Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Mkuu sijakuelewa vizuri sababu kwa asili mwanamke hana sababu ya DNA Test kwa mtoto wake hadi itokee kuwe na wasi wasi kuwa huwenda alibadilishiwa au kupewa mtoto asiye wake.Mwanamke akifungua madai kuwe Mume sio baba Wa mtoto anasikilizwa lakini Mwanaume inakua ishu ngumu sana mana ikifanyika hivyo ndo nyingi zitakua na migogoro.
Watu wengi wanaishi kwa stori za vijiweni, wanadhani haya mambo yanaenda kwa hewala hewala kumbe ni mambo serious sana na lazima ukweli uwekwe waziHivi haya mawazo huwa mnayatoa wapi? Unajua sheria ya mtoto inasemaje? Mtoto ana haki ya kumjua biological parents wake! Tatizo mnapenda kuzungumzia vitu hamna experience navyo. Mimi Watoto wamepimwa na kuna Niliyepima jibu akawa si wangu.
Kwanza mtu anayepima ni tofauti na mtoa majibu.
System irudi hii, na iendelee hadi cha mwisho! 😁Ulichokiandika kama joke kiukweli kabila la wahaya wamekuwa wakifanya hivyo sema muingiliano na mabadiriko ya tabia nchi vimeharib.
Ili kujihakikishia firstborn ni wa ukoo hakika.
Mwali anakaa ndan bila kutoka nje mwaka mzima(kwalika).
Kutoka kwake chumban ni uani maalum wake tu (RUHUBA) ili aone jua au kufua na huduma ya choo.
Hafanyi kazi yoyote ya ndan zaid ya kukaa bila chupi kwa shughuli iliyomleta hadi mimba ya first born ya ukweli ipatikane, labda usafi binafs tu.
sasa Kuanzia mtoto wa pili haijarishi sana ni mbegu ya nani, ndo hayo ya kitanda hakizai haramu.
Nadhan kuokoteza wanyamahanga ndo leo tunajadiri mambo ya DNA.
Huwa inawezekana kucheza na afisa husika?[emoji15][emoji15] mbona wanajibrag sana wako vizuriNaona Duniani kote Iko hivyo.
Hawawezi kukupa majibu ya kweli
Tumia njia za asili kutambua hao watoto kama ni wako.
DNA za maabara labda ucheze na afisa husika.
Otherwise watakuambua ni wako tu utake usitake hata kama sio wako.
Mkuu naomba nisaidie kwa Hilo tafadhalHivi haya mawazo huwa mnayatoa wapi? Unajua sheria ya mtoto inasemaje? Mtoto ana haki ya kumjua biological parents wake! Tatizo mnapenda kuzungumzia vitu hamna experience navyo. Mimi Watoto wamepimwa na kuna Niliyepima jibu akawa si wangu.
Kwanza mtu anayepima ni tofauti na mtoa majibu.
achana na hayo mambo sisi baba wa kiafrica mostly ni social father's not biological father's , tunaamini watoto ni wetu , Tena mshukuru mke wako anaweza kukuchanganyia ka mbegu ka urais wakati kwenye ukoo wenu hakuna hata mwenyekiti , unashangaa dogo Rais na baba ni wewe and vice versa is true .Nisiseme mengi, kuna clip inazagaa mwanamke mmoja anajisifia kalea mtoto kwa kutumia baba watatu na hawajuani. Yaan anamaanisha mababa watatu wamelea na kuhudumia mtoto kila mmoja akijua huyo mtoto ni wake, mchezo mzima kacheza huyo mwanamke.
Najua hapo alikua anaigiza tu ila hio clip imenifikirisha sana sababu inaonekana inaakisi uhalisia. Hapa nikipata likizo ntafanya juu chini nipime DNA watoto wangu wote, wataalam toeni muongozo namna ya kupima DNA Tafadhari
Clip ipowapi mkuuNisiseme mengi, kuna clip inazagaa mwanamke mmoja anajisifia kalea mtoto kwa kutumia baba watatu na hawajuani. Yaan anamaanisha mababa watatu wamelea na kuhudumia mtoto kila mmoja akijua huyo mtoto ni wake, mchezo mzima kacheza huyo mwanamke.
