Hii nadhan ilikua zamani, ukiwa na court order inawezekana ukapima.Dna yenyewe mpaka south ndo zipo fresh huku bongo eti hawataki kuvunja ndoa za watu π€£π€£π€£π€£ ama kweli ngoja nikue tu yaani πΏ
Watakwambia wote wa kwako. Hata kama wakiwa wote sio wa kwako. Unahis serikal ndo inataka mzigo??Hii nadhan ilikua zamani, ukiwa na court order inawezekana ukapima.
Naenda mahakamani nawaambia nataka kuandika wosia hivo nataka kujua kina nani ni watoto wangu halali
Uvivu wao tu, majibu ya ukweli yatoke halafu kama mwanamke kadanganya tunambana aseme baba ni nani, na huyo baba ndo anapelekewa mzigo. Ila mara nyingi wanawake wanajua mhusika ni nani, ni vile tu wanaamua kutuumizaWatakwambia wote wa kwako. Hata kama wakiwa wote sio wa kwako. Unahis serikal ndo inataka mzigo??
Bro bongo ni process Sana ila sijui maana mond aliapprove tifa huko south hivyo kama imebadilika sijuiHii nadhan ilikua zamani, ukiwa na court order inawezekana ukapima.
Naenda mahakamani nawaambia nataka kuandika wosia hivo nataka kujua kina nani ni watoto wangu halali
Serikali ina siasa kaka. Haiko tayari kuona the big effect. Inajua kwamba waweza m-abandon mke na watoto lets say wawili kisa imekwambia watt sio wako. Inajua fika watt wa mitaani na uhalifu vitaongezeka. So sio rahisi kupata majibu ya ukweli unless wewe ni kibopa wa gvt.Uvivu wao tu, majibu ya ukweli yatoke halafu kama mwanamke kadanganya tunambana aseme baba ni nani, na huyo baba ndo anapelekewa mzigo. Ila mara nyingi wanawake wanajua mhusika ni nani, ni vile tu wanaamua kutuumiza
Hawawezi na hawataweza kusema hivyo, nimesimamia DNA tatu tofauti na zote wanaume walipigwa na vitu vizito tena vizito kweli.Watakwambia wote wa kwako. Hata kama wakiwa wote sio wa kwako. Unahis serikal ndo inataka mzigo??
Nisiseme mengi, kuna clip inazagaa mwanamke mmoja anajisifia kalea mtoto kwa kutumia baba watatu na hawajuani. Yaan anamaanisha mababa watatu wamelea na kuhudumia mtoto kila mmoja akijua huyo mtoto ni wake, mchezo mzima kacheza huyo mwanamke.
Najua hapo alikua anaigiza tu ila hio clip imenifikirisha sana sababu inaonekana inaakisi uhalisia. Hapa nikipata likizo ntafanya juu chini nipime DNA watoto wangu wote, wataalam toeni muongozo namna ya kupima DNA Tafadhari
View attachment 2495130
πIpo haja ya kutembelea eneo la kazin kwa Mkeo uangalie tu watoto wanafanana na Nani ?
Haya sasa, tupe utaratibu chief. Unajua hamna kitu inauma kufikiria kama unakuja gundua mali zako anakula mtoto asie wako na mwanamke ambae kumbe alikua malaya tu kwakohawawezi na hawataweza kusema hivyo, nimesimamia DNA tatu tofauti na zote wanaume walipigwa na vitu vizito tena vizito kweli.
Ghaii... kama hii ni kweli basi shida sanaSerikali ina siasa kaka. Haiko tayari kuona the big effect. Inajua kwamba waweza m-abandon mke na watoto lets say wawili kisa imekwambia watt sio wako. Inajua fika watt wa mitaani na uhalifu vitaongezeka. So sio rahisi kupata majibu ya ukweli unless wewe ni kibopa wa gvt.
Natembea na kichupa Cha nyongo ya Mamba ... Ngeta Moja umekwisha.Na umkute anaefanana nae sijui itakua vita gani hapo
Nimeshauweka hapo chini MkuuHaya sasa, tupe utaratibu chief. Unajua hamna kitu inauma kufikiria kama unakuja gundua mali zako anakula mtoto asie wako na mwanamke ambae kumbe alikua malaya tu kwako