuu ya kuijumuisha Air Tanzania, kwa mujibu wa taarifa hiyo, ni changamoto za kiusalama zilizobainishwa na Wakala wa Usalama wa Anga wa Umoja wa Ulaya (EASA). Kwa hatua hiyo, Air Tanzania imejiunga na mashirika mengine 129 yaliyopigwa marufuku, ikiwa ni pamoja na Air Zimbabwe (Zimbabwe), Avior Airlines (Venezuela), Blue Wing Airlines (Suriname), Iran Aseman Airlines (Iran), Fly Baghdad (Iraq), na Iraqi Airways (Iraq).

Kamishna wa Usafiri Endelevu na Utalii wa Umoja wa Ulaya, Apostolos Tzitzikostas, amesema EU iko tayari kushirikiana na Air Tanzania ili kusaidia shirika hilo kufikia viwango husika vya usalama. “Uamuzi wa kuijumuisha Air Tanzania kwenye Orodha ya Usalama wa Anga ya EU unatokana na dhamira yetu ya kuhakikisha viwango vya juu vya usalama kwa abiria barani Ulaya na duniani kote,” amesema Tzitzikostas.

“Tunatoa wito kwa Air Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha changamoto hizi. EU iko tayari kushirikiana na mamlaka za Tanzania kuboresha usalama wa ndege za Air Tanzania na kuhakikisha zinafikia viwango vya kimataifa,” ameongeza.

Tangu mwaka 2016, Tanzania imekuwa ikiboresha shirika lake la Air Tanzania kwa kununua ndege mpya, zikiwemo Boeing 787-8 Dreamliner mbili, Dash 8 Q400 tano, Airbus A220-300 nne, Boeing 767-300F ya mizigo moja, na Boeing 737 MAX 9 tatu. Air Tanzania imekuwa ikifanya safari katika maeneo 14 ya ndani ya nchi, nane ya kikanda, na matatu ya kimataifa—China, India, na Dubai.

Hata hivyo, tangazo hili la Umoja wa Ulaya linaweza kuwa changamoto mpya kwa shirika hilo, ambalo sasa linatarajiwa kuchukua hatua madhubuti kushughulikia masuala ya usalama wa anga.

*********

Commission updates EU Air Safety List and adds Air Tanzania to the airlines banned within the European Union

Top
The European Commission today updated the EU Air Safety List, the list of airlines that are subject to an operating ban or operational restrictions within the European Union, because they do not meet international safety standards. Ensuring the highest level of air safety for Europeans and all other travelling passengers is at the very heart of the Commission's aviation safety policy.

Following today's update, Air Tanzania has been included on the List. The basis for this decision is safety concerns identified by the European Union Aviation Safety Agency (EASA). These also led to the decision not to grant Air Tanzania a Third Country Operator (TCO) authorisation.

Commissioner Tzitzikostas also welcomed EASA's positive decision on 29 November 2024 to lift the Third Country Operator (TCO) suspensions imposed on Pakistan International Airlines (PIA). Since the TCO Authorisation was suspended in 2020, PIA and the Pakistan Civil Aviation Authority (PCAA) have made substantial progress in improving safety performance and oversight capabilities. PIA is now allowed to resume operations to the EU. Furthermore, Airblue Limited, another Pakistani airline has also received EASA's TCO Authorisation.

Following today's update, a total of 129 airlines are banned from EU skies:

100 airlines certified in 15 States, due to inadequate safety oversight by the aviation authorities from these States;
22 airlines certified in Russia, as well as 7 individual airlines from other States, based on serious safety deficiencies identified: Air Tanzania (Tanzania), Air Zimbabwe (Zimbabwe), Avior Airlines (Venezuela), Blue Wing Airlines (Suriname), Iran Aseman Airlines (Iran), Fly Baghdad (Iraq) and Iraqi Airways (Iraq).
Two additional airlines are subject to operational restrictions and can only fly to the EU with specific aircraft types: Iran Air (Iran) and Air Koryo (North Korea).

Background

Today's update to the EU Air Safety List is based on the unanimous opinion of Member State aviation safety experts, who met in Brussels on 19 to 21 November 2024 under the auspices of the EU Air Safety Committee. This Committee is chaired by the European Commission with support from EASA. The European Parliament's Transport Committee also supports the update. Decisions under the EU Air Safety List are based on international safety standards, and notably the standards decreed by the International Civil Aviation Organization (ICAO).

EU COMMISSION
Mimi naona ni sahihi,tufanye marekebisho tufikie vigezo badala ya kusubiria mpaka litokee tatizo.
 
Huna hoja, huna akili huna exposure na pia huna elimu. Hili linakufanya unadhani ''mabeberu'' ndiyo adui yako
Huna akili nimeishi UK na Republic of Ireland zaidi ya miaka 10 nimefanyakazi na mabeberu nikiwa Admistrator wao. Nina exposure zaidi yako wewe unayefanyakazi kwenye kambi za wazee wakizungu. Endelea kuosha mav ya vizee vya kizungu. Shithole.
 
Umoja wa Ulaya EU umezuia Shirika la Air Tanzania Kuruka Kwenye Anga lake Kwa kile ilichodia ni kutokidhi viwango vya usalama.

Nionavyo Mimi hapa kutakuwa na mkono wa Kisiasa wa Wapinzani ambao mara zote Huwa wanataka Nchi yetu ishindwe na wakidhani ndio itawasaidia kupata madaraka.Jambo hili halikubaliki 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DDhpQBnN-af/?igsh=enU2eDZra295YTJ2

My Take
Naishauri Serikali na ATCL wawekezd zaidi Nguvu zao za kibiashara Bara la Asia,South America , Africa na usafiri wa Ndani badala ya kujikomba huko ambako hakuna chochote Cha maana tunapata.

View: https://www.instagram.com/p/DDhtmVgOx0n/?igsh=MWd5em51MXdzbm56

Huu utawala kila kitu kinaenda Mlama
Stiglers
Sgr
Atcl
Uchaguzi
Wasiojulikana

Ni kama hakuna Mkono wa Bwana
 
Back
Top Bottom