Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Wasafi tv imefungiwa miezi6 kwa kosa la gigi mpaka sasa ameplay undava upi...embu tuanzie hapo...katika hii nchi diamond ni mtu mdogo sasa yani watu wakiamua yao dk0 anarudi tandale..kuna mtu alikua anaitwa Lugumi alikua tajiri na nyumba kam 200 ivi..muulize sasahivi yuko wapi na anahali gani
Sio miezi sita tena, adhabu inaisha Tarehe 28 mwezi huu wa February
 
Umefananisha vitu viwili tofauti situation ya Wasafi ni Mond Vs Serikali, hii ni mtu Vs mtu.

Kajala Vs Vanny ni mtu Vs mtu alafu nyuma ya Vanny kuna powerful people kama Mond na timu mzima ya uongozi wa wasafi hawa watu wana power kubwa kitachotokea hawa watu watamaliza jambo mezani kidiplomasia ila kajala akijifanya ndava na hawa watu ni chatu wanajua undava watakubali jambo liende mahakamani kitachotokea huko wataonesha uchatu wao kumbuka mpaka sasa ni jajiment moja tu ya Cyber nayo dhaifu sana na kumbuka meza kuipundua ni rahisi kuna chatu Mobeto atampindulia meza.

lolote laweza tokea lakini kumbuka Mond anazungukwa not watu wenye ushawishi especially angle ya sheria nikizungumzia Vanny nazungumzia Mond.
Hizo zote ni dhana zakufikirika mkuu..unapovunja sheria yeyote ya nchi ni swala la wewe agaisnt serikali ambayo imeweka hizo sheria...hakuna swala la mtu na mtu wala mtu na serikali...ila ni swala la mvunja sheria na sheria yenyewe..coz hata ukiikosea serikali itakuhukumu kwa mujibu wa sheria na ukimkosea mtu binafsi atakushtaki kwa mujibu wa sheria
Pili usiichululie poa familia ya kajala au familia ya pfunk...ukaiona ni familia dhaifu wanaouwezo wa kufanya lolote na kwa mda wowote na wana influence ya kupata msaada kokote kama wakihuitaji..na usisahu wananchi wakiwa nyuma yao
 
Sema watu wamelikomalia hili balaaa, na mm naona hata kajala aliamua kufanya vile ili kukwepa aibu kwa wanazengo but hata yy anajua kila kitu. Kilichobak muda huu n kiki tu, yani hilo tukio limeingizwa ki kiki zaidi. Ata harmo kwenda central inawezekana kaenda kwa mambo yake mengine tu but ili kiki iwe kiki kweli. Hawa wasanii washagundua watz wanapenda nn ndo mana wanatembea nasi mlemle. Imagine huu uzi ungekuwa ni wa kuomba michango kwa ajiri ya mayatima nadhani ungejitahid sana ungekuwa na reply 10 tu, watz bana😁
Watu hawana hela za michango bwana weeeee.. 😀😀😀😀
 
Na
Kama hamisa ataamua kumshtaki kajala kajala nae anakesi ya kujibu unless kajala atoe ushahidi kua ni kweli hamisa ndo alimpeleka paula kwa rayvanny....ila kumbuka kajala hakukurupuka hamisa ametajwa na paula katika kujitetea kwake,..kwhy ushahidi wa paula unawez kumuokoa mama yake
Huyo kajala mwenyewe ana kesi ya kujibu kwenye issue ya kutoka kimapenzi na mmakonde wa Chitoholi
 
Watu wanafikiri ukiwa na vimilion vyako kadhaa we ni untouchable, sio kwa Dola ya Magufuli 😂😂😂!!! Yani ni simu kadhaa tu mtu anatepeta, kuna mtu alikuwa na kiburi kama Manji 😁😁😁 nini Diamond bana! Rostam mwenyewe juzi anapiga makofi kwa adabu mzee akiongea.
Wasafi tv imefungiwa miezi6 kwa kosa la gigi mpaka sasa ameplay undava upi...embu tuanzie hapo...katika hii nchi diamond ni mtu mdogo sasa yani watu wakiamua yao dk0 anarudi tandale..kuna mtu alikua anaitwa Lugumi alikua tajiri na nyumba kam 200 ivi..muulize sasahivi yuko wapi na anahali gani
 
Hivi nikuulize swali AY na Mwana FA wamelipwa na Tigo zaidi ya 2bil kwa kazi zao moja kutumika na tigo,
hivi AY na Mwana FA kazi yao moja ya "habari ndio hiyo" ina dhamani ya zaidi ya 2bil?

