Aisee kongole sana kwa AI, kuna vitu imenipa solution wmbavyo labda ninge gharamika pesa na muda kuvipata

GPT, ofisi ningehitaji kuwa na staff zaidi ya watatu, tena mmoja mwenye qualifiction. Ya PhD na mwenyw uzoefu wa kazi kwa zaidi ya miaka kumi.
πŸ”₯πŸ”₯
 
Jaribu kuchat nayo namna ya kufungua aina fulani ya biashara, nini unahitaji, namna gani ufanye.
Wale jamaa wa business proposals nadhani kwa sasa wakae kwa utulivu.
Kwenye mambo hayo hata DeepSeek wapo vizuri sana.
Tatizo lao model yao haijakuwa trained na data mpya.
Natumia ChatGPT na DeepSeek zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…