Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Haahaaa chizi we

Nimewaza masizi hapa mbavu sina[emoji15][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji1787]

Sawa mkuu, ngoja tuendeleze chai humu

By the way, pumbavu mwenyewe, jinga kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]

Haaahaaahaa

Amiliki wapi huyo, kaja kujaza server[emoji28][emoji28][emoji1787]

Matako Masizi!
 
Watu wanaposema sababu za kiusalama wengi hufikiri ni za kumdhuru mmiliki moja kwa moja na kusahau kuwa yawezekana mtu unayempakiza akapatwa na madhara akiwa ndani ya gari lako hili tayari linakuweka kwenye Jeopardy swala kubwa ni dhamana ya yule mtu unayempakiza kwa mfano umepakiza mtoto wa shule akachelewa kwao au ukapata nae ajali familia yake inapokuhold responsible kwa wema wako inakuwa ni usumbufu.
Issue kubwa inayofanya watu kufunga vioo ni visanga vya watu wakipewa lift ! Mwengine atanunua na mihogo aanze kula humo kuchafua gari na story zisizo na staha yaani ustaarabu sifuri lakini pia watu wengi hupenda privacy ndio maana wameamua kununua private cars sasa ukipakiza mtu unapoteza privileged hii na si roho mbaya ni maamuzi tu .
Umesema kweli mkuu[emoji122]
 
Gari ni sawa na ile sifa ya "Usomi" regardless umeishia level gani as long as umekanyaga chuo kikuu! Wewe ni msomi 🤣🤣🤣

Unapokea heshima nyingi sana ukiwa na gari. Tofauti na ambaye hana vijana wengi huwa wanaomba namba zangu tu.
Mkuu ina maama jamaa amekuja kukusuta kuhusu baby walkers kuishiwa nguvu au niache kuwachonganisha 😂😂
 
Watu wanaposema sababu za kiusalama wengi hufikiri ni za kumdhuru mmiliki moja kwa moja na kusahau kuwa yawezekana mtu unayempakiza akapatwa na madhara akiwa ndani ya gari lako hili tayari linakuweka kwenye Jeopardy swala kubwa ni dhamana ya yule mtu unayempakiza kwa mfano umepakiza mtoto wa shule akachelewa kwao au ukapata nae ajali familia yake inapokuhold responsible kwa wema wako inakuwa ni usumbufu.
Issue kubwa inayofanya watu kufunga vioo ni visanga vya watu wakipewa lift ! Mwengine atanunua na mihogo aanze kula humo kuchafua gari na story zisizo na staha yaani ustaarabu sifuri lakini pia watu wengi hupenda privacy ndio maana wameamua kununua private cars sasa ukipakiza mtu unapoteza privileged hii na si roho mbaya ni maamuzi tu .
Mimi kuna binti aligongwa na gari akiwa amebebwa na pikpiki.
Nilisimama kumahuaha binti flani, ghafla ist ilingia kwa pupa road akamvaa bodaboda akiwa amempakia binti.
Waliburuzwa vibaya
Nililazimika lumbeba binti kwani dreva boda alikimbia.
Nikampelela polisi kupewa pf3.
Then nikamuwahisha hospital kwani alikuwa amezimia.
Hosp. Nililazimika kulioia ndipo apate tiba.
Nilijikuta nabeba dhamana yake yaani kila kitu ikawa mimi.
Hadi ndg wapate taarifa ilikuwa ni usiku wa manane.
 
Hahahahah sasa si unajua ni fursa adimu, mara paap umepigwa buyu mzee show yote imeisha unaanza kugombana na mwenye gari sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji28]

Dudu ya yuyuuu linasinyaa ghafla usiombe yakukute[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi kuna binti aligongwa na gari akiwa amebebwa na pikpiki.
Nilisimama kumahuaha binti flani, ghafla ist ilingia kwa pupa road akamvaa bodaboda akiwa amempakia binti.
Waliburuzwa vibaya
Nililazimika lumbeba binti kwani dreva boda alikimbia.
Nikampelela polisi kupewa pf3.
Then nikamuwahisha hospital kwani alikuwa amezimia.
Hosp. Nililazimika kulioia ndipo apate tiba.
Nilijikuta nabeba dhamana yake yaani kila kitu ikawa mimi.
Hadi ndg wapate taarifa ilikuwa ni usiku wa manane.
Afadhali yako we wema wako haukukuponza
 
Alivyopona ukalipwa fadhila pia 😂😂😂 mbona humalizii story!
 
Back
Top Bottom