Hapa nimezungumzia just unit,na si brand zao wao mwenyewe za AY na Mwana FA,sasa jiulize kama brand zao zingetumika we unazani tigo wangewalipa shiling ngapi?

Hivi wewe unajua mpaka sasa Rayvanny yupo kwenye mazungumzo na mapromota wangapi kwa ajili ya kufanya show,akisema nilikuwa na mazungumzo na mapromota 50 kwa ajili ya show zenye thamani ya 2bil,baada ya hizi tuhuma mazungumzo yakaisha utamkatalia?

Hamisa ni balozi wakampuni zaidi ya tatu,akisema nilikuwa na mazungumzo na kampuni zaidi 5 kwa ajili ya deals zaidi ya 100mil utamkatalia.

Nimekuuliza swali IKATOKEA WAKADAI FIDIA YA MAMILIONI YA SHILINGI UTAMSAIDIA KUMCHANGIA?
Sizani Kama swali lako atajibu huyo dada kashindwa katengeneza strong hoja hapo mwanzo before hata la Hili swali ndio atajibu hili swali.Dada anaongozwa na mihemko na kufuata mkumbo bila hata ya kuwa na logical argument
 
Hivi nikuulize swali AY na Mwana FA wamelipwa na Tigo zaidi ya 2bil kwa kazi zao moja kutumika na tigo,
hivi AY na Mwana FA kazi yao moja ya "habari ndio hiyo" ina dhamani ya zaidi ya 2bil?

Hapa nimezungumzia just unit,na si brand zao wao mwenyewe za AY na Mwana FA,sasa jiulize kama brand zao zingetumika we unazani tigo wangewalipa shiling ngapi?

Hivi wewe unajua mpaka sasa Rayvanny yupo kwenye mazungumzo na mapromota wangapi kwa ajili ya kufanya show,akisema nilikuwa na mazungumzo na mapromota 50 kwa ajili ya show zenye thamani ya 2bil,baada ya hizi tuhuma mazungumzo yakaisha utamkatalia?

Hamisa ni balozi wakampuni zaidi ya tatu,akisema nilikuwa na mazungumzo na kampuni zaidi 5 kwa ajili ya deals zaidi ya 100mil utamkatalia.

Nimekuuliza swali IKATOKEA WAKADAI FIDIA YA MAMILIONI YA SHILINGI UTAMSAIDIA KUMCHANGIA?
Mimi nilishamaliza ushauri wangu rayavanny amalize ili swali nje ya mahakama..hakuna jambo la hatari kama kubet mbele ya mahakama.kama rayvanny anayataka hayo mabilioni ya fidia mshauri aende...ila akumbuke maamuzi ya mahakama yanapigiwa kula na majaji na inategemea wameamkaje siku iyo..kula zisipotosha imekula kwake
 
Mkuu kashata zimeisha, ungependa nikuletee nini badala yake????🤣🤣🤣🤣
Basi hata karanga mbichi .. kahawa hii nimeilewe asee.. niongezeee ingine asee
20210216_114149.jpg
 
Hiki kama kilinge vile[emoji16][emoji16][emoji16] niwahudumie nini wakuuu??? Mana kuna chai, supuuu , kandeee wali ugaliiii nk[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nataka alkasusu yamoto mkuu
 
Watu wanafikiri ukiwa na vimilion vyako kadhaa we ni untouchable, sio kwa Dola ya Magufuli [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Yani ni simu kadhaa tu mtu anatepeta, kuna mtu alikuwa na kiburi kama Manji [emoji16][emoji16][emoji16] nini Diamond bana! Rostam mwenyewe juzi anapiga makofi kwa adabu mzee akiongea.
Udhalilishe watoto wa watu halafu utegemee magufuli atakutetea...mmemsahau makonda magufuli alichomfanya kwa ujinga ujinga wake pamoja na undugu walionao..sembuse huyu diamond
 
Back
Top Bottom