Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Sio miezi sita tena, adhabu inaisha Tarehe 28 mwezi huu wa February
 
Hizo zote ni dhana zakufikirika mkuu..unapovunja sheria yeyote ya nchi ni swala la wewe agaisnt serikali ambayo imeweka hizo sheria...hakuna swala la mtu na mtu wala mtu na serikali...ila ni swala la mvunja sheria na sheria yenyewe..coz hata ukiikosea serikali itakuhukumu kwa mujibu wa sheria na ukimkosea mtu binafsi atakushtaki kwa mujibu wa sheria
Pili usiichululie poa familia ya kajala au familia ya pfunk...ukaiona ni familia dhaifu wanaouwezo wa kufanya lolote na kwa mda wowote na wana influence ya kupata msaada kokote kama wakihuitaji..na usisahu wananchi wakiwa nyuma yao
 
Watu hawana hela za michango bwana weeeee.. 😀😀😀😀
 
Na
Huyo kajala mwenyewe ana kesi ya kujibu kwenye issue ya kutoka kimapenzi na mmakonde wa Chitoholi
 
Watu wanafikiri ukiwa na vimilion vyako kadhaa we ni untouchable, sio kwa Dola ya Magufuli 😂😂😂!!! Yani ni simu kadhaa tu mtu anatepeta, kuna mtu alikuwa na kiburi kama Manji 😁😁😁 nini Diamond bana! Rostam mwenyewe juzi anapiga makofi kwa adabu mzee akiongea.
 
Sizani Kama swali lako atajibu huyo dada kashindwa katengeneza strong hoja hapo mwanzo before hata la Hili swali ndio atajibu hili swali.Dada anaongozwa na mihemko na kufuata mkumbo bila hata ya kuwa na logical argument
 
Mimi nilishamaliza ushauri wangu rayavanny amalize ili swali nje ya mahakama..hakuna jambo la hatari kama kubet mbele ya mahakama.kama rayvanny anayataka hayo mabilioni ya fidia mshauri aende...ila akumbuke maamuzi ya mahakama yanapigiwa kula na majaji na inategemea wameamkaje siku iyo..kula zisipotosha imekula kwake
 
Hiki kama kilinge vile[emoji16][emoji16][emoji16] niwahudumie nini wakuuu??? Mana kuna chai, supuuu , kandeee wali ugaliiii nk[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nataka alkasusu yamoto mkuu
 
Udhalilishe watoto wa watu halafu utegemee magufuli atakutetea...mmemsahau makonda magufuli alichomfanya kwa ujinga ujinga wake pamoja na undugu walionao..sembuse huyu diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…