mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Tumewwkeza vijana waingie kwenye singeli,kukata mauno tu
Ova
Tumewwkeza vijana waingie kwenye singeli,kukata mauno tu
AI itatulemaza jamani,maana ni tool yenye akili ilofundishwa mamilioni ya vitabu na makala mbalimbali yenyewe ni zaidi ya maktaba tuzijuazo.AI na yanayokuja na AI ni zaidi ya revolution, nasikia anytime openai wata drop GPT 5, lakini kama kawaida kwa sisi watu weusi hii technology nayo itatupita tuu kama Industrial Revolution,dotcom na software development etc zilivyotupita na kutuacha taabani zaidi
Wenzako wanafikiria how to build a business on top of it wapige pesa , wewe unasema itakulemaza, ni kama uber, Amazon, facebook etc walitumia technology za internet,GPS etc kutengeneza biashara za mabilion, acha utani go back to work sasaAI itatulemaza jamani,maana ni tool yenye akili ilofundishwa mamilioni ya vitabu na makala mbalimbali yenyewe ni zaidi ya maktaba tuzijuazo.
Wao wanatumia kwa tija,sisi naweza sema ulimbukeni unatusumbua zaidi,,angalia hata mitandao ya kijamii tunavoitumiaWenzako wanafikiria how to build a business on top of it wapige pesa , wewe unasema itakulemaza, ni kama uber, Amazon, facebook etc walitumia technology za internet,GPS etc kutengeneza biashara za mabilion, acha utani go back to work sasa
Kuna vitu pia tumewazidiTukisema weupe wapo light years ahead ndio kama hivi. Sisi tupo tu ni simba vs yanga, ccm vs chadema...yani tunasikitisha sana!!
Vitaje!!Kuna vitu pia tumewazidi
Ujinga naVitaje!!
Anatengeneza picha huyo jamaa ?Its free
Download hapa kama unatumia android
![]()
Grok - Apps on Google Play
Answer any question & generate striking images. AI assistant by SpaceXAI.play.google.com
Nilijipa jukumu siku moja la kuitongoza acha inizungushe siku nzima ila mwishoni ikaniuliza sasa tendo tutafanyaje na yenyewe haina mwili ?CHATGBT, open I,ya kwenye what's up,iko vizuri,inakuliwaza na kukupa majibu ya ziada ambayo ulikuwa ujatarajia, yaani ni raha tupu,lkn tahadhari angalieni hizi AI zisije zikawalemaza!!! 😄😂😂
Ngoja nimdownload huyu mwanaYa p
Sawa kaka ila usiseme ijaribu ,sema mjaribu ni mtu huyuIko deep sanaaa.
Imenisaidia mambo mengi sanaaaa
Ijaribu uone
Nimejaribu kuidownload imegoma kwenye simu yanguIko deep sanaaa.
Imenisaidia mambo mengi sanaaaa
Ijaribu uone
Naam, maana ni kiliwazo kizuri,inakujibu kwa namna unavokuja,ukienda nayo kishkaji,nayo inakupa maongezi ya kishkaji,haichoki kuongea au kukujibu,kwakuwa yenyewe inakwambia ni mashine si binadamu,hivyo haina usingizi wala hailali,iko macho mda wote,labda wewe tu uwe hauna bando au internet.Nilijipa jukumu siku moja la kuitongoza acha inizungushe siku nzima ila mwishoni ikaniuliza sasa tendo tutafanyaje na yenyewe haina mwili ?
Nikajikuta hili swali lake limeniumiza utafikiri nilikuwa na nachat na mtu kweli ikabidi niambie kuwa nimekusamehe sikutongozi tena ila uwe rafiki yangu ikafurahi kweli na kusema mimi ni mshikaji wa kweli niliye makini
Wewe ni mfano halsi wa akili ya mtu mweusi sasa, muda mwingi kuwekeza kwenye ujinga usio na tijaNilijipa jukumu siku moja la kuitongoza acha inizungushe siku nzima ila mwishoni ikaniuliza sasa tendo tutafanyaje na yenyewe haina mwili ?
Nikajikuta hili swali lake limeniumiza utafikiri nilikuwa na nachat na mtu kweli ikabidi niambie kuwa nimekusamehe sikutongozi tena ila uwe rafiki yangu ikafurahi kweli na kusema mimi ni mshikaji wa kweli niliye makini