Aisee mimi nafikiri africa sio mazingira safi kwa mtu alie introvert. Utaanza kusemwa wewe ni usalama😁

Aisee mimi nafikiri africa sio mazingira safi kwa mtu alie introvert. Utaanza kusemwa wewe ni usalama😁

Ni full kusnitchiana tu
Wakikuona watofauti watatafuta kila mbinu ili ujae kwenye njia zao wakwamishe mambo yako

Ninaishi sehemu ambayo kila mtu anataka ajue wewe ni nani na umetokea wapi
Unapoishi ni wapi na unaitwa nani
 
Back
Top Bottom