Najua hapo alikua anaigiza tu ila hio clip imenifikirisha sana sababu inaonekana inaakisi uhalisia. Hapa nikipata likizo ntafanya juu chini nipime DNA watoto wangu wote, wataalam toeni muongozo namna ya kupima DNA Tafadhari
Ipo haja ya kutembelea eneo la kazin kwa Mkeo uangalie tu watoto wanafanana na Nani ?
Utaratibu ni rahisi kabisa, tafuta wakili (unaweza nitafuta mimi pia) kisha mtaenda ofisi za mkemia kanda kama hamuishi Dar es salaam.
Kule kwa mkemia mtapewa semina fupijuu ya swala zima la DNA, kisha mtachukuliwa sampuli zitakazohifadhiwa na kwenda kupimwa.
Hii michakato inahusisha watu tofauti tofauti hapo kwa mkemia hivyo kuchakachua sio rahisi kiasi hicho. Majibu ya DNA atapewa Wakili na yeye wakili ndio atakayekuja kuwapatia ninyi majibu ila hatawapa muondoke nayo sababu yeye ndiye mwenye dhamana ya kuyahifadhi (sio mali yenu)
MUHIMU KUFAHAMU:
1. Hautaweza kupima na kupatiwa majibu bila ama amri ya Mahakama au Wakili, ukienda wewe binafsi hutofanikiwa
2. Majibu ya DNA Testatapatiwa wakili wenu na yeye ndiye atakayewasomea na kubaki nayo ili ayahifadhi
3. Malipo ya kwa mkemia ni 100,000/= kwa kila sampuli malipo ya wakili itategemea na wakili husika akizingatia heria ya malipo ya mawakili.
Kama kuna swali nitajibu kulingana na uzoefu na ufahamu wangu.
Kwangu hapana aisee...
Priority inaanza kwa wa kwangu, hao wengine watapata kama wa kwangu damu damu akiridhika, na sio ubinafsi huo bali ndivyo mambo yalivyo. Yaan bao langu liteseke halafu nilee mtoto wa alionilia mke wangu? Huwezi lea mtoto wako wa damu sawa sawa na unaempa msaada.
Sio jambo jepesi hivyo Mkuu, katika kazi mtihani na risk kwa wakili moja wapo ni hizi za DNA sheria zipo serious sana, jambo dogo leseni inaweza futwa na ndani ukaenda.Huyo wakili ikitokea mama anajua ukweli na kifwedha yuko vizuri hawazi mtangazia fungu flan kukwepesha ukweli make tayari mke atakuwa keshamjua wakili ndo anasimamia hilo jambo?
Serikali yenyewe inasema haitaki watoto wa mitaani.So unapima DNA ili iweje?Km mtoto si wako nani amlee.Acheni kupoteza muda na pesa bure,pambana upambanavyo mwisho wa siku serikali itakurudishia hilo toto hata km si lako as long as ulitomba bila kinga. Ndo maana wazee wa kichanga wana DNA zao za kimila ambazo mama km si mkweli anaweza kupoteza mwanae,na wazee walishaujua uongo wa serikali ktk hili kuwa inapunguza watoto wa mitaani.Mama akikutunuku mtoto wewe beba tu iwe damu yako isiwe damu yako beba. Tofauti na hapo utapoteza pesa na muda bure plus aibu kwako na fedheha aidha itakayotokea kwa mama na ndugu zake na kwa mtoto kuwa umewadhalilisha hasa mke kuonekana Malaya.Dna yenyewe mpaka south ndo zipo fresh huku bongo eti hawataki kuvunja ndoa za watu 🤣🤣🤣🤣 ama kweli ngoja nikue tu yaani 👿