Airbnb ni salama zaidi kwa wanaochepuka kuliko guest house

Kama unaweza kulipia Guest House 70,000 to 80,000 huwezi shindwa kulipia unyama kama huu ndani ya City centre ukala maisha mazuri na mtoto.
 
This is festival season. Huu ni muda wa kujilisha fungu la kumi la vyote tulivyovuna mwaka mzima. Buriani rafiki yangu Vuta Raha.
View attachment 2448320
Aisee bujii nilienda msibani vuta raha ni rafki yangu tokea 2003 tukiwa moshi...alikua na carwash na mm nikaanzisha kijiwe cha watoto wa mjini hapo moshi na kipo mpaka leo..juzi nilienda kumzika pale makaburi ya kinondoni...na hata diamond alikuwepo
 
Naona na Kuna moja linatangazwa kwa spid ya 5g, 110,000 kwa siku niwewe na mazagaa Yako tu!
 

Nishaujua huu mjengo, basement una parking na mbele una ofisi ya furniture...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…