Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
- Thread starter
- #81
Huyo ni wewe, kuna mijitoto ya ajabu aidha imeua baba walezi wao au imewafanyia mambo yaliowaletea presha.Ili ikusaidie nini? Wewe Lea katika hao Watoto wote wawe wa Nje au vinginevyo hawawezi fanana akili..
Mfano Mimi mama aniambie huyo sio baba Yako na kanilea Sasa baba yangu Mimi awe hai au kafa atakuwa na maana gani ikiwa hajanilea? Yupi wa maana aliyenilea au baba yangu wa damu aliyenipotezea?
Nakazia siwezi lea bao lisilo langu bila ridhaa yangu. Labda nijue sio wa kwangu lkn niendelee.
Af unauliza ili inisaidie nn? Hv wewe una akili kweli? Pitia commenta zangu huko juu utaona nnachomaanisha