[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haahaaa chizi we
Nimewaza masizi hapa mbavu sina[emoji15][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji1787]
Sawa mkuu, ngoja tuendeleze chai humu
By the way, pumbavu mwenyewe, jinga kabisa
[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Kama unaishi Masaki ama Oysterbay ni ngumu sana kuyaona hayo.
Hahahahah sasa si unajua ni fursa adimu, mara paap umepigwa buyu mzee show yote imeisha unaanza kugombana na mwenye gari sasaHaaahaaa
Wenye magari ya kuazima huwa mna speed ya kufa mtu, na maneno mengi hayakauki mdomoni[emoji16][emoji16][emoji16]
Umesema kweli mkuu[emoji122]Watu wanaposema sababu za kiusalama wengi hufikiri ni za kumdhuru mmiliki moja kwa moja na kusahau kuwa yawezekana mtu unayempakiza akapatwa na madhara akiwa ndani ya gari lako hili tayari linakuweka kwenye Jeopardy swala kubwa ni dhamana ya yule mtu unayempakiza kwa mfano umepakiza mtoto wa shule akachelewa kwao au ukapata nae ajali familia yake inapokuhold responsible kwa wema wako inakuwa ni usumbufu.
Issue kubwa inayofanya watu kufunga vioo ni visanga vya watu wakipewa lift ! Mwengine atanunua na mihogo aanze kula humo kuchafua gari na story zisizo na staha yaani ustaarabu sifuri lakini pia watu wengi hupenda privacy ndio maana wameamua kununua private cars sasa ukipakiza mtu unapoteza privileged hii na si roho mbaya ni maamuzi tu .
Ni kweli kabisa, ukiendekeza magari nayo ni soo, mengine ya maana yanakupitaSina uwezo huo kwasasa na hilo gari silipendi hata kidogo.
Hiyo pesa ya kununua maserati bora nifumue mijengo ya maana
Hahahah hayo maeneo yanakuwaga shazi sana esp. muda wa jioni jioni ule saa 11 hivi! Kama mtu wa kulenga huwezi kosa kichwa.Yaani kuna maeneo ukipita ukapark tu lazima upate watu wa lift ! Station ,Ubungo external ,Mwenge ,ITV ,Morocco,Tazara,Studio ,Magomeni nk
Mkuu ina maama jamaa amekuja kukusuta kuhusu baby walkers kuishiwa nguvu au niache kuwachonganisha ππGari ni sawa na ile sifa ya "Usomi" regardless umeishia level gani as long as umekanyaga chuo kikuu! Wewe ni msomi π€£π€£π€£
Unapokea heshima nyingi sana ukiwa na gari. Tofauti na ambaye hana vijana wengi huwa wanaomba namba zangu tu.
[emoji28][emoji28]Mkuu ina maama jamaa amekuja kukusuta kuhusu baby walkers kuishiwa nguvu au niache kuwachonganisha [emoji23][emoji23]
Mimi kuna binti aligongwa na gari akiwa amebebwa na pikpiki.Watu wanaposema sababu za kiusalama wengi hufikiri ni za kumdhuru mmiliki moja kwa moja na kusahau kuwa yawezekana mtu unayempakiza akapatwa na madhara akiwa ndani ya gari lako hili tayari linakuweka kwenye Jeopardy swala kubwa ni dhamana ya yule mtu unayempakiza kwa mfano umepakiza mtoto wa shule akachelewa kwao au ukapata nae ajali familia yake inapokuhold responsible kwa wema wako inakuwa ni usumbufu.
Issue kubwa inayofanya watu kufunga vioo ni visanga vya watu wakipewa lift ! Mwengine atanunua na mihogo aanze kula humo kuchafua gari na story zisizo na staha yaani ustaarabu sifuri lakini pia watu wengi hupenda privacy ndio maana wameamua kununua private cars sasa ukipakiza mtu unapoteza privileged hii na si roho mbaya ni maamuzi tu .
Hainipi tabu maana wadau wengi humu wanamiliki "asante mjapani" wachache wana vibebi woka vya wajukuu wa Hiter.Mkuu ina maama jamaa amekuja kukusuta kuhusu baby walkers kuishiwa nguvu au niache kuwachonganisha ππ
[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji28]Hahahahah sasa si unajua ni fursa adimu, mara paap umepigwa buyu mzee show yote imeisha unaanza kugombana na mwenye gari sasa
Kabisa na hakuna kitu kina kula pesa kama gari.Ni kweli kabisa, ukiendekeza magari nayo ni soo, mengine ya maana yanakupita
Afadhali yako we wema wako haukukuponzaMimi kuna binti aligongwa na gari akiwa amebebwa na pikpiki.
Nilisimama kumahuaha binti flani, ghafla ist ilingia kwa pupa road akamvaa bodaboda akiwa amempakia binti.
Waliburuzwa vibaya
Nililazimika lumbeba binti kwani dreva boda alikimbia.
Nikampelela polisi kupewa pf3.
Then nikamuwahisha hospital kwani alikuwa amezimia.
Hosp. Nililazimika kulioia ndipo apate tiba.
Nilijikuta nabeba dhamana yake yaani kila kitu ikawa mimi.
Hadi ndg wapate taarifa ilikuwa ni usiku wa manane.
Alivyopona ukalipwa fadhila pia πππ mbona humalizii story!Mimi kuna binti aligongwa na gari akiwa amebebwa na pikpiki.
Nilisimama kumahuaha binti flani, ghafla ist ilingia kwa pupa road akamvaa bodaboda akiwa amempakia binti.
Waliburuzwa vibaya
Nililazimika lumbeba binti kwani dreva boda alikimbia.
Nikampelela polisi kupewa pf3.
Then nikamuwahisha hospital kwani alikuwa amezimia.
Hosp. Nililazimika kulioia ndipo apate tiba.
Nilijikuta nabeba dhamana yake yaani kila kitu ikawa mimi.
Hadi ndg wapate taarifa ilikuwa ni usiku wa manane.
Na kupaki unaona sooKabisa na hakuna kitu kina kula pesa kama gari.
Na kuna wakati mtu unayumba kiuchumi
Gari nzuri ikiwa katika uzima tu. Ikianza kuleta miyeyusho hamna rangi utaacha kuonaKabisa na hakuna kitu kina kula pesa kama gari.
Na kuna wakati mtu unayumba kiuchumi