ChatgpKuanzia tiba, marekebisho, mpangilio, garden yangu, etc
Mimi natumia GROK a.i, wewe mwenzangu unatumia a.i ipi?
Its freeYa Bure au kulipia?
GPT, ofisi ningehitaji kuwa na staff zaidi ya watatu, tena mmoja mwenye qualifiction. Ya PhD na mwenyw uzoefu wa kazi kwa zaidi ya miaka kumi.Kuanzia tiba, marekebisho, mpangilio, garden yangu, etc
Mimi natumia GROK a.i, wewe mwenzangu unatumia a.i ipi?
Jaribu kuchat nayo namna ya kufungua aina fulani ya biashara, nini unahitaji, namna gani ufanye.ChatGPT Kuna muda inakujaza unaona utajiri SI huu hapa, nenda field Sasa🥺🥺
NarudiIts free
Download hapa kama unatumia android
![]()
Grok - Apps on Google Play
Answer any question & generate striking images. AI assistant by SpaceXAI.play.google.com
Mpaka garden?Kuanzia tiba, marekebisho, mpangilio, garden yangu, etc
Mimi natumia GROK a.i, wewe mwenzangu unatumia a.i ipi?
Tukisema weupe wapo light years ahead ndio kama hivi. Sisi tupo tu ni simba vs yanga, ccm vs chadema...yani tunasikitisha sana!!
Kwenye mambo hayo hata DeepSeek wapo vizuri sana.Jaribu kuchat nayo namna ya kufungua aina fulani ya biashara, nini unahitaji, namna gani ufanye.
Wale jamaa wa business proposals nadhani kwa sasa wakae kwa utulivu.
Yaani AI kwa ujumla, iwe deepseek, chatgpt, meta nk ni mapinduzi makubwa sana ya kiteknolojia. Unapata unachokitaka kwa nguvu ndogo sana.Kwenye mambo hayo hata DeepSeek wapo vizuri sana.
Tatizo lao model yao haijakuwa trained na data mpya.
Natumia ChatGPT na DeepSeek zote.