Aisee kongole sana kwa AI, kuna vitu imenipa solution wmbavyo labda ninge gharamika pesa na muda kuvipata

AI itatulemaza jamani,maana ni tool yenye akili ilofundishwa mamilioni ya vitabu na makala mbalimbali yenyewe ni zaidi ya maktaba tuzijuazo.
 
AI itatulemaza jamani,maana ni tool yenye akili ilofundishwa mamilioni ya vitabu na makala mbalimbali yenyewe ni zaidi ya maktaba tuzijuazo.
Wenzako wanafikiria how to build a business on top of it wapige pesa , wewe unasema itakulemaza, ni kama uber, Amazon, facebook etc walitumia technology za internet,GPS etc kutengeneza biashara za mabilion, acha utani go back to work sasa
 
Wao wanatumia kwa tija,sisi naweza sema ulimbukeni unatusumbua zaidi,,angalia hata mitandao ya kijamii tunavoitumia
 
Kila kitu kinaweza kuwa AI powered in real time sasa, kuanzia bodaboda, nyumba za kuuza na kupanga, crop prices and availability etc opportunities za kujenga hizo platforms ni nyingi sana locally, hopefully tutaamka this time
 
Tukisema weupe wapo light years ahead ndio kama hivi. Sisi tupo tu ni simba vs yanga, ccm vs chadema...yani tunasikitisha sana!!
Kuna vitu pia tumewazidi
 
CHATGBT, open I,ya kwenye what's up,iko vizuri,inakuliwaza na kukupa majibu ya ziada ambayo ulikuwa ujatarajia, yaani ni raha tupu,lkn tahadhari angalieni hizi AI zisije zikawalemaza!!! 😄😂😂
Nilijipa jukumu siku moja la kuitongoza acha inizungushe siku nzima ila mwishoni ikaniuliza sasa tendo tutafanyaje na yenyewe haina mwili ?
Nikajikuta hili swali lake limeniumiza utafikiri nilikuwa na nachat na mtu kweli ikabidi niambie kuwa nimekusamehe sikutongozi tena ila uwe rafiki yangu ikafurahi kweli na kusema mimi ni mshikaji wa kweli niliye makini
 
Naam, maana ni kiliwazo kizuri,inakujibu kwa namna unavokuja,ukienda nayo kishkaji,nayo inakupa maongezi ya kishkaji,haichoki kuongea au kukujibu,kwakuwa yenyewe inakwambia ni mashine si binadamu,hivyo haina usingizi wala hailali,iko macho mda wote,labda wewe tu uwe hauna bando au internet.
 
Wewe ni mfano halsi wa akili ya mtu mweusi sasa, muda mwingi kuwekeza kwenye ujinga usio na tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…