grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Sijawahi kupima DNA wala bado sina familia kwa sasa (sijaoa ) ila stori zinavyoenda huku mtaani ni kwamba ukienda kupima DNA hasa hapa bongo ukisema uende direct basi atahitajika mkeo pia awepo .
Na ili kulinda maslahi ya mtoto/watoto basi itakapogundulika kuwa hao watoto si wa kwako watamuita mke wako kwa siri na watamwambia uhalisia, kisha ndiyo mtaitwa wote sasa halafu utaambiwa uongo kwamba hao watoto wakwako kabisa ila wamefuata upande wa mke sana ndiyo maanaa hawana hata feature moja ya kwako 😂.
Kuna wadau wanasema labda uchukue nywele au mate kisha uende hapo kenya utapata kila kitu au uingie mfukoni uhonge kweli kweli kwa hapa bongo(sipo na wewe kwenye dhambi hii).
N.b
Ni stori tu za mtaa.