Aisee kongole sana kwa AI, kuna vitu imenipa solution wmbavyo labda ninge gharamika pesa na muda kuvipata

Aisee kongole sana kwa AI, kuna vitu imenipa solution wmbavyo labda ninge gharamika pesa na muda kuvipata

Kuanzia tiba, marekebisho, mpangilio, garden yangu, etc

Mimi natumia GROK a.i, wewe mwenzangu unatumia a.i ipi?
CHATGBT, open I,ya kwenye what's up,iko vizuri,inakuliwaza na kukupa majibu ya ziada ambayo ulikuwa ujatarajia, yaani ni raha tupu,lkn tahadhari angalieni hizi AI zisije zikawalemaza!!! 😄😂😂
 
Mimi natumia Chat GPT 4,Iko precise inajibu kwenye point haina maelezo marefu kama DeepSeek.
 
Aseeee KWENYE mambo ya kiimani wakati huo ilinipa wasiwasi nikasema NGoja nijaribu. Nikaiambia natamani nifanye BIASHARA Fulani INSHAALLAH SIJUI tafanikiwa. Asee ikanijibu alafu mwishoni ikamalizia utafanikiwa INSHAALLAH. Asee mi niliiona maajabu Ina maana chatgp Haina dini HADI aya za Quran mkuu. TENA KWA lugha unayo penda mwenyewe.
 
Asante AI🤣🤣🤣
IMG_6004.png
 
Tukisema weupe wapo light years ahead ndio kama hivi. Sisi tupo tu ni simba vs yanga, ccm vs chadema...yani tunasikitisha sana!!
Wakati USA inafanya uwekezaji wa US$500 Billion kwenye Data center ya AI, sisi bado tuko busy na Goli la Mama 😊.
 
Kuna siku nilichat na chatgpt nikajiuliza nawezaje kumla demu mlokole aisee ilinipa madini mpaka nikadhani nachat na mtu halisi
Wewe acha uongo bhasi,,mi ilinambia haina hisia kama binadamu alivyo,sasa itayajuaje hayo!??
 
AI na yanayokuja na AI ni zaidi ya revolution, nasikia anytime openai wata drop GPT 5, lakini kama kawaida kwa sisi watu weusi hii technology nayo itatupita tuu kama Industrial Revolution,dotcom na software development etc zilivyotupita na kutuacha taabani zaidi
 
Back
Top Bottom