Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Niliwai kupakiza watu wanne kwenye gari, baadae nafika home naona siti imechorwa chorwa na wamechukua triangle na matunda niliyoyanunua. Siku nyingine nimepakiza wanafunzi njian mmoja kapandisha shetani Kisha kafungua mlango na kujitupa nnje na kuumia mikono na miguu, niliwekwa ndani siku 2 maana wananchi walijua niliwateka na wazazi hawakuelewa kabisa mwisho baada ya kutoka ugomvi ukahamia kwa mke maana alijua yule dentist wa fom four Ni mchepuko. Tangu siku hiyo kupakia mtu Kwa gari labda niwe namjua au mtu mzima/mzee na matrafiki, wengine wanisamehe bure

hao wanafunzi walishindwa kukutetea ?
 
My wish nikimiliki gari ni lazima nimmegee mtu humo kwanza. Baharini, kichochoroni, vichakani tayari bado kwenye gari.
Alafuu ukimilikii unajisemeaa siwez kufanyaa upuuzii kama huo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakupinga mzee. Wengi ni roho mbaya tu. Believe me!
Mtoto wa primary darasa la tatu umpakize abadilike kuwa jini??? Waafrika Waafrika

Imani za ajabu sana hizi, eti majini 😁
 
Niliwai kupakiza watu wanne kwenye gari, baadae nafika home naona siti imechorwa chorwa na wamechukua triangle na matunda niliyoyanunua. Siku nyingine nimepakiza wanafunzi njian mmoja kapandisha shetani Kisha kafungua mlango na kujitupa nnje na kuumia mikono na miguu, niliwekwa ndani siku 2 maana wananchi walijua niliwateka na wazazi hawakuelewa kabisa mwisho baada ya kutoka ugomvi ukahamia kwa mke maana alijua yule dentist wa fom four Ni mchepuko. Tangu siku hiyo kupakia mtu Kwa gari labda niwe namjua au mtu mzima/mzee na matrafiki, wengine wanisamehe bure
Kudadeki na lockup juu!

Bora uwe na roho mubaya
 
Back
Top Bottom